Friday , 29 September 2023
Home Kitengo Biashara Ligi zarejea na maokoto ya Meridianbet kama kawaida wikiendi hii
Biashara

Ligi zarejea na maokoto ya Meridianbet kama kawaida wikiendi hii

Spread the love

 

BAADA ya kukosa ladha ya ligi ya Ulaya hatimaye wikendi hii inarejea ikiwa na mechi kibao za kukupa pesa za kutosha ukibashiri na mabingwa meridianbet. Yani ni hivi EPL. LALIGA, BUNDESLIGA, SERIE A, LIGUE 1, NBC na zingine kibao zimerejea. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Pesa ipo ligi kuu ya NBC ambapo kesho viwanja viwili vitawaka moto haswa ambapo Kagera Sugar atakipia dhidi ya Geita Gold. Walima Miwa wamepoteza mechi zote mbili za kwanza za Ligi huku Wachimba Mgodi wao wameshinda moja na sare moja. Nani kubeba alama 3 kesho?

Wakati huo vita nyingine itakuwa kule Kigoma ambapo Mashujaa walipanda daraja watamenyana dhidi ya Ihefu waliotoka kupoteza mechi yao iliyopita. ODDS KUBWA zipo mechi hii bashiri na Meridianbet kwa kuingia www.meridianbt.co.tz.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Ligi kuu ya Uingereza EPL kama kawaida itapigwa na mapema sana majira ya saa 8:30 mchana Liverpool atakuwa mgeni wa Wolves. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Basiri sasa. Tottenham atamualika Sheffield United ambaye hajashinda hata mechi moja mpaka sasa kwenye ligi.

Vijana wa Ten Hag Manchester United watatupa karata yao mbele ya vijana wa De Zerbi Brighton huku nafasi kubwa ya kupata ushindi mechi akipewa United akiwa na ODDS ya 2.19 kwa 2.84. Wewe karata yako unaipeleka wapi?

Jumapili Chelsea ambayo imepoteza itakuwa mgeni wa Bournemouth ambaye ametoka kutoa sare mechi iliyopita. Mara ya mwisho kukutana The Blues aliondoka na pointi zote 3. Je Jumapili ataendeleza ubabe wake?

The Gunners ya Arteta watakuwa wakijiuliza maswali mbele ya Everton ambao msimu uliopita wao ndio walioanza kuharibu mbio zao za ubingwa. Arsenal wameshinda mechi yao iliyopita huku The Toffee wakitoa sare.

Meridianbet na Halopesa wamekuletea promosheni ya kujichotea maokoto endapo utaweka na kubashiri na Meridianbet na utaweza kupata zawadi kama pikipiki, pesa taslimu, simu janja nk. Cheza Sasa.

Pale BUNDESLIGA, FC Cologne atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya TSG Hoffenheim na mara ya mwisho kukutana mwenyeji aliondoka na pointi zote tatu. Bashiri mechi hii yenye machago mengi zaidi.

Borussia Dortmund naye baada ya kushindwa kukusanya pointi 3 kwenye mechi zake mbili zilizopita, atakuwa mgeni wa Freiburg hapo kesho huku nafasi ya kuchukua alama zote tatu aple Meridianbet amepewa mgeni akiwa na ODDS ya 2.11 kwa 3.09. Je wewe beti yako unaitupa wapi?

RB Leipzig atazichapa dhidi ya Augsburg huku mechi mbili walipokutana msimu uliopita, RB alioshinda zote. Mechi hii ina ODDS KUBWA ingia www.meridianbet.co.tz na ubashiri sasa.

Mechi nyingine ya kuangalia na yenye ushindani itakuwa ni kati ya Wolfsburg dhidi ya Union Berlin ambapo kwenye kuondoka na pointi 3 nafasi kubwa anayo mwenyeji akiwa na odds ya 2.20 na mgeni ana 3.19. Suka jamvi lako hapa na ushinde.

Kivumbi cha LALIGA wikendi hii mechi za kujidai nazo ni nyingi ila za kibabe zaidi ni Real Madrid dhidi ya Real Sociedad. Nani kuibuka na ubabe huku wababe hao wa ligi wakiwa na kiwango kikubwa sana

Barcelona atamkaribisha Real Betis na mechi za msimu uliopita walipokutana, Xavi na vijana wake walishinda zote. Je Mgeni atalipiza kisasi? Mechi hii imepewa ODDS ya 1.37 kwa 7.44.

Villarreal baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo, Jumapili atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya UD Almeria. Nyambizi wa Njano ataondoka na pointi 3 mechi hii? Bashiri kibingwa na Meridianbet.

Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha

SERIE A nayo ni ya moto ambapo Juventus atamkaribisha Lazio nyumbani kwake. ODDS KUBWA zipo mechi hii kazi ni kwako tuu kuingia na kuweka beti yako.

Mechi nyingine ya kusisimua ni Derby ya Inter Milan dhidi ya AC Milan ambapo itapigwa majira ya saa 19:00 huku timu zote zikiwania taji la Ligi. Nani kuondoka na ubabe hapo kesho?

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Jumapili sasa itakuwa ya kibabe hapo Italia ambapo Fiorentina atacheza dhidi ya Atalanta na odds zao ni za kibabe sana pale Meridianbet hebu angalia mwenyeji amepewa 2.40 kwa 2.79. Nani atakutajirisha wikendi hii?

NB: Bado Jakpoti inaendelea ndani ya Meridianbet ambapo kwa dau la shilingi 1000/= unaweza kubashiri mechi zako 13 na ukajipigia mkwanja wa shilingi 85,000,000. Ingia Meridianbet na ucheze sasa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Wataalam Uganda wapewa darasa teknolojia mpya uchimbaji madini katika maonesho Geita

Spread the loveMAONESHO ya Teknolojia ya Madini yamezidi kuwa darasa kwa wadau...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Stamico yafungua fursa za kiuchumi kwa makundi maalumu

Spread the loveSHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limemwaga neema kwa watu...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Maabara ya bilioni 5 upimaji madini yazinduliwa Geita, inapima kwa mionzi

Spread the loveZaidi ya Sh bilioni tano zimewekezwa katika kampuni ya MSALABS...

Biashara

TPHPA yafunda wafanyabiasha, wakulima matumizi ya viuatilifu

Spread the loveMAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), imetoa...

error: Content is protected !!