Saturday , 2 December 2023
Home Kitengo Michezo Jezi ya Samatta iliyoifunga Liverpool kuuzwa Genk
Michezo

Jezi ya Samatta iliyoifunga Liverpool kuuzwa Genk

Spread the love

 

KLABU ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji imeamua kuanza kuuza jezi ya mchezaji wa kitanzania Mbwana Samatta Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), baada ya kufanya mambo makubwa kwa klabu hiyo kipindi chote alichoichezea timu hiyo. Beti na Meridianbet ujipatie pesa za kumwaga kwa odds kubwa ili mtaa wako ukuenzi kwa jina lako kama Samatta na KRC Genk. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Samatta ambaye ni Legend wa timu hiyo ambapo amewekwa katika kundi la wachezaji watano, wa kikosi hicho waliowahi kupita na kufanya mambo makubwa.

Katika duka la kuuza vifaa vya michezo la KRC Genk kuna jezi maalum iliyotengenezwa na kuuzwa katika duka hilo, jezi ya Samatta yenye picha yake akiwa anafunga kwa kichwa katika mechi ya Genk na Liverpool. Kuwa Samatta wa mtaa wako kwa kubashiri Meridianbet, huwezi kujutia hela yako nakwambia. Bonyeza hapa kubeti.

Ilikuwa ni mechi ya Uefa Champions League ambapo iliongeza rekodi nyingine kwa kijana wa kitanzania kutoka Uswahilini Mbagala, hakuna aliyetegemea kama atafika huko na baadaye kuandika rekodi nyingine ya kuwa Mtazania wa kwanza kucheza Premier League akisajiliwa na Aston Villa.

Katika klabu hiyo ya Ubelgiji Samatta ni moja kati ya wafungaji bora wa muda wote wa klabu ya KRC Genk, anashika nafasi ya tatu akiwa amefunga mabao 82 katika mashindano yote.

Jumla ya idadi ya mechi alizocheza kipindi akiwa na klabu hiyo ni mechi 227 huku uwiano wa goli kwa kila mechi ni 0.36, kwa mujibu wa Transfermarket. Licha ya kubeti soka unaweza pia kucheza sloti na michezo ya kasino mtandaoni kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda kila siku.

Mchezaji anayeongoza kwa idadi kubwa ya magoli ni Jelle Vossen magoli 105, namba mbili Paul Onuachu mabao 85 huyu ni raia wa Nigeria, ambapo katika orodha hiyo Mbwana Samatta ndiyo Mtanzania pekee.

Mbwana Samatta mpaka sasa ana rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote KRC Genk mabao 82, mfungaji wa muda wote Ligi ya Mabingwa Afrika mabao 20 akishika nafasi ya 5, Ubingwa Ligi ya Ubelgiji x1, Ubingwa wa Super Cup ya Ubelgiji x1 pia amecheza Fainali za Kombe la dunia la Vilabu za FIFA.

Ukiachana na mafanikio aliyoyapa Mbwana Samatta kutoka kwenye soka, una nafasi pia na wewe kupata mafanikio kwenye soka sio lazima uwe mchezaji ndani ya uwanja lakini ukichagua kuwa mchezaji wa soka kwa kubeti Meridianbet mafanikio ni sehemu yako. Jiunge na Meridianbet.

NB: Shinda zawadi kabambe unapocheza mchezo pendwa wa Keno kupitia promosheni ya Keno Bonanza. Cheza siku 5 mfululizo au zaidi na ujiweke kwenye nafasi ya kujishindia Boda boda, Simu mpya aina ya Samsung A32 kila wiki + zawadi ya pesa taslimu. Cheza Hapa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Fernandes hakamatiki Man Utd, mahesabu ni kuifunga Bayern

Spread the love  NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, alikuwa na kiwango...

Michezo

Meridianbet na Ligi ya Europa inakupa pesa za kumwaga mapema sana

Spread the love  KOMBE la UEFA Europa League ni zito kuliko makombe...

Michezo

Kwapua mpunga na mechi za UEFA leo na kesho

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya kuendelea leo na kesho...

AfyaMichezo

GGML yatoa milioni 17 kung’arisha ATF Marathon

Spread the loveKATIKA kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali kukabiliana na maambukizi...

error: Content is protected !!