UCHUNGUZI wa tathmini ya uwepo wa thamani ya fedha katika utekelezaji wa mradi wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Rufaa ya...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2021HOSPITALI ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam (MNH), imefunga mashine nne za kutoa dawa kwa njia ya mvuke ili kusaidia wagonjwa...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2021MAHAKAMA ya mjini Istanbul nchini Uturuki, imeanza vikao vya kusikiliza kesi inayohusu mauaji ya aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa utawala wa Saudi Arabia na...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2021FRANCIS Ciza maarufu Majizo, amejitokeza kumzungumzia mke wake, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa uvumilivu aliouonyesha wakati wa uchumba wao na hatimaye ndoa. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2021RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi amewaingiza kwenye baraza lake la amwaziri Dk. Saada Mkuya Salum, Nassor Ahmed Mazrui na Omar Said...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2021NCHI kadhaa Afrika ikiwa ni pamoja na Rwanda, Kenya, Uganda, Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), tayari zimepokea chanjo ya...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2021OTHMAN Masoud Sharif, Makamu wa Kwanza wa Rais visiwani Zanzibar, ametaja mambo matatu yaliyombeba kuteuliwa katika nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2021TAKRIBANI mapadri 25, masista, manesi na madaktari 60 wa Kanisa Katoliki Tanzania, wamefariki dunia kutokana na tatizo la kupumua, ndani ya kipindi...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2021BARAZA la Wanawake wa Chama cha Demokarasia na Maendeleo (Bawacha), nchini Tanzania, limesitisha kongamano la ‘Siku ya Wanawake Duniani’ kitaifa, lililopangwa kufanyika...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2021MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetengeneza kanuni ndogo zitakazoratibu bei za vifurushi vya mitandao ya simu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2021KAMPUNI ya Huawei, imeunga mkono Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (UN SDGs), katika kujenga ulimwengu wa kijani, ubunifu na...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2021WATU 10 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kwa tuhuma za kujihusisha na wizi wa pikipiki. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2021KUPIMA virusi vya corona (COVID-19), visiwani Zanzibar sasa ni Dola za Marekani 80 (zaidi ya Sh.180,00), badala ya Sh.30,000 za awali. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2021RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amewataka waandishi wa habari visiwani humo, kuandaa namna bora ya kuunda sheria mpya ili kuimarisha sekta...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2021SIKU chache baada ya Maalim Seif Shariff Hamad (71), aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais visiwani humo kufariki dunia, Rais wa Zanzibar,...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2021DK. Bashiru Ally, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameapishwa rasmi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2021DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu Kiongozi amesema, taarifa za kuteuliwa kwake, kwa mara ya kwanza alizipata kupitia mitandaoni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2021RIPOTI mpya iliyotolewa na shirika la kijasusi la Marekani (CIA), imemtaja mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia Arabia, Mohammed Bin Salman,...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2021RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaan … (endelea). ...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2021WIZARA ya Afya nchini Tanzania, imeanza kutumia teknolojia ya panyabuku, kubaini ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB), kwa sampuli za wagonjwa wenye dalili...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2021DAKTARI Dorothy Gwajima, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto nchini Tanzania amesema, matamko kuhusu magonjwa ya kuambukiza ikiwemo...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2021ARTHUR Shoo, Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, amefariki dunia jana Alhamisi usiku, tarehe 25...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2021BARAZA la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), limetangaza mchakato wa kuwapata viongozi wake ngazi ya juu, ikiwemo ya mwenyekiti...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2021BENKI ya Exim imetoa Sh.10 milioni kwa taasisi ya Asma Mwinyi Foundation (AMF), kwa ajili ya kuwezesha ununuzi wa vifaa vya ujenzi...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2021RAIS wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amesema, serikali yake haikasirishwi na vyombo vya habari vinavyoikosoa, lakini ukosoaji huo, ni sharti uwe...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2021SERIKALI ya Marekani nchini Tanzania, imeonya wasafiri wanaotaka kutembelea taifa hilo kutofanya hivyo, kufuatia kuwapo kwa maambukizi makubwa ya virusi vya Corona....
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli, ameivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2021RAIS John Magufuli ametaka miradi mbalimbali nchini kukamilika kwa wakati, na kwamba hataki kusikia imesimama kwa sababu ya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2021WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Mpowora, Wilaya ya Masasi, Mkoa wa Mtwara, wameiomba Serikali kuwajengea madarasa kwani yaliyopo ni mabovu na yanahatarisha...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2021MWILI wa Luca Attanasio, aliyekuwa Balozi wa Italia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), umerejeshwa Roma nchini humo kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli amekumbusha ‘machungu’ ya Mizengo Pinda, aliyekuwa Waziri Mkuu katika Serikali ya awamu ya nne kuhusu bomoabomoa ya...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2021MCHEZAJI namba moja wa gofu duniani, Tige Wood amenusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari Los Angeles, Marekani. Inaripoti Aljazeera …...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2021RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, leo Jumatano tarehe 24 Februari 2021, amezindua Daraja la Juu la Ubungo, jijini Dar es Salaam,...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka wazazi na walezi wahakikishe wanawapunguzia watoto majukumu ya nyumbani na kuwawezesha kupata muda wa kujisomea...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2021WATANZANIA wametakiwa kujenga utamaduni wa kuwekeza, kwa kuwa uwekezaji si lazima kuwa na pesa nyingi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2021WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), umetoa maelekezo kwa abiria wanaotumia usafiri huo jijini Dar es Salaam, wa namna bora ya kujikinga...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2021LUCA Attanasio, Balozi wa Italia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ameuawa katika shambulio lililolenga magari ya Umoja wa Mataifa (UN)....
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2021BWANAHERI Akili, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi, Namalombe iliyopo Nanyumbu mkoani Mtwara, ameiomba serikali kujenga madarasa mengine katika shule yake kwa...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2021MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo, amefariki dunia leo asubuhi Jumanne, tarehe 23 Februari 2021, Hospitali ya...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2021MWILI wa katibu mkuu wa zamani wa wizara ya fedha na mipango nchini Tanzania, Dk. Servacius Likwelile, unazikwa leo Jumanne tarehe 23...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2021MAELFU ya wananchi wa Myanmar wamejitokeza katika miji mbalimbali nchini humo, wakipinga utawala wa kijeshi. Inaripoti Aljazeera…(endelea). Taarifa kutoka Myanmar zinaeleza, kwamba biashara...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2021SERIKALI imepanga kutumia ndege ya kunyunyuzia sumu ili kuangamiza wadudu waharibifu aina ya nzige katika wilayani Longido na Simanjiro. Aanaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kauli...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2021EMMANUEL Lukmai, alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jimbo la Bagamoyo amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuFebruary 21, 2021HALIDI Mchanga, Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Naliendele, amesimamishwa kazi kwa kushindwa kukamilisha mradi wa bweni na bwalo la chakula katika...
By Mwandishi WetuFebruary 21, 2021RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kujihadhari na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Ametoa wito...
By Mwandishi WetuFebruary 21, 2021MWILI wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Tanzania, Balozi John Kijazi (64), umepumzishwa katika makazi yake ya milele. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuFebruary 20, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, hakuna anayekatazwa kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Majaliwa ametoa kauli...
By Mwandishi WetuFebruary 20, 2021ALIYEKUWA Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Tanzania, Balozi John Kijazi (64), amefariki dunia kutokana na maradhi ya moyo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuFebruary 20, 2021SAFARI ya ushirikiano baina ya Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli na aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi wake, Balozi John Kijazi, ilianza tangu...
By Mwandishi WetuFebruary 19, 2021JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, amelazimika kusoma hadharani ujumbe aliotumiwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango, ili kukanusha taarifa...
By Mwandishi WetuFebruary 19, 2021