Thursday , 7 December 2023
Home Kitengo Biashara Maokoto Jackpot yaongezeka Meridianbet
Biashara

Maokoto Jackpot yaongezeka Meridianbet

Spread the love

 

HATIMAYE kilio cha wengi kimesikilizwa na sasa ni mwendo wa kujichukulia maokoto ya kutosha pale Meridianbet, ni kwa wale wazee wa kuzichanga na kuzisaka chapaa kwa njia ya kubashiri na kucheza kasino mtandaoni. Mzigo wa Maokoto kwenye Jackpot ya Meridianbet umeongezwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Kwa taarifa zilivyo mpaka sasa mzigo wa Jackpot kubwa kabisa hapa nchini umeongezwa kutoka Tsh milioni 85 mpaka milioni 200TZS, lakini kingine cha Zaidi dau la kubashiri ni lile lile tsh 1,000/= yako tu na timu zako 13 za uhakika zinaweka kukufanya kuwa tajiri mpya hapa mjini.

Meridianbet imeamua kuongeza nafasi Zaidi kwa washindi, ambapo njia za kushiriki kwenye Jackpot hii kubwa ya Tsh 200m ni kwa wateja wanaobashiri kwa kitochi kwa kupiga *149*10# na wale wanaobashiri kupitia mtandaoni (online) kila wiki inapoisha mfumo utakuwa na timu mpya 13 za kubashiri na nyingine za akiba endapo ikitokea dharula kwenye mechi husika.

Vuta Mpunga

Ili kushinda kwenye Jackpot hii ya Tsh 200m unapaswa kupatia timu zote 13, ikitokea umepatia timu 12 na moja ikachana tiketi yako, Meridianbet haijakuacha itakupa pole kwa Tsh 5,000,000/= lakini hiyo haitoshi hata ukipatia mechi 11 kati ya 13, bado hukosi kitu utapokea Tsh Milion Moja 1,000,000/=

NB: Endapo mechi yeyote kati ya 13 itaghairishwa, mechi ya kwanza kwenye mpangilio wa mechi za akiba itachukua nafasi ya mechi iliyoghairishwa. Ikiwa mechi 6 au zaidi zitaghairishwa hakutakuwa na mshindi wa Jackpot kwa wiki hiyo, Jackpot itahamia wiki inayofuata.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

CEO NMB ashiriki mkutano wa Benki ya Dunia

Spread the loveAfisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna ameshiriki...

Biashara

Jisajili Meridianbet kasino msimu huu wa Sikukuu upate mgawo wa Mil 2.5

Spread the love  UNAIJUA 200% inakuaje? Meridianbet msimu huu wa Sikukuu za...

BiasharaTangulizi

Bei ya Dizeli, Petroli yashuka

Spread the loveBEI ya mafuta kwa mwezi Disemba, imeshuka kutokana na kupungua...

Biashara

GGML yataja mbinu kuimarisha miradi ya ujenzi, Bashungwa atoa maagizo

Spread the loveKATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kuimarisha...

error: Content is protected !!