Saturday , 2 December 2023
Home Kitengo Michezo Meridianbet yaibukia Tandika, yafungua duka jipya
Michezo

Meridianbet yaibukia Tandika, yafungua duka jipya

Spread the love


BAADA
ya kupita maeneo mbalimbali hatimae kampuni yaMeridianbet imeibukia mitaa ya Tandika jijini Dar-es-salaam na kufanya uzinduzi wa duka jipya ambalo litatoahuduma zote zinazohusiana na ubashiri na kuwawezeshawateja wa eneo kupata huduma nzuri. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Watu wa mitaa ya Tandika hatimae wamefikiwa na Meridianbetkwani wameletewa huduma mlangoni kabisa, Ambapo kipindicha nyuma walikua hawapati nafasi ya kubashiri katika eneohilo na kulazimika kwenda katika eneo maeneo mengine kwajiliya kupata huduma ya kubashiri.

Kampuni ya Meridianbet ina mpango wa kuhakikisha jambomoja linakamilika nalo ni kuwafikia wateja wake katika maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi, Hivo inafungua maduka katikamaeneo tofauti tofauti kwajili ya kuwafikia wateja wake kwakaribu zaidi.

Ukiwa na Meridianbet rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullete, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa naMeridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Tukio la uzinduzi wa duka jipya mitaa ya Tandika Majaribiolilisimamiwa na mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masokokutoka kampuni ya Meridianbet Nancy Igram na kusemaNinayo furaha kubwa kuwepo hapa leo kuzindua duka hilihapa Tandika ambapo litawasaidia wateja wetu kubashirikwa ubora kabisa kwakua tumeleta vifaa bora natumetengeneza mazingira bora kabisa kwa wateja wetu”.

NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombila wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwadau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindiatajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Aidha mbali na muakilishi wa kampuni ya MeridianbetNancy Ingram kuzungumza na wakazi wa eneo hilowakati wa uzinduzi wa duka, Lakini pia wakazi wa eneola Tandika wameeleza namna wamefurahishwa nakampuni ya Meridianbet kuzindua katika eneo laokwakua litawarahisishia kubashiri kwakua walikuawanatoka eneo hilo kwenda sehemu nyingine.

Meridianbet na imewekewa ODDS BOMBA kazi ni kwako tukuweka ubashiri wako na ujishindie mkwanja wa kutosha.

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maanakaulimbiu yao inasema kuwa, Meridianbet, Msimu MpyaMzigo wa Kutosha. Kama bado hujajisajili na Meridianbetmuda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kuchezamichezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Fernandes hakamatiki Man Utd, mahesabu ni kuifunga Bayern

Spread the love  NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, alikuwa na kiwango...

Michezo

Meridianbet na Ligi ya Europa inakupa pesa za kumwaga mapema sana

Spread the love  KOMBE la UEFA Europa League ni zito kuliko makombe...

Michezo

Kwapua mpunga na mechi za UEFA leo na kesho

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya kuendelea leo na kesho...

AfyaMichezo

GGML yatoa milioni 17 kung’arisha ATF Marathon

Spread the loveKATIKA kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali kukabiliana na maambukizi...

error: Content is protected !!