Sunday , 28 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Membe achukua fomu kuwania urais Tanzania

BERNARD Kamilius Membe, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha ACT-Wazalendo, amechukua fomu ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28...

Habari za Siasa

Babu Duni, Selasini watofautiana NCCR-Mageuzi kushirikiana na Chadema, ACT-Wazalendo

MAKAMU Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo-Zanzibar, Juma Duni Haji maarufu ‘Babu Duni’ amekitaka Chama cha NCCR-Mageuzi kukubali kushirikiana na vyama vingine vya upinzani...

Habari za Siasa

Lissu kupokelewa kifalme Dodoma

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kati, kimeandaa mapokezi ya aina yake pindi Tundu Lissu atakapokanyaga ardhi ya jiji hilo. Anaripoti Danson...

Habari za Siasa

CUF ‘wamchomea’ Lissu, Membe

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeeleza, rais hapaswi kuchaguliwa kwa kuhurumiwa kutokana na kupigwa risasi ama kufukuzwa kwenye chama chake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za Siasa

Sheikh Alhad: Mufti angeruhusi, ningejiunga NCCR-Mageuzi

ALHAD Mussa Salum, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, Kama Sheikh Aboubakar Zuberi, Mufti Mkuu wa Tanzania angemruhusu kujiunga na...

Habari za Siasa

Watatu wajitosa kuwania urais NCCR-Mageuzi

WANACHAMA watatu wa chama cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania, watachuana kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu, Membe watwishwa zigo ushirikiano Chadema na ACT-Wazalendo

HATMA ya kuwapo kwa ushirikiano wa vyama viwili vya siasa nchini Tanzania vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT- Wazalendo kuelekea...

Habari za Siasa

Magufuli atamani Ndugai awe spika tena

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, ameanza kupigiwa kampeni za kuongoza Bunge hilo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya uchaguzi...

Habari za Siasa

CCM kuzindua kampeni Dodoma

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Rais John Pombe Magufuli, amependekeza kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba 2020 za...

Habari za Siasa

Magufuli: Nataka Tanzania iwe kama Ulaya

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli amesema, Serikali anayoingoza, imefanya mambo makubwa kwa wananchi huku akitamani...

Habari za Siasa

CCM yaiga staili ya upinzani

KAULI zilizokuwa zikitolewa na vyama vya upinzani nchini Tanzania kwamba ‘tutalinda kura zetu,’ sasa zinatolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu 2020: CCM yaanza mbwembwe

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania kimeanza kumwaga tambo, mbwembwe na kejeli dhidi ya vyama pinzania kuelekea uchaguzi mkuu wa Jumatano tarehe 28...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli achukua fomu kuwania urais Tanzania

DAKTARI John Pombe Magufuli amechukua fomu ya kuwania urais wa nchi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Alhamisi tarehe 6 Agosti 2020...

Habari za Siasa

Prof. Assad atajwa Ilani ya ACT-Wazalendo

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeahidi kumrudisha  Profesa Mussa Assad, katika nafasi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Ilani ya ACT-Wazalendo hii hapa

MKUTANO Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo uliofanyika jana tarehe 5 Agosti 2020, jijini Dar es Salaam umepitisha Ilani zake Uchaguzi Mkuu wa tarehe...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yafanyia mabadiliko Katiba yake

MKUTANO Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, umefanya marekebisho ya Katiba ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Mabadiliko hayo...

Habari za Siasa

Urais Z’bar: Maalim Seif amtumia salamu Dk. Mwinyi

MAALIM Seif Shariff Hamad, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, amemtumia salamu Dk. Hussein Mwinyi,...

Habari za Siasa

Watatu wachukua fomu za urais Tanzani

WAGOMBEA watatu wamechukua fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020....

Habari za Siasa

Membe ataja mtaji wa kumwingiza Ikulu, agusia katiba mpya

BERNARD Kamilius Membe, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha upinzani nchini humo cha ACT-Wazalendo ameeleza mikakati atakayoifanya yeye na chama chake, pindi...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif, Membe wateuliwa kugombea urais Tanzania na Z’bar

MKUTANO Mkuu wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, kimewateua Bernard Membe na Maalim Seif Sharif Hamad kuwa wagombea urais...

Habari za Siasa

Fatma Karume atoa somo la demokrasia, amkosoa Msajili

FATMA Karume, Rais Mstaafu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, ametoa somo la demokrasia kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, unaofanyika leo...

Habari za Siasa

Lissu amtahadharisha Membe, agusia ushirikiano na ACT-Wazalendo

MWANASIASA machachari wa upinzani nchini Tanzania,Tundu Antipas Lissu, amemuonya kada wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bernard Membe, kuwa upinzani wa sasa...

Habari za Siasa

Zitto aeleza ACT-Wazalendo itakayofanya ikiingia Ikulu

KIONGOZI wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amechambua masuala mbalimbali ambayo chama hicho endapo kikiibuka mshindi katika...

Habari za SiasaTangulizi

Msajili ashangazwa Lissu kuibuka mkutano ACT-Wazalendo, Chadema yamjibu

OFISI ya Msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania, imeendelea kusisitiza vyama vya siasa kuzingatia sheria za nchi katika kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...

Habari za Siasa

Polepole alia na Lissu, Chadema

HUMPREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kukishughulikia Chama cha Demokrasia...

Habari za Siasa

Lissu aibua shangwe mkutano mkuu ACT-Wazalendo

TUNDU Antipus Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameibua shangwe ndani ya Mkutano Mkuu wa ACT-Wazalendo. Anaripoti...

Habari za Siasa

Polepole apasua vichwa waliopita kura za maoni

CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kutokuwa na simile kwa wanachama wake, waliopita kwenye kura za maoni kisha kukutwa na makandokando. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Tukishindwa tutakubali, lakini tukishinda…

MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, endapo watashindwa kihalali katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 watakuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Wiki hii: JPM, Lissu ‘kukutana’ NEC

MIOAMBA miwili ya siasa nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, inatarajiwa ‘kupigana kumbo’ katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi (NEC),...

Habari za Siasa

Membe, Maalim Seif kuteuliwa na ACT-Wazalendo kugombea urais Tanzania, Z’bar?

CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, kinafanya mkutano mkuu wa chama hicho ukiwa na ajenga mbili kuu kuelekea Uchaguzi Mkuu...

Habari za Siasa

NEC kuanza kutoa fomu za urais leo

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaanza kutoa fomu za uteuzi kwa wagombea urais wa Tanzania na makamu wake, kuanzia leo Jumatano tarehe...

Habari za Siasa

Chadema: Siku 60 za kampeni zitafidia miaka 5 ya giza

CHAMA cha Demokrasia na Maendeeleo (Chadema), kimesema kitatumia siku 60 za kampeni za uchaguzi kwa kasi kufidia miaka  mitano ya kuwa kigzani katika...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu azidi kuruka vihunzi kugombea urais Tanzania

MKUTANO Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, umemteua Tundu Antipus Lissu, kuwa mgombea urais wa nchi hiyo utakaofanyika Jumatano...

Habari za Siasa

Mgombea Urais Chadema Z’bar: Nina wake watatu, watoto kumi ninaweza

SAID Issa Mohamed, ameteuliwa na Mkutano Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuwa mgombea urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...

Habari za Siasa

Ilani ya Chadema 2020 hii hapa

MKUTANO Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umepitisha Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Ilani hiyo...

Habari za Siasa

Siku 100 za Chadema Ikulu

NDANI ya siku 100 za utawala mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), endapo kitapata ridhaa ya wananchi, zitakuwa za kimapinduzi. Anaripoti...

Habari za Siasa

Siri iliyojaa hofu CCM

SAFARI ya kupeleka vilio ama vicheko kwa wateule wake waliopita kwenye kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inazidi kushika kasi....

Habari za Siasa

Msajili avitaka vyama vya siasa kuzingatia sheria

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tazania, umetoa wito kwa vyama vya siasa nchini humo kuhakikisha wanazingatia sheria na taratibu. Anaripoti...

Habari za Siasa

Butiku atamani uchaguzi mkuu uwe huru, amani

TAASISI ya Mwalimu Nyerere imesema, Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 ukiwa wa amani, huru na haki utawezesha kupatikana viongozi bora....

Habari za Siasa

Maalim Seif amtwisha Mbowe mzigo wa ushirikiano, yeye amjibu

MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kukubali kushirikiana katika...

Habari za SiasaTangulizi

Mnyika: Mgombea urais Chadema atachukua fomu Agosti 8

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, John Mnyika amesema, mgombea wao wa urais atakwenda kuchukua fomu za urais...

Habari za Siasa

Jaji Mutungi aionya Chadema kunajisi katiba, sheria

JAJI Francis Mutungi, Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, amekionya Chama Kikuu cha Upinzani nchini huko Chadema kuacha kukiuka Katiba na Sheria...

Habari za SiasaTangulizi

Shangwe zatawala mkutano mkuu Chadema

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinafanya mkutano mkuu wake leo Jumanne tarehe 4 Agosti 2020 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar...

Habari za Siasa

Mwalimu apendekezwa mgombea mwenza urais Chadema

BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema) kimependekeza kwa mkutano mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu kuwa mgombea mwenza wa urais...

Habari za Siasa

Urais Z’bar: Chadema kumsimamisha Said Mohamed

BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema) kimependekeza kwa mkutano mkuu wa chama hicho, Said Issa Mohamed kuwa mgombea Urais wa...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu ashinda Urais Chadema

TUNDU Antipus Lissu, amependekezwa na wajumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema) kuwa mgombea urais wa chama hicho katika...

Habari za Siasa

Wagombea urais Chadema wabanwa mbavu

WAJUMBE wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamewabana watia nia wa urais kupitia chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Mbowe ataja sababu ya kukacha kugombea urais

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, ameacha kugombea urais ili ajenge chama hicho. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi Mkuu: ACT-Wazalendo, Chadema nguvu moja

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama cha ACT-Wazalendo, wapo kwenye meza ya mazungumzo ya kuunda nguvu moja ili kuing’oa...

Habari za Siasa

Asilimia 70 wakazi Dar ni wambea – Makonda

PAUL Makonda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, asilimia 70 ya wakazi wa jiji hilo ni wambea. Anaripoti Regina Mkonde,...

error: Content is protected !!