Saturday , 2 December 2023
Home Kitengo Michezo UEFA imekuja na maokoto yakutosha bashiri na Meridianbet sasa
Michezo

UEFA imekuja na maokoto yakutosha bashiri na Meridianbet sasa

Spread the love

UTAMU wa kubeti ule bhana, na ukitaka kula ni rahisi tuu weka dau lako dogo pata kikubwa zaidi. Mechi za Usiku wa Ligi ya Mabingwa zinataka kukutajirisha wewe ukitumia Meridianbet pekee. Hivyo unachotakiwa kufanya sasa ni kuchagua mechi zako za ushindi na uanze kubashiri kwa usahihi na machaguo uyapendayo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Barcelona ambaye alitoa kichapo cha maana mechi yake ya kwanza atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya FC Porto ambaye naye alitoa dozi nzito kwenye mechi yake ya kwanza. Yani hapa zinakutana timu nzito na ngumu. Unadhani kuwa Xavi na vijana wake watashinda mechi kwa ODDS ambayo wamepewa ya 1.86. Je Wenyeji watakubali kupoteza mchezo nyumbani?

Arsenal atakuwa ugenini kusaka pointi tatu zingine dhidi ya RC Lens ya Ufaransa. The Gunners wamepewa ODDS ya 1.65kushinda mechi hii huku mwenyeji akipewa ODDS ya 5.09. Je Arteta na vijana wake wapata ushindi wa pili?. Ingia Meridianbet na ubashiri mechi hii.

RB Leipzig watakuwa wenyeji wa mabingwa watetezi wa Kombe hili Manchester City. Timu hizi zilikutana hatua ya robo fainali msimu uliopita na vijana kutoka pale Red Bull Arena walipoteza mchezo huo kwa fedheha. Je kisasi kitalipwa mbele ya vijana wa Pep Guardiola? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.

Manchester United baada ya kupoteza mchezo wa kwanza, leo hii watakuwa Old Trafford kumenyana dhidi ya Galatasaray ya Uturuki huku vijana hao wa Ten Hag wakipewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu kwa ODDS ya 1.47 kwa 5.88. Je watafanya nini mbele ya Galatasaray yenye Hakim Ziyech na Mauro Icardi?

Ile Jackpoti baab kubwa ya Meridianbet sasa imefanyiwa ongezeko kubwa kabisa ambapo kwasasa utajipigia shilingi Milioni Mia mbili (200,000,000) kwa buku tuu ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Pia unaweza kubashiri ONLINE kwasasa. Kwa USSD menyu ni ile ile *149*10#. Ingia na ucheze sasa.

Mechi nyingine ya kupiga mkwanja ni kati ya Bayern Munichdhidi ya  FC Copenhagen huku kinara wa kundi hilo Thomas Tuchel akionekana kupewa nafasi kubwa sana ya kushinda mchezo huo akiwa ugenini hii leo. Mwenyeji amepewa ODDS ya 11.76 kwa 1.20. Nani kuibuka na ubabe mechi hii?

Union Berlin atazichapa dhidi ya SC Braga na Berlin atakuwa nyumbani baada ya kupoteza mchezo wa kwanza. Nafasi ya kushinda mechi hii Meridianbet amepewa mwenyeji akiwa na ODDS ya 1.96 kwa 3.67. Bashiri mechi hii.

Mechi nyingine ya mapema itakuwa ni kati ya FC Salzburgambaye atamkaribisha Real Sociedad. Mgeni altoa sare mechi ya sare mechi ya kwanza huku mwenyeji akiikusanyia pointi tatu zote. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Ingia sasa na ubashiri.

Leo hii hii, Napoli itakipiga dhidi ya Real Madrid mabingwa mara nyingi wa michuano hii. Mara ya mwisho kukutana, Real walishinda mechi, pia timu hizi zimehsinda mechi zao za kwanza kwenye ligi ya mabingwa. Ushindi wa Ancellotti na vijana wake ni ODDS ya 2.60 kwa 2.65. Je ni Garcia au Carlo leo?

PSG itakuwa ugenini dhidi ya Newcastle United. Vijana wa Eddie Howe hawakuweza kupata ushindi mechi ya kwanza huku wababe wa Ufaransa wao wakipata ushindi. Enrique anataka makubwa kwenye ligi ya mabingwa huku Howe naye akitaka kuonyesha uwezo wake. Mechi hii ina ODDS KUBWA ya 2.60 kwa wageni na 2.55 kwa mwenyeji. Beti sasa.

Borussia Dortmund atamualika AC Milan huku timu zote zikisaka pointi tatu za kwanza kwenye mechi ya pili. BVB alipoteza mechi iliyopita huku Milan wao wakitoa suluhu. Je Mjerumani au ni Muitalia kuibuka na ushindi kesho?

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Fernandes hakamatiki Man Utd, mahesabu ni kuifunga Bayern

Spread the love  NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, alikuwa na kiwango...

Michezo

Meridianbet na Ligi ya Europa inakupa pesa za kumwaga mapema sana

Spread the love  KOMBE la UEFA Europa League ni zito kuliko makombe...

Michezo

Kwapua mpunga na mechi za UEFA leo na kesho

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya kuendelea leo na kesho...

AfyaMichezo

GGML yatoa milioni 17 kung’arisha ATF Marathon

Spread the loveKATIKA kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali kukabiliana na maambukizi...

error: Content is protected !!