SHIRIKA la Wototo Duniani (UNICEF) limeeleza kuwa siku ya mwaka mpya kutazaliwa watoto 395,072 ambapo nchini Tanzania watazaliwa watoto 5,500 ambao ni sawa...
By Faki SosiDecember 31, 2018MWAKA 2018 unafikia tamati, katika miezi 12 inayokamilika leo wapo watu wanauaga mwaka kwa machungu yasiyosahaulika kwenye maisha yao milele lakini wapo wanaouona...
By Kelvin MwaipunguDecember 31, 2018TAMATI ya mwaka 2018 inakaribia, yapo yaliyofurahisha na kuchukiza. mwaka inakwisha huku taifa likibeba matukio mengi. miongozini mwayo yanahuzunisha na hata kuumiza mtu...
By Faki SosiDecember 31, 2018MWALIMU ya wa shule ya msingi Medeli ya Jijini Dodoma Anita Kimako (33) mkazi wa Area ‘C’ anayedaiwa kukifungia kabatini kichanga cha miezi...
By Danson KaijageDecember 31, 2018MKURUGENZI wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema kuwa jiji hilo linatarajia ifikapo mwaka 2021 jiji hilo litakuwa likijitegemea kwa mapato ya ndani. Anaripoti...
By Danson KaijageDecember 31, 2018PAMOJA na watanzania wengi kuendelea kulalamika kwa madai kuwa wana hali mbaya ya kiuchumi serikali imesema kuwa uchumi wa taifa huko imara na...
By Danson KaijageDecember 31, 2018KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk. Vincent Mashinji ‘amesukumwa ndani’ na wenzake saba mkoani Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Jeshi la Polisi mkoani humo...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2018WAZIRI Mkuu Kasimu Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi kuweka utaratibu wa kuwafidia watu wanaopisha maeneo yao. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma...
By Danson KaijageDecember 29, 2018WINGU zito limetanda katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, kutokana na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoani hapa na Mwenyekiti...
By Danson KaijageDecember 29, 2018KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amsema kuwa bado timu yake inanafasi ya kusonga mbele kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya...
By Kelvin MwaipunguDecember 29, 2018GIZA limetanda katika maeneo yote yanayopata umeme kupitia gredi ya taifa jijini Dar es Salaam na mikoa mingine nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2018RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dk. Irene Isaka. Anaripotu Yusuph...
By Yusuph KatimbaDecember 28, 2018MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), amesema kuwa hatua ya Rais John Magufuli, kuzuia matumizi ya kanuni mpya za vikokotoo kwa ajili ya wafanyakazi...
By Yusuph KatimbaDecember 28, 2018OFISI ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (Tamisemi) imebaini matumizi mabaya ya fedha za serikali Sh. 2.98 bilioni katika halmashauri ya...
By Danson KaijageDecember 28, 2018MADIWANI wa Halmashauri ya Chamwino wametakiwa kuhakikisha majengo yanayojengwa yanakuwa na miundombinu rafiki kwa ajili ya watu wenye ulemavu. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma...
By Danson KaijageDecember 28, 2018BAADHI ya wazazi ambao watoto wao wamemaliza darasa la saba na kufaulu mitihani yao na kukosa nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza...
By Danson KaijageDecember 28, 2018RAIS John Magufuli amewataka watendaji katika mifuko ya hifadhi ya jamii kuboresha daftari la orodha ya majina ya wastaafu, ili kuondoa mapungufu yaliyopo...
By Regina MkondeDecember 28, 2018HATIMAYE Rais John Pombe Magufuli, amesikia kilio cha wafanyakazi nchini. Amefuta angalau kwa muda, matumizi ya kanuni mpya ya kikokotoo cha mafao ya...
By Regina MkondeDecember 28, 2018MKURUGENZI wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Godfrey Simbeye ametoa neno kuhusu madai yaliyotolewa na baadhi ya watu hivi karibuni, ya kwamba...
By Masalu ErastoDecember 28, 2018RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli leo tarehe 28 Desemba 2018 atakutana na viongozi wa vyama vya wafanyakazi nchini,...
By Regina MkondeDecember 28, 2018SHABIKI wa Inter Milan amepoteza maisha na wengine wanne kujeruhiwa katika mchezo dhidi ya FC Napol uliopigwa kwenye uwanja wa San Siro baada...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2018ZIARA ya Rais wa Marekani, Donald Trump na mkewe Melania imefanywa kimyakimya nchini Iraq. Vinaripoti vyombo vya kimataifa … (endelea). Hata hivyo inaelezwa...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2018WAKULIMA wa Mkoa wa Dodoma wametakiwa kulima mazao ambayo yanaendana na hali ya hewa ili kuweza kupata mazao mengi. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma...
By Danson KaijageDecember 27, 2018MKONGWE wa Siasa Nchini na Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema, ameitaka serikali inapofanya marekebisho ya vyama vya siasa iweze kuangalia...
By Danson KaijageDecember 27, 2018SIRI kuu juu ya kampuni ya ndege ya Fastjet, kusitisha shughuli zake za usafirishaji wa abiria nchini, imefichuka. Anaripoti Regina Mkonde …. (endelea)....
By Regina MkondeDecember 27, 2018Bobi Wine mwanamuziki wa miondoko ya pop na mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, anamnyima usingizi rais wan chi hiyo Yower Museven. Inaripoti mitandao...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2018MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi inatarajia kuanza kuchezwa Januari Mosi, 2019 na kumalizika Januari 13, visiwani Zanzibar ambayo itahusisha timu tisa ambazo zitawekwa...
By Kelvin MwaipunguDecember 27, 2018IKIWA ni miezi minne tangu Tanzania kupoteza zaidi ya watu 200 katika Ziwa Victoria kwenye ajali ya MV. Nyerere, watu 75 wamenusurika kufa...
By Faki SosiDecember 27, 2018PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, Magereza na Polisi hawatatosha iwapo Neno la Mungu halitafanya kazi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....
By Regina MkondeDecember 26, 2018CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza maandalizi ya uchaguzi ndani wa ndani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Wakati harakati hizo zikiendelea Mwenyekiti...
By Faki SosiDecember 26, 2018KILA mwaka, siku kama ya leo – tarehe 25 Desemba – Wakristo duniani kote, huungana kusheherekea sikukuu ya Krisimasi. Anaandika Mwanadishi Maalum … (endelea)....
By Masalu ErastoDecember 25, 2018LEO si Sikukuu ya Krismasi ambapo waumini Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) zaidi Mil 6.5 wanatarajia kusomewa waraka huo uliobeba manung’uniko,...
By Regina MkondeDecember 25, 2018PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amegonga mwamba...
By Regina MkondeDecember 24, 2018MBUNGE wa Viti Maalum, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kunti Yusuf Majala, amejeruhiwa vibaya baada ya gari alilokuwa akisafiria kupata ajali....
By Yusuph KatimbaDecember 24, 2018BARAZA Kuu la Chadema Kanda ya Pwani limetaka serikali kuuondoa muswada wa vyama vya siasa uliowasilishwa bungeni, kwa sababu unakiuka katiba kwa kuwa...
By Regina MkondeDecember 24, 2018CHAMA cha Chadema Kanda ya Pwani kimeikumbusha serikali kufanya uhakiki wa daftari la kupiga kura kwa muda muafaka ili kila mpiga kura apate...
By Regina MkondeDecember 24, 2018BAADA ya kusajiriwa kwenye dirisha dogo la usajiri kutokea klabu ya African Lyion mchezaji Haruna Moshi ‘Boban’ (31) leo amejumuishwa kwenye kikosi cha...
By Kelvin MwaipunguDecember 24, 2018BARAZA Kuu la Chadema Kanda ya Pwani kimetoa wito kwa serikali kuwachukulia hatua watu walioanzisha mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya au wanaokwamisha...
By Regina MkondeDecember 24, 2018BAADA ya Simba hapo jana kufanikiwa kuibuka ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FCkutoka Zambia, kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es...
By Kelvin MwaipunguDecember 24, 2018MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) imefanikiwa kumaliza tatizo la usafiri wa abiria waoendao mikoani katika kituo cha...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2018ALIYEPATA kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, katika utawala wa Jakaya Mrisho Kikwete, Bernard Membe, amemburuza mahakamani Cyprian Musiba....
By Mwandishi WetuDecember 22, 2018NDUGU wa mfanyabiashara mashuhuri nchini, Rostam Aziz, anayefahamika kwa jina la Akram Aziz, amefutiwa mashitaka na serikali. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akram...
By Regina MkondeDecember 21, 2018SERIKALI ya Tanzania inatarajia kupokea ndege nyingine mpya toleo la Airbus A220-300 itakayotua nchini Jumapili Desemba 23, 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuDecember 21, 2018MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe na mbunge wa chama hicho katika jimbo la Tarime Mjini, Esther Matiko, waweza kulazimika kulia sikukuu ya Krismasi...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2018UCHAGUZI Mkuu katika Taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) upo njia panda baada ya mamlaka za nchi hiyo kujiumauma. Vinaripoti vyombo...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2018RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amewahimiza wananchi kulipa kodi ili kuiwezesha serikali kulipa mikopo inayokopa kwa ajili ya...
By Regina MkondeDecember 20, 2018VIGOGO watatu wa kisiasa nchini, Edward Lowassa, Maalim Seif Sharif Hamad na Fredrick Suamye, kesho Ijumaa, wataongoza mamia ya wafuasi wa upinzani, kuelekea...
By Saed KubeneaDecember 20, 2018CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) wametoa tamko la kuunga mkono msimamo wa TUCTA kuhusu mkanganyiko Kikokotoo cha mafao ya...
By Danson KaijageDecember 20, 2018JUKWAA la Wakulima wanawake wilayani Chamwino (JUWWACHA) limeishauri serikali kutilia mkazo matumizi ya mbegu za muda mfupi ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia...
By Danson KaijageDecember 20, 2018KIONGOZI wa Kanisa la Jehova Mercy, lenye makao yake makuu Jijini Dodoma mtaa wa Swaswa Halisi, Prophet Richard Magenge amewataka viongozi wa Kiroho...
By Danson KaijageDecember 20, 2018