Maisha
SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kujenga viwanda vya kuzalisha chanjo za magonjwa ya mlipuko. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa...
By Regina MkondeJuly 27, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali haijamlazimisha na wala haitamlazimisha mwananchi kuchanjwa chanjo ya ugonjwa wa COVID-19, hivyo amewataka Watanzania...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, ameiagiza Wizara ya Afya itaifishe mali za wezi wa dawa na vifaa tiba vya...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetoa mwongozo mpya wa kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa korona (UVIKO-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam, … (endelea)....
By Regina MkondeJuly 26, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, mpaka sasa wagonjwa 29 walioambukizwa virusi vya corona (COVID-19), wamefariki dunia. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam …...
By Hamisi MgutaJuly 23, 2021WAGONJWA wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19), nchini Tanzania, imeongezeka kutoka 408 hadi kufikia 682....
By Faki SosiJuly 23, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema chanjo ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19), imeshaingia...
By Regina MkondeJuly 21, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeomba huduma ya utoaji chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya...
By Mwandishi WetuJuly 19, 2021WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, ametoa siku 10 kwa Taasisi ya Tiba na Mifupa Muhimbili...
By Hamisi MgutaJuly 18, 2021WAKATI dunia ikiendeleza mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19), Taasisi ya My Legacy nchini Tanzania, imetoa wito kwa wananchi...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2021MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka, amekaidi kutii agizo la Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, la kuzuia...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2021SERIKALI ya Tanzania imetaja takwimu za wagonjwa wa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19), ikisema nchi nzima...
By Danson KaijageJuly 10, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania amesema, wimbi la tatu la maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19), limetua nchini humo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetoa utaratibu mpya wa kutoa maiti zinazodaiwa gharama za matibabu, hospitalini na kwamba kuanzia sasa kutakuwa na mfumo utakaowezesha...
By Regina MkondeJuly 6, 2021RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ameiagiza Wizara ya Afya, ianzishe mfuko maalum wa fedha za vipimo vya ugonjwa wa homa kali...
By Regina MkondeJuly 6, 2021SERIKALI imewaomba viongozi wa dini na wa vyama vya siasa, wawe mstari wa mbele katika kuwahimiza wananchi kufuata miongozo ya kujikinga na...
By Regina MkondeJuly 5, 2021SERIKALI ya Tanzania, kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa zaidi ya shilingi bilioni tatu kwa taasisi mbalimbali zinazofanya utafiti katika...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika, Abebe Aemro Selassie kutoka Shirika la Fedha Duniani...
By Mwandishi WetuJune 29, 2021TANZANIA na Shirika la Afya Duniani (WHO), wanatarajia kukaa meza moja ili kuangalia namna ya kukabiliana na maambukizi ya Virusi vya Corona...
By Mwandishi WetuJune 25, 2021KATIKA kuadhimisha kilele cha wiki ya utumishi wa Umma, Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetoa msaada wa shuka 431 katika vituo...
By Danson KaijageJune 24, 2021SERIKALI ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK), imeeleza, hakuna mgonjwa yeyote wa corona visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kauli...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH)- Upanga na Mlonganzila, Mkoa wa Dar es Salaam, imeweka sharti kwa wananchi, wafanyakazi na wanafunzi wanaokuwa...
By Faki SosiJune 22, 2021TAKRIBANI mambo tisa, yameibuka katika mkutano wa wadau, wa kujadili namna ya uboreshaji mitaala ya elimu nchini Tanzania. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 18, 2021SERIKALI ya Tanzania iko mbioni kufanya maboresho ya mitaala ya elimu ya msingi, vyuo vya kati na ufundi stadi pamoja na vyuo...
By Regina MkondeJune 18, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu hassan, amesema atalifanyia kazi ombi la Taasisi ya Moyo ya jakaya Kikwete (JKCI), la kuajiri watalaam 12...
By Regina MkondeJune 12, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wakurugenzi wa halmashauri zote nchini (DED), kuhakikisha wanafufua madarasa kwa ajili ya Mpango wa Elimu...
By Masalu ErastoJune 9, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesisitiza miongozo yote iliyotolewa kwa umma kujikinga dhidi ya maambukizi ya Virusi vya corona (COVID – 19), izingatiwe. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 8, 2021HUSNA Sekiboko, mbunge wa viti maalum, aiomba Serikali ya Tanzania, kufanya marekebisho ya mtaala wa elimu ya msingi na sekondari. Anaripoti Jemima...
By Masalu ErastoJune 4, 2021MBUNGE wa Kilwa Kaskazini (CCM), Francis Ndulane, amesema uhaba wa watumishi wa umma, unasababisha baadhi ya zahanati jimboni humo, kuchelewa kufunguliwa. Anaripoti...
By Masalu ErastoMay 31, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, Hospitali ya Halmashauri ya Rorya mkoani Mara, inatarajiwa kuanza kazi rasmi mwezi Desemba 2021. Anaripoti Jemima Samwel, DMC...
By Masalu ErastoMay 31, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameliagiza Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), liongeze juhudi katika usimamizi wa taasisi na...
By Masalu ErastoMay 28, 2021WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, inatarajia kuanzisha mfumo wa ufuatiliaji taarifa za wajawazito, ili kupunguza vifo vya...
By Masalu ErastoMay 27, 2021MBUNGE Viti Maalum asiye na chama bungeni, Nusrat Hanje, amefikisha bungeni kilio cha wahitimu wa darasa la saba, wanaosoma katika Vyuo vya Ufundi...
By Masalu ErastoMay 27, 2021WAZIRI wa Ofisi ya Rais-Tamisemi, Ummy Mwalimu, amekiri uwepo wa tatizo la ukosefu wa ajira za ualimu nchini, akisema kwamba, nafasi zinazotolewa...
By Regina MkondeMay 25, 2021WIZARA ya Ofisi ya Rais-Tamisemi, imeiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, itumie mapato yake ya ndani, kununua kipimo cha kuchunguza...
By Masalu ErastoMay 24, 2021SERIKALI ya Tanzania imeagiza hospitali, zahanati na vituo vya afya vya umma, viweke watu maalum kwa ajili ya kuwahudumia wazee. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageMay 24, 2021IKIWA zimebaki siku mbili kuelekea maadhimisho ya kutokomeza Fistula ya Uzazi, bado takwimu zinaonyesha, idadi ya wanawake wenye tatizo hilo imekuwa ikiongezeka....
By Hamisi MgutaMay 21, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh. 500 milioni kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya watoto, wanaume na wanawake ya magonjwa mchanganyiko hospitali...
By Masalu ErastoMay 21, 2021LEO Jumatatu, tarehe 17 Mei 2021, Kamati iliyoundwa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufanya tathimini ya ugonjwa wa corona (COVID-19),...
By Masalu ErastoMay 17, 2021KAMATI Maalum ya kufanya tahimini ya maambukizi ya ugonjwa wa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) nchini Tanzania, imependekeza Serikali ya nchi...
By Regina MkondeMay 17, 2021WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, iko mbioni kuajiri wataalamu 473 wa kada mbalimbali za afya, ambao watapelekwa...
By Regina MkondeMay 13, 2021ASKOFU Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametoa tahadhari kwa serikali juu ya chanjo ya virusi vya corona...
By Mwandishi WetuMay 12, 2021WAKATI Watanzania takribani milioni 22 (52%), wanaugua ugonjwa wa kichocho na minyoo ya tumbo nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....
By Mwandishi WetuMay 11, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetenga kiasi cha Sh. 57 bilioni kwa ajili ya ukamilishaji wa miundombinu ya hospitali za rufaa za mikoa ukiwemo...
By Masalu ErastoMay 11, 2021SERIKALI ya Tanzania, imepanga kuboresha vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu, kwa kukarabati na kujenga miundombinu mipya pamoja na kuongeza...
By Masalu ErastoMay 7, 2021WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako amebainisha vipaumbele vitakavyofanyiwa kazi mwaka wa fedha 2021/22, ikiwemo kufanya mapitio...
By Mwandishi WetuMay 4, 2021WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania imesema, tozo ya asilimia sita inayotozwa kila mwaka na Bodi ya Mikopo ya Elimu...
By Mwandishi WetuMay 4, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh. 250 milioni kwa ajili ya kukamilisha maboma matano ya Zahanati ya Minyeye, Mnung’una na Msikii katika Wilaya...
By Masalu ErastoMay 3, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh.7.15 bilioni, kwa ajili ya kutengeneza madawati 710,000 kwa mwaka wa fedha 2021/2022 yatakayotumika shule za msingi. Anaripoti...
By Masalu ErastoApril 30, 2021WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amepiga marufuku utaratibu wa kuwauzia kadi za kliniki wajawazito....
By Mwandishi WetuApril 28, 2021