Sunday , 28 April 2024

Maisha

Maisha

Afya

Dk. Mpango aitaka wizara ya afya kuimarisha mfumo ufuatiliaji magonjwa

  MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Isdory Mpango ameitaka Wizara ya Afya kuendelea kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji wa mwenendo wa magonjwa ya kuambukiza...

Elimu

Majaliwa akagua mradi utakaonufaisha wanafunzi 600

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo tarehe 15 Julai, 2022 ameanza ziara ya kikazi mkoani Singida na kutembelea mradi wa ujenzi wa shule...

AfyaTangulizi

Ugonjwa wa ajabu waua watatu Lindi, wawili wapona

  WIZARA ya afya kupitia Mganga Mkuu wa serikali, Dk. Alfello Sichalwe imesema jumla ya watu watatu wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa...

Elimu

TCU wafungua dirisha la kwanza la udahili 2022/23

  DIRISHA la kwanza la udahili kwa wanafunzi wa elimu ya juu (shahada ya kwanza) kwa mwaka wa masomo wa 2022/2023 limefunguliwa na...

Elimu

Dirisha maombi mikopo elimu ya juu kufunguliwa Julai 15

  BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema dirisha la uombaji mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023...

Afya

Ubakaji watajwa chanzo fistula wasichana wa umri mdogo

  TATIZO la ubakaji limetajwa kuwa sababu ya kuongezeka kwa matatizo ya fistula kwa wasichana wenye umri mdogo. Anaripoti Jonas Mushi, Dar es...

Afya

Rais Samia ataka wanaume waone wake zao wanavyojifungua

  RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefurahishwa na uwepo wa vyumba vya faragha vya wajawazito kujifungulia wakiwa na wenza wao katika jengo...

ElimuTangulizi

Shule za Serikali, wasichana wang’ara matokeo kidato cha sita

  SHULE za Sekondari za Serikali, pamoja na watahiniwa wasichana, wameng’ara katika matokeo ya mtihani wa kidato cha sita. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

AfyaTangulizi

Jengo la mama na mtoto CCBRT kuhudumia wajawazito 12,000 kwa mwaka

  RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua jengo la mama na mtoto katika Hospitali ya CCBRT ambalo lina uwezo wa kuhudumia wajawazito 12,000 kwa...

Afya

Mkakati CCBRT wapunguza vifo vitokanavyo na uzazi kwa asilimia 47

  MPANGO wa kuboresha huduma ya afya ya uzazi mkoa wa Dar es Salaam, inayoratibiwa na Hospitali ya CCBRT, imesaidia kupunguza vifo vya...

Afya

Tozo za miamala ya simu zajenga vituo vya afya 13 Dar

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amesema fedha kiasi cha Sh. 4.5 bilioni, zilizotokana na tozo za miamala ya...

Afya

Serikali kujenga vyumba vya faragha vya kujifungulia

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema Serikali ina mpango wa kuanza kujenga vyumba vya faragha vya kujifungulia, katika vituo vya afya vya...

ElimuHabari za Siasa

Watakao kwamisha mradi wa kuboresha Elimu Sekondari kukiona

  NAIBU Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Davidi Silinde,amesema kwa uzembe wowote utakaofanyika kwa na kukwamisha mradi wa kuboresha Elimu ya Sekondari...

ElimuHabari za Siasa

Fomu kujiunga shule za umma zieleze hakuna michango: Majaliwa

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kuanzia sasa fomu za kujiunga na sghule za umma sharti zipitiwe na makatibu Tawala wa Mikoa na...

Afya

Wataalam wa afya watakiwa kutumia weledi

  WATAALAMU wa Afya Nchini Tanzania, wameshauriliwa kufanya kazi kwa kuzingatia weledi, uadilifu na maadili ya taaluma yao kwa kutunza miundominu ya majengo...

Elimu

Wanafunzi Shule ya Peaceland wapongeza elimu bure hadi kidato cha sita

  WANAFUNZI wa shule ya msingi Peaceland English Medium iliyopo Ukerewe Jijini Mwanza wamesema kuwa kitendo cha serikali kupitisha elimu bure kuanzia shule...

ElimuMakala & Uchambuzi

Je, Wamiliki wa kumbi za starehe wanawalenga wanafunzi wa vyuo?

  KUNA usemi usemao “usilolijua ni sawa na usiku wa giza”  na  ndivyo wamiliki wa kumbi za starehe maeneo yaliyo karibu na vyuo...

Elimu

Baada ya kufuta ada, Serikali kupitia miongozo kupunguza michango shuleni

  SERIKALI ya Tanzania, inajipanga kupitia upya miongozo ya kujiunga shule za sekondari na kidato cha tano na sita, ili kupunguza masuala yanayoongeza...

ElimuHabari

CoNAS yajivunia kutoa watafiti wengi wa sayansi asilia nchini

KATIKA kutimiza miaka 60 toka kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ndaki ya Sayansi Asilia na Tumizi inajivunia kutoa wataalum wengi...

AfyaHabari za Siasa

Wabunge waibana Serikali gharama matibabu figo, Spika atoa maagizo

  WABUNGE wa viti maalum, wamehoji mkakati wa Serikali kupunguza gharama za matibabu ya ugonjwa wa figo ili kunusuru wagonjwa wasiokuwa na uwezo...

ElimuHabari za Siasa

Serikali yatenga Bilioni 8 kwa watoto wa kaya masikini

  SERIKALI imetenga Sh. 8 bilioni kwa ajili ya kuanzisha dirisha maalumu (Special Fund) litakalokuwa linasaidia watoto wanaotoka katika familia masikini. Anaripoti Erasto...

ElimuHabari za SiasaTangulizi

Serikali kufuta ada kidato cha tano, sita

  SERIKALI ya Tanzania imetangaza kusudio la kufuta ada kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sita, katika mwaka wa fedha ujao wa...

ElimuHabari Mchanganyiko

Care for Disability inavyorudisha tabasamu kwa wanafunzi wenye ulemavu

  JAMII imetakiwa kuendelea kujitokeza kwa wingi kusaidia kundi la wasichana wenye ulemavu taulo za kike  ili kuwawezesha kujistili kipindi wanapoingia mzunguko wa...

AfyaHabari

Kiwanda cha Dawa Kairuki chapongezwa, SADC yatajwa

KAMATI Afya ya Bunge la Zambia imepongeza uwekezaji wa wazawa wa Kiwanda cha Kutengeneza Dawa cha Kairuki nchini Tanzania wakisema ni njia ya...

AfyaHabari

Katibu mkuu afya ashauri Mganga mkuu wilaya Kigoma atumbuliwe

KATIBU Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameshauri kuondolewa kwa Mganga Mkuu wa  Wilaya Kigoma kutokana na kushindwa kutekeleza maagizo ya kuboresha...

Burudika

Kwaya ya MT. Kizito ziarani nchini Kenya

KWAYA ya Mtakatifu Kizito, Parokia ya Mwenyeheri Anuarite Makuburi, Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam, inatarajia kufanya ziara ya kitume nchini Kenya...

AfyaHabari

Milioni 250 tozo za simu zajenga kituo cha Afya – Misha

TOZO za miamala ya simu iliyoanza kutozwa mwaka jana, imeendelea kuwafaidisha Watanzania ikiwamo wananchi 7000 wa Kata ya Misha mkoani Tabora baada ya...

BurudikaHabari

Apple Music yasherehekea mafanikio ya Bara la afrika

JUKWAA la muziki la Apple Music, linasherehekea uzuri wa kipekee na mandhari ya Bara la Afrika kupitia muziki katika Africa Month (Mwezi wa...

ElimuHabari

Rais Samia afanya mapinduzi ya elimu Tabora, madarasa 74 yajengwa

IMEELEZWA kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imefanya mapinduzi ya elimu kwa mkoa wa Tabora baada ya...

ElimuHabari za Siasa

Mbunge ataka nafuu wanafunzi wanaochanganyikiwa mtihani kidato cha nne

  MBUNGE Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda, ameishauri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, itumie matokeo ya nyuma ya wanafunzi katika kuamua ufaulu wa...

Afya

TAMISEMI kutumia mfumo kidigitali kudhibiti ubadhirifu mikopo ya halmashauri

  WIZARA Ofisi ya Rais-TAMISEMI, imezindua mfumo wa kidigitali wa usimamizi asilimia 10 ya fedha za mapato ya halmashauri zinazotolewa kwa wananchi kwa...

ElimuHabari

Rais Samia aokoa wanafunzi 271 kutoka ‘zizini’

JUMLA ya Sh milioni 40 zilizotolewa na Serikali kupitia mkopo nafuu wa mapambano dhidi ya Uviko-19 zimeweka historia kwa wanafunzi 271 wa Shule...

AfyaHabari

Milioni 250 za tozo zajenga kituo cha Afya Vumilia

ZAIDI ya Sh milioni 250 zinazotokana na tozo za miamala ya simu nchini zimetumika katika ujenzi wa Kituo cha Afya Vumilia kilichopo katika...

Elimu

Serikali yashauriwa kuanzisha mitaala elimu ya anga shule za sekondari

  SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kuanzisha mtaala wa elimu kuhusu usafiri wa anga, kwa shule za sekondari hadi kidato cha sita, ili kutoa...

BurudikaHabari

Mastaa wa muziki Afrika waachia African Lullabies Part 2 kwa kishindo

KIKOSI kazi cha kusherehekea mwezi wa Afrika kwenye mkusanyiko wa nyimbo zenye mahadhi ya Kiafrika zilizopewa jina la African Lullabies Part 2, kimeachia...

ElimuHabari

Vijana Igunga wanunua pikipiki, kiwanja kwa fedha za UVIKO-19

VIJANA wa Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, wameeleza kufaidika na fedha za mradi wa ujenzi wa madarasa na ofisi za walimu baada ya...

AfyaHabari za Siasa

1,580 wapoteza maisha wakati wa kujifungua ndani ya mwaka mmoja

  WANAWAKE 1,580 wamepoteza maisha nchini Tanzania wakati wa kujifungua katika kipindi cha mwaka mmoja wa 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

Afya

Ugonjwa wa Lupasi wapigwa vita nchini

WAKATI Ugonjwa wa Lupasi unakadiria kuathiri watoto 15 kati ya watoto 52 waliopimwa serikali imeweka mikakati ya kukabiliana na ugonjwa huo ikiwa pamoja...

ElimuHabari

Furahika Education yatangaza nafasi 200 elimu ya ufundi bure

CHUO cha Maendeleo ya Ujuzi, Ufundi na Viwanda (Furahika Education) la Jijini Dar es salaam kimetangaza nafasi za masomo ya ufundi bure kwa...

ElimuHabari za Siasa

Prof. Mkumbo ataka maafisa elimu kata wang’olewe kufidia pengo la walimu

  MBUNGE wa Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, ameishauri Serikali ifute kada ya maafisa elimu kata, ili kuziba changamoto ya upungufu wa walimu shuleni....

Afya

Majaliwa akunjua makucha MSD, atoa maagizo

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefanya ziara katika Bohari ya Dawa (MSD) na kuagiza watu wote waliohusishwa na tuhuma za ubadhirifu...

Elimu

Rais Samia awatakia kheri watahiniwa kidato cha sita

  RAIS wa Tanzania ,Samia Suluhu Hassan amewatakia wanafunzi wote wa kidato cha sita kila kheri,katika mitihani yao iliyoanza leo jumatatu tarehe 9...

Afya

Kiwanda cha mionzi tiba nchini kuanza kufanya kazi Juni

  NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, amesema kiwanda cha kutengeneza mionzi inayotibu ugonjwa saratani, kinatarajiwa kuanza kufanya kazi Juni, 2022. Anaripoti...

ElimuHabariTangulizi

Mitihani kidato cha sita, ualimu kuanza kesho

JUMLA ya watahiniwa 95,955 kutoka shule za sekondari 841 na vituo vya watahiniwa wa kujitegemea 250 wanatarajia kuanza mitihani ya kumaliza kidato ya...

ElimuHabariTangulizi

Wabunge wacharuka kiingereza kitumike kufundishia ‘tutapigwa goli’

MJADALA kuhusu lugha gani itumike kufundishia kati ya kiingereza au Kiswahili umeendelea kutikisa baada ya asilimia kubwa ya wabunge kushauri kuwa kiingereza kitumike...

ElimuHabari za Siasa

CWT yakoshwa na utendaji wa Rais Samia

  CHAMA cha walimu Tanzania(CWT) kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na namna inavyowajali watumishi nchini wakiwemo walimu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...

Elimu

DIT yatakiwa kujipanga kufunga mfumo wa gesi magari ya serikali, mwendokasi

  NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Nishati nchini Tanzania, Kheri Abdul Mahimbali leo ametembelea Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) na kupata...

Elimu

DAWASA yaipiga jeki Pugu Sekondari, yatoa ahadi zaidi

  MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa msaada wa kompyuta mpakato tatu zenye thamani ya zaidi ya...

AfyaHabari Mchanganyiko

Majaliwa afichua upigaji MSD fedha za UVIKO-19

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekemea tabia ya baadhi ya maafisa ununuzi wa umma kukubali zabuni za watoa huduma zenye bei...

Elimu

Walioacha masomo zaidi ya 3,000 warejea shule

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema wanafunzi zaidi ya 3,000 walioacha masomo kwasababu mbalimbali, wamerejea masomoni baada ya Serikali yake kutoa muongozo wa...

error: Content is protected !!