Friday , 10 May 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea: Sitanii, hili nitafanya Kinondoni

SAED Kubenea, mgombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni, jijini Dar es Salaam mesema miongoni mwa mambo ambayo atayasimamaia hadi kufanikiwa kwake ni suala...

Habari za Siasa

Sheikh Katimba: 28 Oktoba fursa wapinzani kupumua

SHEIKH Rajab Katimba kutoka Taasisi ya na Jumuiya za Kiislamu Tanzania amesema, Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020 utumike kama fursa ya...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yawatumia salamu watakaoiba kura

MWENYEKITI wa Ngome ya Wazee ya ACT-Wazalendo, Yassin  Mohammed amesema, mwenyezi Mungu atawaadhibu watakaoshiriki wizi wa kura kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe...

Habari za Siasa

Polisi: Tunawashikilia maofisa watatu ACT-Wazalendo

POLISI Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, linawashikilia maofisa watatu wa chama cha upinzani cha ACT-Wazalendo katika kituo cha polisi...

Habari za Siasa

Maharagande ajinadi kwa ahadi saba Segerea

MGOMBEA Ubunge Segerea jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Mbarala Maharagande, ametaja vipaumbele saba ambavyo atavitekeleza pindi atakapochaguliwa na kuwa mbunge....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe amwelezea Lissu anavyowachanganya CCM

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema amesema, mwitikio wa wananchi katika mikutano ya kampeni za Mgombea Urais wa...

Habari za Siasa

Bwege: Nitashangaa mkimchagua Magufuli, amkumbuka Kikwete

SELEMAN Bungara maarufu ‘Bwege,’ Mgombea Ubunge Kilwa Kusini kupitia ACT-Wazalendo, amesema, kama Watanzania watamchagua tena Dk. John Magufuli kuwa Rais wa Tanzania katika...

Habari za Siasa

Lissu aahidi neema wanafunzi elimu ya juu

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chadema, Tundu Lissu amesema, akichaguliwa kuwa Rais wan chi hiyo ataondoa ubaguzi wa utoaji mikopo ya wanafunzi wa...

Habari za Siasa

Kubenea aanza safari ya kukabiliana na Tarimba

MGOMBEA ubunge katika jimbo la Kinondoni, kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Saed Kubenea, amepanga kufungua kampeni zake za kuwani nafasi hiyo, kesho Jumapili, jijini...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu anavyojitofautisha na Lowassa, Dk. Slaa

TUNDU Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, chama...

Habari za Siasa

Kubenea amchongea Tarimba kwa wanakinondoni

SAED Kubenea, mgombea Ubunge Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia ACT-Wazalendo, amemchomgea Abbas Tarimba, mgombea ubunge jimbo hilo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: 28 Oktoba siku ya ukombozi, tutashinda kwa kimbunga

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020...

Habari za Siasa

Polepole: Vitambulisho vya machinga havitafutwa

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), nchini Tanzania amesema, Serikali ya chama hicho haitaviondoa vitambulisho vya mjasiriamali ‘machinga’ kwa...

Habari za Siasa

Majaliwa: Kiti cha urais siyo mchezo

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kassim Majaliwa amesema kiti cha urais siyo cha mchezo, kinahitaji mtu makini. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Vyama, wagombea waonywa kutofanya haya

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imebainisha mambo mbalimbali ambayo hayapaswi kufanywa na vyama vya siasa na wagombea katika kipindi cha...

Habari za Siasa

Magufuli apeleka neema Ukerewe

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amepandisha hadhi kituo cha afya cha Bwisya kilichoko Ukara wilayani Ukerewe jijini Mwanza kiwe na hadhi ya hospitali...

Habari za Siasa

Lowassa amchokonoa Lissu

KITENDO cha Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania, kupitia Chadema, kuonekana kwenye televisheni na kuzunguka majimboni wakati wa kampeni zake, kimebezwa na Edward...

Habari za Siasa

Lissu: Wataiba kura zangu

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amedai ushindi wake ukiwa mwembamba, ‘utapinduliwa.’ Anaripoti Mwandishi Wetu, Muleba...

Habari za Siasa

Wanachama, viongozi 28 ACT-Wazalendo  Z’bar mbaroni

VIONGOZI na wanachama 28 wa Chama cha ACT-Wazalendo Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kujeruhi na...

Habari za Siasa

Fatma Karume ang’olewa TLS, asema…

KAMATI ya Maadili ya Mawakili Tanganyika imemkuta na hatia, Fatma Karume ya kukiuka maadili ya uwakili hivyo kuamlu jina lake (namba 848) kuondolewa...

Habari za Siasa

Lissu: Nitabadili mfumo

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, ameahidi kubadili mfumo wa kibiashara ili kuwaneemesha wananchi waliopo mipakani...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu, Membe mambo magumu

USHIRIKIANO kati ya Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania Bara kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Bernard Membe wa Chama cha...

Habari za Siasa

Maalim Seif amwita Lissu ampe mbinu za ushindi

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo anataka kukutana na Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema ili ampe...

Habari za Siasa

Majaliwa: 28 Oktoba siyo siku ya mzaha

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amemaliza ziara yake mkoa wa Mara na kuwaeleza wananchi Jumatano tarehe 28...

Habari za SiasaTangulizi

Kumwachia Lissu: Zitto amaliza utata

KAULI aliyoitoa Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo leo tarehe 22 Septemba 2020, imemaliza utata kwamba, chama hicho hakina jinsi ispokuwa kuungana...

Habari za Siasa

Chanzo ajali ya Chadema hiki hapa

GARI lililowabeba baadhi ya maofisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kupata ajali katika eneo la Msoka, Kata ya Ngogwa iliyopo...

Habari za Siasa

Lissu amharibia Magufuli Kagera 

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemchongea Rais John Magufuli kwa wananchi wa Mkoa wa Kagera,...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo kuanza na mambo 10 Ikulu

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetaja hatua 10 itakazochukua kuimarisha sekta binafsi na uwekezaji, endapo kitafanikiwa kushika dola. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora … (endelea).  ...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif amuunga mkono Lissu, Membe na Zitto wasema…

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetangaza kumuunga mkono Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020....

Habari za Siasa

Mgombea Chadema Dodoma Mjini ahidi afya, elimu, maji

AISHA Madoga, mgombea ubunge katika Jimbo la Dodoma mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kuboresha sekta ya elimu, afya na...

Habari za Siasa

Mgombea udiwani aahidi ujenzi Daraja la Nzuguni

ALOYCE Luhega, mgombea udiwani wa Kata ya Nzuguni, jijini Dodoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameahidi kusimamia ujenzi wa daraja linalounganisha Nzuguni C...

Habari za Siasa

JPM ampinga Lissu, asema ‘tusijaribu’

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amewataka Watanzania kutomchagua mgombea anayehubiri Serikali za Majimbo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora …...

Habari za Siasa

Kasubi ataja vipaumbele akichaguliwa Mzimuni

BAKAR Kasubi, mgombea Udiwani wa Mzimuni Kinondoni, jijini Dar es  Salaam amawaeleza wananchi wa kata hiyo endapo watamchagua atahakikisha wananchi wanapata asilimia 10...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu apata kigugumizi Kigoma Mjini, kisa Zitto

TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewaacha njia panda wanachama wa chama hicho Jimbo la Kigoma Mjini. Anaripoti...

Habari za Siasa

Bashange ampigia chapuo Kubenea Kinondoni

JORAN Bashange, Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha ACT-Wazalendo, amewataka wananchi wa jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam pamoja na Kata...

Habari za SiasaTangulizi

ZEC yawaengua wagombea 15 Uwakilishi, 11 wa ACT-Wazalendo

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imewaengua wagombea 15 wa uwakilishi na saba wa udiwani, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kukiuka masharti ya ujazaji...

Habari za Siasa

NEC yazungumzia Magufuli, Lissu kukutana Kigoma

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imesema, kugongana kwa Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Habari za Siasa

Lissu, Magufuli kukutana Kigoma

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia chama kikuu cha upinzani nchini humo Chadema watakuwa Mkoa mmoja wa Kigoma na Rais John Magufuli....

Habari za Siasa

Rais wa Burundi atua Kigoma, JPM ampokea

EVARISTE Ndayishimiye, Rais wa Burundi amewasili mkoani Kigoma nchini Tanzania katika ziara ya kiserikali ya siku moja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kigoma … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

NEC yaamua rufaa 616, CCM yakusanya majimbo 20

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa mchanganuo wa rufaa 616 za Ubunge, Udiwani na malalamiko jinsi walivyozishughulikia huku wagombea ubunge...

Habari za Siasa

Jacob ajinadi Ubungo, agusia ushirikiano Chadema na ACT-Wazalendo

BONIFACE Jacob, Mgombea Ubunge wa Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, wako tayari kuachiana maeneo ya uchaguzi, kama watapata maelekezo...

Habari za Siasa

Chadema: Hatumchukii Magufuli, ila…

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), nchini Tanzania, kimeeleza hakina tatizo na Rais John Magufuli, mgombea urais wa nchi hiyo kupitia Chama Cha...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Hakuweza Nyerere, itakuwa Polepole?

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, Humphrey Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha...

Habari za Siasa

Magufuli alia na CCM Kigoma

JOHN Pombe Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 amesema, kinachoimaliza...

Habari za Siasa

Magufuli awashangaa wanaompinga Dk. Mpango jimboni

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), RAIS John Pombe Magufuli amewashangaa watu wanaompinga Dk. Phillip Mpango katika Jimbo la Buhigwe...

Habari za Siasa

Zitto, Kubenea wamwaga sumu Mafia

ZITTO Zuberi Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na Saed Kubenea, mgombea ubunge wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam, wameongoza mashambulizi dhidi ya...

Habari za Siasa

Zitto: Akifika kwetu, anaonesha ubaguzi

AKIFIKA kwenye majimbo yanaoongozwa na wapinzani, anasema “mmechelewa kwa sababu mlichagua wapinzani.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Mafia … (endelea). Ni kauli ya Zitto Kabwe,...

Habari za Siasa

EP4R yanufaisha shule 28 Bariadi

SHULE 28 za wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu zikiwemo 11 za msingi na 17 za sekondari zimenufaika na mfumo wa uboreshaji wa...

Habari za Siasa

Maalim Seif agusa mtima wa Wazanzibari

UHURU wa kiuchumi kwa Wazanzibari kupitia zao la Karafuu, sasa utapatiwa ufumbuzi kwa wakulima kuuza kokote watakapo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zamzibar … (endelea)....

Habari za Siasa

Mgombea urais NCCR-Mageuzi kugawa bure taulo za kike shuleni

YEREMIA Kulwa Maganja, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, ameahidi kugawa taulo za kike ‘Pad’ bure katika shule zote, atakapofanikiwa kushinda...

error: Content is protected !!