Friday , 3 May 2024
Home Kitengo Biashara Vodacom yashinda tunzo ya  banda la utoaji huduma bora kwa makapuni ya simu
Biashara

Vodacom yashinda tunzo ya  banda la utoaji huduma bora kwa makapuni ya simu

Spread the love

KAMPUNI ya Vodacom Tanzania imeshinda tuzo ya  banda bora la utoaji huduma kwa kundi la makampuni ya Simu wakati wa kuhitimisha Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Sabasaba, kwa mwaka 2023. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi akimkabidhi tunzo ya banda la utoaji huduma bora kwa kundi la makampuni ya simu, Meneja Msimamizi wa Huduma za Uwezeshaji na Upatikanaji wa Vodacom Tanzania PLC, Edward Byampanju wakati wa kuhitimisha Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Sabasaba, Julai 13, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Bi. Latifa Khamis, kushoto.

Meneja wa Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania PLC, Alex Bitekeye (katikati) na Meneja wa M-Pesa wa Dar es Salaam na Pwani, Ombeni Urassa (wa pili kulia) wakiwa kwenye picha ya Pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya kutangazwa washindi wa tunzo ya banda la utoaji huduma bora kwa kundi la makampuni ya simu, Meneja Msimamizi wa Huduma za Uwezeshaji na Upatikanaji wa Vodacom Tanzania PLC, Edward Byampanju wakati wa kuhitimisha Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Sabasaba, Julai 13, jijini Dar es Salaam.

Msimamizi wa Maduka ya Rejareja wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania, Bi. Augustina Mutagurwa (katikati) akiwa kwenye picha ya Pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya kutangazwa washindi wa tunzo ya banda la utoaji huduma bora kwa kundi la makampuni ya simu, Meneja Msimamizi wa Huduma za Uwezeshaji na Upatikanaji wa Vodacom Tanzania PLC, Edward Byampanju wakati wa kuhitimisha Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Sabasaba, Julai 13, jijini Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC wakifurahia kwa Pamoja baada ya kutangazwa washindi wa tunzo ya banda la utoaji huduma bora kwa kundi la makampuni ya simu, Meneja Msimamizi wa Huduma za Uwezeshaji na Upatikanaji wa Vodacom Tanzania PLC, Edward Byampanju wakati wa kuhitimisha Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Sabasaba, Julai 13, jijini Dar es Salaam.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yang’ara maonesho OSHA

Spread the loveBenki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yashiriki maadhimisho Mei Mosi Arusha

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na maelfu ya...

Biashara

Promosheni ya bil 1 kutoka Meridianbet kasino, cheza na ushinde zawadi kubwa

Spread the love  INGIA katika ulimwengu wa zawadi za kushangaza: Jishindie sehemu...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Equity Bank yaendelea kusotea mabilioni ya fedha mahakama rufani

Spread the loveBENKI za Equity ya Tanzania na Kenya, zimeendelea kupambana mahakamani...

error: Content is protected !!