Friday , 1 March 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Magufuli amteua Balozi Kijazi mkuu wa chuo Udom
Habari za Siasa

Magufuli amteua Balozi Kijazi mkuu wa chuo Udom

Balozi John Kijazi
Spread the love

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amemteua Balozi John Kijazi kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Taarifa iliyotolewa na Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa imesema, uteuzi wa Balozi Kijazi ambaye ni ni Katibu Mkuu Kiongozi unaanza leo Ijumaa tarehe 21 Agosti, 2020.

Balozi Kijazi anachukua nafasi ya aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Hayati Benjamin William Mkapa.

         Soma zaidi:-

Mkapa alifikwa na mauti Alhamisi ya tarehe 23 Julai 2020 saa 3:30 usiku katika moja ya Hospitali ya jijini Dar es Salaam kwa mshituko wa moyo.

 

 

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Mwili wa Hayati Mwinyi kuagwa leo saa 8 Uwanja wa Uhuru

Spread the loveMWILI wa Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi unatarajiwa kuagwa kuanza...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Mwinyi kuzikwa Machi 2 visiwani Unguja

Spread the loveMWILI wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais mstaafu Mwinyi afariki dunia

Spread the loveRais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan...

Habari za Siasa

Waziri mkuu Ethiopia atua Tanzania

Spread the loveWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia,...

error: Content is protected !!