Sunday , 28 April 2024
Home Kitengo Maisha Afya RC Babu atoa wiki mbili ujenzi zahanati Siha ukamilike
Afya

RC Babu atoa wiki mbili ujenzi zahanati Siha ukamilike

Spread the love

MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Nurdin Babu ametoa wiki mbili kwa kamati ya ujenzi ya Jengo la Wagonjwa wa Nje (OPD), maabara na nyumba ya mtumishi katika zahanati ya Naibili wilayani Siha mkoani humo kuhakikisha unakamilika. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea).

Babu ameyasema hayo leo Ijumaa akiwa kwenye ziara  wilayani  kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo inatekelezwa na Serikali.

Amesema Serikali imeroa zaidi ya Sh 271 milioni lengo wananchi wapate huduma za afya kwa wakati hivyo hayupo tayari kuona ujenzi huo unasuasua na kuagiza kituo hicho kijegwe usiku na mchana.

“Viongozi wote katika nafasi zao kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Siha wajue mradi wowote unaotekelezwa katika sekta yake wahakikishe wanausimamia kwa ukaribu na unamalizika ukiwa na viwango vya hali ya juu,” amesema.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Afya

Mloganzila yajipanga kupandikizaji wa ini

Spread the love  HOSPITALI ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imesema kutokana na uwekezaji uliofanywa...

AfyaHabari za Siasa

Serikali yasaka watumishi afya ngazi ya jamii 8,900

Spread the loveSERIKALI imeanza utekelezaji wa mpango jumuishi wa wahudumu wa afya...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Bima ya afya kwa wote kuanza Aprili, wajane kicheko

Spread the loveSHERIA ya Bima ya Afya kwa Wote, inatarajiwa kuanza kutumika...

AfyaHabari Mchanganyiko

Marekani kuipa Tanzania bilioni 980 kudhibiti VVU, UKIMWI

Spread the loveSERIKALI ya Tanzania inatarajiwa kupewa msaada wa fedha kiasi cha...

error: Content is protected !!