Maisha
MUIMBAJI wa nyimbo za injili nchini Tanzania, Jane Misso amewaomba mashabiki zake kukaa mkao wa kula kwani sasa amenuia kurejea kwa kishindo baada...
By Gabriel MushiFebruary 16, 2022SERIKALI ya Zanzibar, imezindua rasmi matumizi ya teknolojia mpya inayotambua maambukizi ya virusi vya korona (UVIKO-19) kupitia vipimo vya smaku umeme yaani electromagnetic....
By Gabriel MushiFebruary 16, 2022HOSPITALI ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma nchini Tanzania, imefanikiwa kupandikiza figo wagonjwa 26 kuanzia tarehe 22 Machi 2018 kutoka mikoa mbalimbali nchini...
By Danson KaijageFebruary 15, 2022WASANII zaidi ya 50 kutoka Afrika Mashariki wanatarajiwa kupanda jukwaa moja kwenye tamasha la ‘Afro East Carnival’ litakalofanyika Uwanja wa Tabata Shule,...
By Masalu ErastoFebruary 11, 2022Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu yote anayopata aliyekuwa Mbunge wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule maarufu...
By Danson KaijageFebruary 11, 2022Msanii wa Bongo fleva, Rajab Abdul maarufu kama ‘Harmonize’ ametangaza ujio wa tamasha lake katika jiji la Dar es salaam liitwalo (Afro East...
By Gabriel MushiFebruary 8, 2022MSANII wa Bongofleva, Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameweka rekodi nyingine ya kuwa msaanii wa kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki kutumbuiza...
By Gabriel MushiFebruary 8, 2022WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema, katika kila watu 100,000 watu 76 hugundulika kuwa na ugonjwa wa Saratani. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageFebruary 4, 2022MWANAJESHI wa Zambia amepandishwa cheo cha kijeshi kwa kumsaidia mwanamke mjamzito kujifungua mtoto katika shamba la mahindi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mwanajeshi...
By Gabriel MushiFebruary 2, 2022WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amekabidhi tuzo kwa Walimu ambao wanafunzi wao wamefanya vizuri katika somo la Hisabati...
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2022WAKURUGENZI wa Hospitali za Rufaa za Mikoa, Kanda Maalumu, Taifa pamoja na taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya, wametakiwa kusimamia vipaumbele...
By Danson KaijageJanuary 27, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema baada ya ujenzi wa miundombinu ya elimu, kutoa vifaa vya kusomeshea, kujenga mazingira ya usomeshaji, ujenzi wa...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2022Mwanafunzi wa kidato cha sita katika Shule ya Skondari Benjamini Mkapa iliyopo jijini Dar es Salaam, Emmanuel Mzena amemwaga machozi baada ya...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2022SERIKALI ya Tanzania imesema hadi kufikia tarehe 23 Januari, 2022 jumla ya Watanzania 33,000 wamethibitika kuwa na maambukizi na watu 781 wamepoteza...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema wasaidizi wote wa Rais Samia Suluhu Hassan wamejipanga kuhakikisha wanamsaidia kwa weledi wote, uaminifu ili...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2022Kwa zaidi ya miaka kumi sasa somo la hisabati limekua changamoto kwa Taifa hususani kwa wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari kwani...
By Gabriel MushiJanuary 22, 2022WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania imewataka maafisa elimu maalum wa halmashauri kushirikiana na maafisa elimu kata na jamii ili...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne na upimaji wa kidato cha pili ambayo kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne ambapo takwimu zinaonesha kuwa jumla ya...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne ambapo takwimu zinaonesha kuwa mwanafunzi bora...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 ambayo yameonesha jumla ya watahiniwa wa...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza kufuta matokeo yote ya watahiniwa 214 waliofanya udanganyifu katika upimaji kitaifa wa darasa la nne,...
By Kelvin MwaipunguJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 huku yakionesha somo la Basic Mathematics ndilo...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 huku mkoa wa Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Jumamosi tarehe 15 Januari 2022, limetangaza matokeo ya kidato cha nne 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Msanii wa Bongo fleva, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameonyesha furaha ya kipekee baada ya mwanawe wa kwanza Tiffah Princess kuhitimu...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022UMOJA wa Falme za Kiarabu (UAE), zimesitisha safari za ndege kwa abiria wanaotoka nchi za Tanzania, Kenya, Ethiopia na Nigeria, huku ikiongeza...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema hadi kufikia tarehe 18 Desemba 2021, watu takribani 28,214 wameambukizwa Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19), huku zaidi...
By Regina MkondeDecember 22, 2021SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kuchanja chanjo ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19), kwa wananchi 80,000 hadi 100,000 kwa siku, kupitia mpango...
By Regina MkondeDecember 22, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, maambukizi ya virusi vya korona (UVIKO-19), yanaendelea kwa kasi nchini humo na kuwataka wananchi kuchukua tahadhari. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 19, 2021WIZARA ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia Wazee na Watoto imesema kuongezeka kwa idadi ya watu wenye dalili za kukohoa, mafua, maumivu...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2021WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, Watoto na Walemavu, Dk. Dorothy Gwajima ameanzisha utaratibu wa watumishi wa wizara hiyo kujipima...
By Danson KaijageDecember 14, 2021SHIRIKA la Light for the Word, limeitaka jamii ya Kitanzania kushirikiana kwa pamoja kusaidia kutatua changamoto zinazowakabili wanafunzi ikiwemo za macho na...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2021KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imechangia zaidi ya Sh milioni 84 kusaidia mipango ya serikali katika mapambano dhidi ya VVU na...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021“Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, nikamuona mpendwa wa nafsi yangu, nikamshika, nisimuache tena, hata nilipomleta nyumbani mwa mama yangu, chumbani mwake aliyenizaa.”...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa msaada wa mifuko ya saruji 920 (sawa na tani 46) yenye thamani ya sh milioni...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2021WATAALAMU wa sekta ya afya nchini, wameitahadharisha jamii juu ya ujio wa wimbi la nne la Ugonjwa wa Korona (Uviko-19), huku wakihimiza...
By Regina MkondeNovember 27, 2021MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS), Profesa Deodatus Kakoko, ametoa wito kwa wananchi kuchanjwa chanjo ya Ugonjwa wa...
By Regina MkondeNovember 27, 2021MWENYEKITI wa bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere nchini Tanzania, Stephen Wasira amewataka wahitimu wa chuo hicho kuangalia fursa zitakazowasaidia katika maisha...
By Mwandishi WetuNovember 26, 2021JUMLA ya wanafunzi 907,802 waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka huu wamechaguliwa kujiunga na kidato cha mwaka mwaka 2022. Anaripoti Mwandishi...
By Masalu ErastoNovember 24, 2021MKUU wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, Prof Shadrack Mwakalila amewataka wanafunzi wa chuo hicho kujiepusha na...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2021SERIKALI imesema imeamua kuondoa vikwazo vya elimu hususani kwa wasichana ambao wamekatisha masomo yao kwa kukumbwa na matatizo mbalimbali ikiwamo kupata ujauzito....
By Danson KaijageNovember 24, 2021MKUU wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamani Sedoyeka amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutupia jicho elimu ya juu kwani ina...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2021JUMLA ya watumishi waandamizi 18 wa kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wamehitimu Shahada ya Uzamili ya Usimamizi wa Biashara kutoka...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Hassan amewatakia kheri wanafunzi wa kidato cha nne, walioanza mitihani yao ya Taifa leo Jumatatu tarehe...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2021KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Rafiki Surgical Mission ya Australia kwa mara nyingine mwaka huu imeendeleza udhamini...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2021BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limeagiza kurudiwa upya kwa mitihani iliyovuja ya utabibu ndani ya wiki sita kuanzia tarehe...
By Danson KaijageNovember 4, 2021MIKOA ya Lindi, Mara na Dodoma, imetajwa kinara kwa kuwa na kiwango kikubwa cha ufaulu wa mtihani wa darasa la saba, katika...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2021BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA), limefuta matokeo ya watahiniwa 393, waliobainika kufanya udanganyifu wakati wa kufanyika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi....
By Regina MkondeOctober 30, 2021BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA), limesema asilimia 81.97 ya wanafunzi 1,107,460, waliotunukiwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba, uliofanyika tarehe 8...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2021