Mteja wa Meridianbet ambaye upo Mbagala Rangi 3 na unataka kupiga mkwanja wa maana basi mimi nakupa siri eneo ni moja tuu nalo ni Max 99 ambapo ndipo duka la mabingwa wa ubashiri Tanzania limezinduliwa rasmi leo huku likiwa na kila kitu ambacho wewe utakihitaji. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Max 99 ni duka la kwanza msimu huu kuzinduliwa na Meridianbet kwani ndio kampuni hiyo imeona uhitaji wa watu wengi eneo hilo kutokana na wingi wa watu. Duka limesheheni sloti mashine za kuchezea michezo mbalimbali ya kasino, pia kuna huduma zingine kwa wale wanaobashiri michezo ya ligi.
Kama inavyojulikana kuwa Ligi zimerejea na watu wengie wanabashiri hivyo Meridianbet wakaona kuna umuhimu wa kuleta duka Mbagala na kwa kuzingatia wiki hii ligi zinarajea hivyo huo ukawa muda sahihi wa kuzindua duka hilo. Bashiri na Meridianbet mahali popote wakati wowote.
Hii ndio maana wanasema Meridianbet ni kubwa na mambo yake ni makubwa zaidi, pia bila kusahau Meridianbet hurejesha kwenye jamii kile kidogo wakipatacho. Bashiri kwa dau utakalo na cheza kasino ya matandaoni hapa.
Nancy Ingram ambaye ndiye kiongozi wa msafara huo amesema kuwa; “Wateja wamefurahia sana kuletewa mcheza wa kindege “Aviator” wanaweza kucheza kwa wingi dukani. “Msimu mpya, Mzigo wa kutosha” Meridianbet leo tupo Mbagala Rangi 3”
Na wiki hii ligi zinarejea baada ya mapumziko ya kimataifa na Meridianbet mechi za wiki hii zipo tayari kwa wale watumiaji wa App na USSD, kwa wanaoutumia kitochi Piga, *149*10#. Unachotakiwa ni kutengeneza jamvi lako huku ukisubiri maokoto wikendi hii.
Siku zote bingwa hajawahi kukuta tamaa hivyo amini kuwa wikendi hii ni yako weka dau lako pale Meridianbet na uweze kubashiri pia unaweza kuturbo endapo utaona mechi zako zinaenda sipo. Usisubiri toa pesa yako hapa.
Meridianbet wameona waanze mapema kabisa msimu ambapo ligi zinaanza kwani ndio watu wanakuwa wengi na wanahitaji kubeti hivyo ni vizuri kwenda na muda wa uzinduzi. Duka la Mbagala Rangi 3 limezinduliwa na mengine yanakuja.
Wakazi wa Mbagala Rangi 3 wamefurahia sana kuletewa mchezo wa “kindege” ambao unajulikana kama Aviator ambao umekuwa pendwa sana kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kutokana na urahisi wake.
Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha
Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.
Endelea kutumia kampuni yako pendwa ya Meridianbet kufanya ubashiri wa mechi mbalimbali ambapo baada ya mapumziko ya kimataifa wiki hii ligi mbalimbali zinarejea pale EPL mitanange ipo kibao. LALIGA napo hapatoshi, yaani ukisogea ple BUNDESLIGA ndio hatari, kunako LIGUE 1 noma sana halafu malizia pale SERIE A.
Leave a comment