Tuesday , 26 September 2023
Home Kitengo Biashara Cheza kasino mtandaoni na ushinde mgao wa hela kutoka Meridianbet!!
Biashara

Cheza kasino mtandaoni na ushinde mgao wa hela kutoka Meridianbet!!

Spread the love

 

JE, Unapenda Uvuvi? Meridianbet Kasino ya Mtandaoni imekuandalia safari ya kushangaza kwa ajili yako mwezi huu wa Septemba! Anaripoti Mandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Endelea kucheza moja ya michezo ya kasino ya mtandaoni hapa chini, na unaweza kushinda zawadi kabambe na pesa kibao!

 • Big Bass Bonanza: Keeping it Real
  • Big Bass Bonanza: Amazon Extreme
  • Big Bass Bonanza: Hold & Spinner
  • Big Bass Bonanza: Hold & Spinner Megaways
  • Big Bass Bonanza: Splash
  • Big Bass Bonanza: Blizzard Christmas Catch
  • Bigger Bass Bonanza
  • Christmas Big Bass Bonanza
  • Big Bass Bonanza

 

Mashindano haya ya uvuvi yameanza tarehe 07 mwezi Septemba na kumalizika tarehe 21 mwezi Septemba saa 23:59:59.
Wateja watakaoshinda idadi kubwa ya pointi za michezo hii ya kasino ya mtandaoni watapata zawadi zifuatazo:

 

 •  Nafasi ya kwanza atajishindia TZS 1,500,000 Pesa taslimu.
 •  Nafasi ya pili atajishindia TZS 1,000,000 Pesa taslimu.
 •  Nafasi ya 3 mpaka ya 5 watajishindia TZS 500,000 Pesa taslimu.
 •  Nafasi ya 6 mpaka ya 10 watajishindia TZS 250,000 Pesa taslimu.

 

Jinsi ya kupata pointi na ushindi kwenye kasino ya mtandaoni

 

 •  Cheza moja ya michezo 9 ya kasinbo ya mtandaoni ya Meridianbet iliyo orodheshwa hapo juu, katika kipindi cha kuanzia tarehe 07.09 hadi 21/09/2023 hadi saa 23:59:59
 •  Kila dau la jumla la TZS 2,500 litakupatia pointi 10
 •  Kila mzunguko utakupatia pointi 1
 •  Jedwali la uongozi litasasishwa kwenye ukurasa huu wa matangazo kila siku ifikapo saa 13:00
 •  Wachezaji wote waliosajiliwa kwenye meridianbet.co.tz wana nafasi ya kushiriki katika promosheni hii
 •  Pointi zinapatikana kwa kucheza kwa kutumia pesa halisi tu; kucheza demo haitahesabiwa kwenye kukusanya pointi.
 •  Meridianbet inaweza kubadilisha sheria za uendeshaji, kumaliza, au kumtoa mchezaji wakati wowote endapo atavunja sharia na taratibu za shindano hili.

 

NB: Mchezo wa Aviator Kasino mtandaoni inakupa bonasi ya beti za Bure 200 kila siku kwa wachezaji, mizunguko itagawiwa kwa wachezaji bila mpangilio huenda ikakuamgukia wewe. Cheza Aviator Ushinde.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

NBC kuchochea ustawi biashara kati ya Tanzania na Afrika kusini.

Spread the loveBENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza kuhusu dhamira yake...

Biashara

NMB yazindua hati fungani mpya ya trilioni 1

Spread the loveBENKI ya NMB imezindua rasmi programu mpya yenye hati fungani...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Serikali kununua mitambo 15 ya kuchoronga miamba

Spread the loveSerikali kupitia Wizara ya Madini imepanga kununua mitambo 15 ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Mtanzania aweka rekodi kimataifa kwa kiwanda cha kusafisha dhahabu

Spread the loveIMEELEZWA kuwa Kiwanda cha Kusafisha dhahabu cha Geita Gold Refinery...

error: Content is protected !!