Sunday , 12 May 2024
Home Kitengo Biashara STAMICO yaibuka tena kidedea maonesho ya madini Geita
Biashara

STAMICO yaibuka tena kidedea maonesho ya madini Geita

Spread the love

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) imeibuka kidedea kwa kuwa mshindi wa pili  wa jumla katika Maonesho ya 6 ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika katika mkoa wa Geita. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Tuzo hiyo imetolewa leo na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hemed Suleiman katika uwanjani wa Bomba mbili Geita.

Ushindi huo unatokana na ubunifu makini kwa kuleta nishati mbadala ya kupikia kwa lengo la kuwatua kuni kichwani akina Mama na kushirikiana na makundi maalum kwa kuwasaidia kiuchumi na kiteknolojia kama watu wenye ulbino na viziwi.

Pia STAMICO walishirikiana na kikundi cha wanawake na Samia Mkoa Geita kwa kuwapa uwakala wa kuuza nishati mbadala ya kupikia ili kukuza uchumi wao na kuwaelimisha wanawake wenzae juu ya matumizi sahihi ya nishati hiyo ya Rafiki briquettes.

Ikumbukwe kuwa hii ni zaidi ya mara tatu mfululizo kwa STAMICO kupata ushindi tangu kuanza kwa maonesho hayo ya madini .

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Kigamboni siku ya Mama Duniani

Spread the loveMABIBGWA wa michezo ya kubashiri kampuni yaMeridianbet imefika kigamboni leo siku...

BiasharaHabari Mchanganyiko

PPAA yajipanga kuwanoa wazabuni namna kuwasilisha rufaa kieletroniki

Spread the loveIli kukabiliana na mageuzi yaliyofanyika katika Sheria mpya ya Ununuzi...

Biashara

Meridianbet kasino yaja na promo ya mil 200/=

Spread the love  Kimbunga Hidaya kilikuja na madhara makubwa sana katika maeneo...

Biashara

Moon of Thoth, historia ya Misri ya kale ilipofichwa ndani ya kasino

Spread the love  Nchi ya Misri imebeba karibia asilimia kubwa ya mambo...

error: Content is protected !!