Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Biashara Wikiendi hii ushindi upo Meridianbet na si kwingine
BiasharaMichezo

Wikiendi hii ushindi upo Meridianbet na si kwingine

Spread the love


USHINDI huu ni wako mteja wa Meridianbet kama mechi za UEFA na Europa hazikukupatia pesa basi usihfu wikendi hii inaenda kutenda maajabu yani kwa dau lako dogo tu ambalo utaweka utapata kitita cha pesa kwa kuchagua mechi zako za ushindi kwenye ligi mbalimbali. Ili Kuwa bingwa sasa ingia Meridianbet sasa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Serie A nayo itaendelea kurindima wiki hii ambapo leo hii zitapigwa mechi mbili Salernitana atamualika Frosinanenyumbani kwake huku mwenyeji akiwa hana mwenendo mzuri kwenye mechi zake ambazo amecheza kwani mpaka sasa na apointi 2 pekee kwenye mechi 4 ambazo amecheza. Mgeni yupo nafasi ya 6 akiwa na pointi 7. Bashiri mechi hii ndani ya Meridianbet.

Nyingine itakuwa ni kati ya Lecce dhidi ya Genoa ambapo mwenyeji kushinda amepewa ODDS ya 2.50 wakati kwa upande wa mgeni yeye amepewa 3.04. Beti yako wewe unaiweka kwa nani ambaye unaona kabisa lazima ashinde.

Meridianbet wamekuletea promosheni ya Keno ambayo unaweza kujishindia zawadi mbalimbali kama vile boda boda, simu aina ya Samsung A32 pamoja na pesa taslimu. Ingia Meridianbet na ucheze sasa.

EPL nayo mechi za kupiga mkwanja kuanzia kesho ni pamoja na Crystal Palace dhidi ya Fulham ambapo mechi hii imejaa machaguo kibao pamoja na ODDS za kutosha. Kwenye mkeka wako usiache kuiweka mechi hii.

Everton ambaye hajashinda mechi yoyote mpaka sasa yeye atakuwa ugenini kucheza dhidi ya Brentford ambaye ana majonzi ya kupoteza mchezo wake uliopita. Frank Thomas na vijana wake wamependelewa ODDS ya 1.81 ya ushindi kabisa huku The Toffees wakipewa 4.21 kuwa wababe wa mechi hiyo. Beti mechi hii sasa.

Mechi ya kuwania pointi zingine 3 hapo kesho itakuwa ni kati ya Luton Town dhidi ya Wolverhampton ambapo timu hizi zote mbili hazina mwenendo mzuri wa matokeo huku mwenyeji akiwa ndiye anashika mkia na mgeni akiwa nafasi ya 16 kwenye msimamo wa EPL. Suka jamvi lako bila kusahau mechi.

Manchester United atakua ugenini dhidi ya Burnley kusaka pointi tatu muhimu baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo kwenye ligi. Je Ten Hag atafanya nini kesho kuipatia United ushindi?. Ikumbukwe kuwa mwenyeji hajashinda hata mechi moja toka ligi ianze. Atakuwa kikwazo kwa Mashetani?

Bingwa mtetezi Manchester City chini ya Pep Guardiola wao watakuwa pale Etihad kucheza dhidi ya Nottingham Forest. City ndio timu ambayo imeshinda mechi zote mpaka sasa. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Suka jamvilako na ubeti sasa.

Cheza michezo ya kasino ya mtandaoni inayotolewa na Meridianbet kama vile Aviator, Poker, Roulette, Keno, Wild Icy Fruits na mingine kibao kwa dau dogo tuu kuanzia shilingi 200.

Ligi ya Ujerumani yani Bundesliga pia kama kawaida itapigwa, Borussia Dortmund baada ya kupokea kichapo kwenye ligi ya mabingwa atacheza dhidi ya Wolfsburg katika dimba la Signal Iduna Park. Terzic amepewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu kwa ODDS ya 1.71 kwa 4.21. Wewe unamdhamini nani mechi hii?

RB Leipzig atakuwa mgeni wa Borussia Monchengladbachambaye ametoka kutoa sare a kufungana mchezo wake uliopita wa ligi. RB ameendelea kuwa wa moto sana kwenye mechi zake nne zilizopita ambazo ameshinda zote. ODDS KUBWA zipo hapa bashiri sasa na Meridianbet.

Laliga pia kuna mechi za kukupa pesa ni pamoja na Barcelonadhidi ya Celta Vigo ambao wote watakuwa wakitafuta pointi tatu muhimu. Bingwa huyo mtetezi ametoka kumuongezea kocha wao Xavi Hernandez mkataba mpya. Je kocha huyo ataendelea kuwapa furaha mashabiki wa Barca?

Sevilla wao watamenyana dhidi ya Osasuna huku timu hiyo ya Mendilibar ikiwa haina mwanzo mzuri kwenye ligi kwani mpaka sasa ameshinda mechi moja pekee kwenye 4 ambazo kacheza. Unadhani kesho atashinda mechi yake ya pili au mwenyeji atawazuia? ODDS KUBWA zipo mechi hii.

Jckpoti kubwa ya Meridianbet inaendelea bashiri kupitia USSD kwa dau la shilingi 1000 pekee ili uweze kuvuna mkwanja wa shilingi 85,000,000 ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Piga *149*10#.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Pesa ipo huku Meridianbet, beti sasa

Spread the love  WIKIENDI inaishia leo hii jaman kama bado hujasuka mkeka...

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Mwenge

Spread the love  KAMPUNI ya Meridianbet imefika maeneo ya Mwenge jijini Dar-es-salaam...

Biashara

Serengeti yakabidhi mkwanja kwa mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo

Spread the love Mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo kutoka Kahama Mjini...

Biashara

Ushindi rahisi unpatikana kila ukicheza kasino ya Hot Joker

Spread the love  HOT Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ya...

error: Content is protected !!