Thursday , 18 April 2024
Home mwandishi
8667 Articles1235 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru ‘amshambulia’ Mbowe

DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekinzana na kauli aliyoitoa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Tangulizi

Elon Musk: Mtu tajiri zaidi duniani

KWA mujibu wa taasisi ya Bloomberg Billionaires Index na Forbes Real Time Billionaires, Elon Musk ambaye ni Mmiliki wa Kampuni ya Tesla na...

Michezo

Beki Yanga apata pigo, afiwa na watu wawili kwa mpigo

BEKI wa kati na nahodha msaidizi wa klabu ya Yanga, Bakari Mwamnyeto amepata pigo kwa kufiwa na mchumba wake pamoja na mtoto usiku...

Kimataifa

Trump yamemshinda, asalimu amri

DONALD Trump, Rais wa Marekani ‘amezingirwa’ na sasa amesema, “nitakabidhi madaraka kwa amani.’ Inaripoti mitandaoya kimataifa…(endelea). Kwa mara ya kwanza tangu kufanyika Uchaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

SUK ni ‘sherehe’ Z’bar

UAMUZI wa Chama cha ACT-Wazalendo kushiriki katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani Zanzibar (SUK), unaonekana kuwa wa busara. Anaandika Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

Polisi afumwa na bangi, gongo, viroba

JESHI la Polisi nchini Tanzania, limemtimua kazi ofisa wake kwa kukutwa na bangi, gongo, viroba pamoja na kujiunganishia umeme kinyume cha utaratibu. Anaandika...

Habari Mchanganyiko

Tatizo la maji lamuibua Mbunge Kibamba, aipa maagizo Dawasa

MBUNGE wa Kibamba (CCM), Issa Mtemvu ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), kukamilisha kazi ya kufikisha maji...

Kimataifa

Joe Biden azidi kumuadhibu Trump

RAPHEI Warnock, ndio seneta wa kwanza mweusi katika jimbo la Georgia, nchini Marekani. Anatokea chama cha Democrat cha rais mteule, Joe Biden. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Wizara afya yakaribisha malalamiko ya wananchi

WIZARA ya Afya nchini Tanzania imesema, ipo tayari kupokea malalamiko ya wananchi ambao hawapatiwi huduma wanazostahili. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kauli hiyo imetolewa...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif aeleza tiba ajira za ubaguzi Z’bar

MAALIM Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ameeleza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ajira ikiwa ni hatua za kutibu ubaguzi...

Kimataifa

Bunge la Marekani lavamiwa, risasi zarindima

WAFUASI wa Donald Trump, Rais wa Marekani wamevamia bunge la nchi hiyo, jijini Washington wakitaka rais huyo kubaki madarakani. Inaripoti mitandao ya kimataifa...

Habari Mchanganyiko

‘Trump avamia Bunge,’ risasi zarindima

WAFUASI wa Donald Trump, Rais wa Marekani wamevamia bunge la nchi hiyo, jijini Washington wakitaka rais huyo kubaki madarakani. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

Dawasa yaendesha miradi 22 ya halmashauri Temeke

MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), imechukua miradi ya kijamii 22 iliyokua chini ya halmashauri ya Temeke...

Afya

Corona yaitesa Afrika: Congo, Rwanda, Zimbabwe hakutoshi

GONJWA hatari la Corona, sasa limerejea kwa kasi katika Bara la Afrika, ambako mamilioni ya watu tayari wameambukizwa ugonjwa huo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Kimataifa

Barua ya Makanisa USA kwa Biden kuhusu Palestina Vs Israel

MAKANISA na Mashirika ya Kikristo nchini Marekani, yamemuandika barua ya pamoja rais mteule wa taifa hilo, Joe Biden kuhusu athari za uvamizi wa...

Habari

Rais Mwinyi: Asiyekuwemo, hatoingizwa

RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi amesema, katika hatua anazochukua kuondoa ‘uchafu’ katika Serikali yake, ‘asiyekuwemo hatoingizwa.’ Anaandika Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). Akizungumza wakati wa...

Afrika

Uchaguzi Uganda: Museveni ateua mwanajeshi kusimamia usalama

YOWERI Kaguta Museveni, Rais wa Uganda, ameamua kumteua Brigedia Kayanja Muhanga, kusimamia masuala ya usalama wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu nchini humo unaotarajiwa...

Habari Mchanganyiko

Safari za meli kutoka Tanzania-Msumbiji, Malawi yazinduliwa

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezindua rasmi safari ya meli mpya ya MV Mbeya II itakayotoa huduma katika Ziwa Nyasa nchini na...

Habari Mchanganyiko

Dawasa yatangaza upungufu wa maji saa 24 Dar

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (Dawasa), imetangaza upungufu wa huduma ya maji kwa baadhi ya wananchi wa Jiji...

Kimataifa

Rais Trump alipanga njama za wizi wa kura 

RAIS anayeondoka mamlakani nchini Marekani, baada ya kushindwa uchaguzi mwezi uliyopita, Donald Trump, amedukuliwa kuwa alipanga njama za wizi wa kura. Anaripoti Mwandishi...

Kimataifa

COVID-19: Baada ya miezi 9, Kenya yafungua shule

BAADA ya miezi tisa ya kufungwa kwa shule nchini Kenya, leo Jumatatu tarehe 4 Januari 2021, shule hizo zimefunguliwa na kuanza masomo. Inaripoti...

Habari Mchanganyiko

Mtoto wa Mwalimu Nyerere kuzikwa Pugu

MWILI wa Rosemary, mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere utazikwa Jumatano hii ya tarehe 6 Januari 2021, makaburi ya Kituo cha...

Habari Mchanganyiko

Kisima cha mwaka 1989 chafufuliwa Dodoma, mkandarasi apewa siku 60

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Maji nchini Tanzania, Mhandisi Nadhifa Kemikimba, ametoa siku 60 kwa mkandarasi SUMA JKT anayejenga tanki la maji eneo...

Habari Mchanganyiko

Corona inavyoendelea kuitesa Afrika, dunia 

MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani, yamefikia milioni 85.5, waliopona milioni 60.4 na waliopoteza maisha milioni 1.8. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za Siasa

Maalim Seif aanza kuwakamua sumu Wazanzibari

MAALIM Self Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ameeleza athari  zinazotokana na siasa za mivutano. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar …...

Habari Mchanganyiko

Mtoto wa Mwl. Nyerere afariki dunia

ROSEMARY Julius Nyerere, mtoto wa saba wa Mwalimu Julius Nyerere, Rais wa Kwanza Tanzania, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Taarifa...

Habari Mchanganyiko

Video ya Darul Uloom Haqqania  iliyotibua Serikali ya Kabul

VIDEO iliyowekwa na Chuo cha Darul Uloom Haqqania, Pakistan kwenye mitandao ya kijamii ikiwasifu  wanamgambo wa Taleban, imeitia hasira Serikali ya Pakistan. Anaandika...

Habari za Siasa

Lissu: Tusishiriki tena uchaguzi hadi…

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara nchini Tanzania, Tundu Lissu, amevishauri vyama vya siasa vya upinzani nchini humo, kutoshiriki...

Habari za SiasaTangulizi

Membe aimwaga ACT-Wazalendo

ALIYEKUWA mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe ametangaza rasmi kujiuzulu uanachama na na nafasi ya mshauri mkuu wa chama hicho....

Habari za SiasaTangulizi

TRA yaweka historia, yakusanya Trilioni 2 Desemba

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imeweka historia ya makusanyo ya mapato kwa Desemba 2020, kwa kukusanya Sh.2.088 trilioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari Mchanganyiko

Askofu Mkude ang’atuka Jimbo la Morogoro

BABA Mtakatifu Francisko, ameridhia ombi lililowasilishwa kwake na Askofu wa Jimbo Katoliki la Morogoro nchini Tanzania, Telesphor Mkude la kung’atuka madarakani. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Taasisi 20 za Serikali zapewa siku 30 kulipa bilioni 30 za TTCL

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile amezipa siku 30 taasisi za umma zinazodaiwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)...

Habari za SiasaTangulizi

Masharti yatolewa kuuaga mwaka 2020, mwisho saa 6:30 usiku

WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene amepiga marufuku, makongamano ya dini au mikutano ya mikesha inayofanyikia viwanja vya wazi usiku...

Habari za SiasaTangulizi

Takukuru yaiokoa Tanesco, yawaonya wakandarasi 16

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, imerejesha vifaa ghafi vya umeme vya zaidi ya Sh.1.2 bilioni kwa Shirika la...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Mwinyi abaini ufisadi taasisi za umma ‘tutawagusa wote’

RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi amesema, katika kipindi kifupi alichokaa madarakani, amebaini ubadhirifu wa fedha za umma katika taasisi za Serikali. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi ateua Ma DC

RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, amefanya uteuzi wa wakuu wa wilaya (DC) kumi visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Uteuzi huo...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli asimulia alivyonusurika kifo, atua Chato

RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amekagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigongo – Busisi, lililopo jijini Mwanza, litakalokuwa na urefu wa 3.2...

Makala & Uchambuzi

Kifo cha Baloch, Canada katikati ya shinikizo zito

JUSTIN Trudeau, Waziri Mkuu wa Canada anatakiwa kuchunguza kifo tatanishi cha mwanaharakati Karima Baloch. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Ni kutokana na shinikizo...

Habari za Siasa

Rais Magufuli amtumbua DED

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, Revocatus Kuuli. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Majengo chakavu Z’bar kufungwa, Dk. Mwinyi atoa maagizo  

RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi ameagiza Tume ya Uchunguzi wa Majengo ya Kihistoria yaliyoko katika Mji Mkongwe, atakayoiunda, kuwahi kutoa orodha ya majengo...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kisa bando la intaneti, TCRA yapewa siku 90

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (Tehama) nchini Tanzania, Dk. Faustine Ndugulile, ameipa miezi mitatu (siku 90), Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo TPA wasimamishwa, bandari tano kuchunguzwa na CAG

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum Bandari za Dar es Salaam, Mwanza,...

Habari Mchanganyiko

Uswizi yaeleza wasiwasi juu ya mawakala wa haki za Watibeti

KRYSTYNA Marty, Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali Uswizi amefanya mazungumzo na Qin Gang, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China kuhusu mahusiano...

Habari za Siasa

Rais Magufuli amwokoa Sugu

RAIS John Magufuli ameagiza Hoteli ya Desderia inayomilikiwa na aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, isivunjwe. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa hiyo...

Habari za Siasa

Mauaji mkesha wa Krismas

WATU kadhaa wameuawa Kaskazini Mashariki mwa Nigeria baada ya wanamgambo wa Boko Haram kushambulia vijiji vya Wakristo na kuteketeza Kanisa wakati wa Mkesha...

Habari za Siasa

Zitto, Mdee washinda tuzo ya mwanasiasa bora mtandaoni

KIONGOZI wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Halima Mdee,  wameshinda tuzo za...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaibwaga CCM, ACT-Wazalendo

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeshinda Tuzo ya Watu, Taasisi na Chapa, zinazoongoza mtandaoni (Tanzania Digital Awards), kwenye kipengele cha chama bora cha...

Habari za Siasa

Rais Magufuli awatakia Watanzania Heri ya Krismas

RAIS wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameungana na Watanzania kuadhimisha siku ya kuzaliwa Yesu Kristo, kwa kusali Misa Takatifu ya Krismasi. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Lissu aeleza machungu ya 2020

TUNDU Lissu, aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020, amesema...

Habari Mchanganyiko

Waliomuua Mawazo wa Chadema, nao kunyongwa

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Mwanza, imewahukumu kunyongwa hadi kufa, kwa  washitakiwa wanne waliotuhumiwa na Jamhuri, kumuua kwa makusudi,  Alphonce Mawazo. Anaripoti Faki Sosi,...

error: Content is protected !!