JOB Ndugai, mbunge mteule wa Jimbo la Kongwa, Dodoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amewataka Watanzania kuwapuuza wagombea wa vyama vya upinzani nchini. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2020RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitahakikisha mgombea wake Dk. Hussein Mwinyi anashinda urais visiwani Zanzibar. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza wabunge wateule 18 wa chama tawa cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania ambao wanasubiri kuapishwa. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi MaalumAugust 28, 2020ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania na Afrika Mashariki, Emmaus Mwamakula, amewataka wagombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa...
By Regina MkondeAugust 28, 2020MAMIA ya wananchi wanaendelea kujitokeza katika uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zinazofanyika leo Ijumaa...
By Regina MkondeAugust 28, 2020MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, atazindua kampeni zake za uchaguzi mkuu kesho Ijumaa 28 Agosti...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwarejesha zaidi ya wagombea ubunge 30 na udiwani 600 walioondolewa...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2020CHAMA cha ACT-Wazalendo kimelaumu vitendo vya wagombea wao kuwekewa pingamizi ama kuondolewa na wasimamizi wa uchaguzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kimeeleza, iwapo...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeyatupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema dhidi ya wagombea wenzake...
By Hamisi MgutaAugust 27, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, amewawekea pingamizi wagombea wawili wa urais akidai wamekiuka Sheria za Uchaguzi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2020HATUA ya David Mwaijojele, Mwenyekiti wa Chama Cha Kijamii (CCK) kurejesha fomu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) akiwa peke yake, imefukua mgogoro...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2020TUNDU Lissu, Mgombea urais wa Tanzania, amewasilisha mapingamizi dhidi ya wagombea wengine wa urais walioteuliuwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini....
By Mwandishi WetuAugust 26, 2020TAKRIBANI majimbo 20 ya ubunge Tanzania Bara, yapo njia panda baada ya wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutajwa kupita bila kupingwa. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2020DAKTARI Hussein Mwinyi, mgombea wa urais visiwani Zanzibar, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amewataka viongozi wa chama hicho visiwani humo ‘kuacha mazoea.’ Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amekwama kuhudhuria kesi yake ya uchochezi namba 236/2017 na 123/2017...
By Faki SosiAugust 26, 2020JOSEPH Mbilinyi maarufu ‘Sugu,’ mgombea ubunge Mbeya Mjini (Chadema) na Dk. Tulia Akson, mgombea jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameanza kutambiana. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2020TUNDU Lissu, mgombe urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mgombea mwenza wake Salum Mwalimu, wameponea kwenye ‘tundu la sindano.’ Anaripoti Regina...
By Regina MkondeAugust 26, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewateua wagombea 15 kugombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Tundu Lisuu kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema na mgombea mwenza, Salum Mwalimu katika Uchaguzi...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2020WAGOMBEA 16 wa vyama vya siasa nchini Tanzania, watachukuana kuwania Ubunge wa Arusha Mjini katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), haijamteua David Mwaijojele wa Chama Cha Kijamii (CCK) kuwa mgombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Hashim Rungwe wa chana cha Chaumma kugombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28...
By Masalu ErastoAugust 25, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Bernard Membe kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo na mgombea mwenza, Profesa Omar Fakih Hamad...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2020ALIYEKUWA mbunge wa Ubungo, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Saed Kubenea, amejigamba kushinda kinyang’anyiro cha ubunge katika jimbo la Kinondoni. Anaripoti...
By Regina MkondeAugust 25, 2020HALIMA Mdee, Mgombea Ubunge Kawe, Dar es Salaam kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema ‘Gwajima (Josephat Gwajima) kitu gani.’ Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeAugust 25, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Wananchi (CUF) na mgombea mwenza,...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amekagua magari yaliyotaifishwa baada ya kuhusika katika matukio ya uhujumu uchumi kisha kuhifadhiwa katika kituo cha mabasi...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2020MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Semistocles Kaijage amemteua Yeremia Maganja wa NCCR-Mageuzi kuwa mgombea urais wa Tanzania katika...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemteua Cecilia Augustino Mwanga wa chama cha Demokrasia Makini kuwa mgombea urais wa Tanzania na Tabu Mussa...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2020AMANDUS Komba, mgombea ubunge Kawe jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha TLP, amejigamba kuwaangushwa Halima Mdee (Chadema) na Askofu wa Kanisa la...
By Regina MkondeAugust 25, 2020WAGOMBEA wawili kwenye uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, wana mambo mazito ya kushawishi wananchi hivyo kufanya uchaguzi kuwa mgumu. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeAugust 25, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemteua John Shibuda wa Ada Tadea kuwa mgombea urais wa Tanzania na Hassan Konde Kijongoo kuwa mgombea...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemteua Rais John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Tanzania na Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza, kupitia...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2020HOFU mpya imeanza kutanda nchini Tanzania juu ya hatma ya mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...
By Saed KubeneaAugust 25, 2020MACHO na masikio ya Watanzania wengine yanaelekezwa Jiji la Dodoma kutakakofanyika uteuzi wa wagombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe...
By Regina MkondeAugust 24, 2020WAZIRI Mkuu mstaafu wa Tanzania, Joseph Sinde Warioba amesema, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inapaswa kuachwaa ili itekeleze wajibu wake...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2020VYAMA vya siasa nchini Tanzania, vimefanya uteuzi wa wagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 huku idadi ya wanawake...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2020CHAMA Cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, kimewatangaza wagombea wake 136 wa ubunge katika majimbo ya Tanzania Bara. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2020JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, linawashikilia watu 12 Wilaya ya Hai kwa mahojiano wakituhumiwa kufanya vurugu na kushambulia kwa mawe mkutano wa...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2020TUNDU Lissu, Mgombe urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, madai yanayotolewa kuwa atapingwa kwa kufanya kampeni kabla ya...
By Faki SosiAugust 23, 2020MGOMBEA Ubunge Tanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ummy Mwalimu amesema, atafanya kampeni shuka kwa shuka, kitandanda kwa kitanda na uvungu kwa...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2020JUMUIYA ya Maridhiano Tanzania inaratajia kufanya kongamano la maombi kwa ajili ya kuombea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Danson...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2020CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, ‘kimewakata’ wabunge wake zaidi ya 90 waliokuwa wakitetea nafasi zao ndani ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu...
By Regina MkondeAugust 21, 2020MAWAZIRI wanaohudumu kwenye utawala wa awamu ya tano chini ya Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli ‘wamekatwa’ kwenye mchakato wa kuwania ubunge ndani...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, amekamilisha hatua...
By Regina MkondeAugust 21, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli amemteua Balozi John Kijazi kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imeagiza vyama vya siasa vilivyokumbwa na changamoto za wagombea wao kunyimwa fomu za uteuzi, kuwasilisha...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2020MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia chama cha upinzani ACT-Wazalendo, Bernard Kamillius Membe, amewakaribisha ndani ya chama hicho wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2020WABUNGE takribani 75 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao walijitosa kutetea nafasi zao katika uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba mwaka huu, wameangukia pua. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2020CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, kimetangaza orodha ya wagombea ubunge katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020, huku mchuano mkali...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2020