Sunday , 12 May 2024
Home Kitengo Biashara Meridianbet yatoa msaada hospitali ya Kijitonyama
Biashara

Meridianbet yatoa msaada hospitali ya Kijitonyama

Spread the love

 

KAMPUNI ya Meridianbet kama ilivyo kawaida yao kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii kile kidogo walichovuna, Leo mapema wamefika Zahanati iliyopo Sinza na kutoa msaada wa vifaa vya usafi na vifaa vya mama wajawazito Hospitalini hapo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).  

Kampuni hiyo kongwe ya michezo ya kubashiri imekua ikijitoa sana kwa jamii yake inayowazunguka kwa kuhakikisha jamii inanufaika na uwepo wa kampuni hiyo, Na ndio      maana leo wamefika maeneo ya Kijitonyama kwajili ya kutoa msaada.

Huu umekua utaratibu wa Meridianbet mara kwa mara kuhakikisha kua wanarudisha kwenye jamii yao inayowazunguka, Kwani wameshatoa msaada mara kadhaa sehemu tofauti tofauti lakini awamu hii imekua zamu ya Kijitonyama.

Ukiwa na Meridianbet rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani  kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullete, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Igram ndie aliyeratibu tukio zima la utoaji wa vifaa hivyo hospitalini hapo na aliweza kuzungumza kwa uchache kwa niaba ya taasisi “Kwanza kabisa nipe kuwashukuru uongozi wa Zahanati hii kwa kutupokea kwa ukaribu kabisa, Lakini pia kama Meridianbet tunayo furaha kufika hapa na kutoa vifaa hivi ambavyo tunaamini vitaimarisha usafi hapa lakini vitawasaidia Mama wajawzito watakaofika hapa”.

NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Mbali na Muwakilishi wa Meridianbet kuzungumza lakini pia muwakilishi wa Zahanati hiyo anayefahamika kwa jina la Beatrice Sangiwa ameishukuru sana Meridianbet na kuwataka makampuni mengine kuiga mfano kwa kampuni hiyo” “Naishukuru sana Meridianbet kwa msaada huu kwani utaenda kumsaidia mama mjamzito wakati wa kujifungua na baada ya kujifungua, huu ni mfano wa kuigwa kwa makampuni mengine”

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, “Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”. Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Kigamboni siku ya Mama Duniani

Spread the loveMABIBGWA wa michezo ya kubashiri kampuni yaMeridianbet imefika kigamboni leo siku...

BiasharaHabari Mchanganyiko

PPAA yajipanga kuwanoa wazabuni namna kuwasilisha rufaa kieletroniki

Spread the loveIli kukabiliana na mageuzi yaliyofanyika katika Sheria mpya ya Ununuzi...

Biashara

Meridianbet kasino yaja na promo ya mil 200/=

Spread the love  Kimbunga Hidaya kilikuja na madhara makubwa sana katika maeneo...

Biashara

Moon of Thoth, historia ya Misri ya kale ilipofichwa ndani ya kasino

Spread the love  Nchi ya Misri imebeba karibia asilimia kubwa ya mambo...

error: Content is protected !!