Categorizing posts based on type of post
MISS Tanzania 2018 – Queenelizabeth Makune ameteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kugombea nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2022MAKAMU wa Rais Dk. Phillip Mpango, anatarajaiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ugawaji wa Tuzo za Rais kwa Mzalishaji Bora wa Mwaka (PMAYA), zitakazotolewa...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2022RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, leo Jumatano, tarehe 16 Novemba 2022, amefanya uteuzi wa viongozi wawili, akiwemo Dk. Sharifa Omar Salim,...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2022KAMATI maalum ya Kamati Kuu ya ACT-Wazalendo upande wa Zanzibar, imeagiza Sekretarieti ya chama hicho kuratibu vikao vya viongozi na wanachama kwa...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2022MBUNGE wa Rwanda, Gamariel Mbonimana ambaye alijiuzulu ubunge juzi tarehe 14 Novemba, 2022, ameomba msamaha kwa kuendesha gari akiwa mlevi. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2022MBUNGE wa Same Mashariki, Anne Kilango (CCM) ameazisha miradi ya viti vya kukodisha kwa ajili ya biashara kwenye kata 14 katika jimbo...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2022JUMLA ya watuhimiwa 11 wamekamatwa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) ikiwamo Kocha wa makipa wa Klabu ya...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2022BARAZA la Mawaziri nchini Tanzania limeelekeza vitengo vyote vinavyohusika na kukabiliana na majanga viimarishwe ili kuongeza uwezo wa kukabiliana na majanga. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2022KLABU ya Soka la Yanga imeibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu Bara...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2022WATAHINIWA 566,840 wa kidato cha nne nchini Tanzania wanatarajia kuanza mitihani yao ya Taifa kesho Jumatatu tarehe 14, Novemba, 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Gabriel MushiNovember 13, 2022JUMLA ya mabalozi 45 wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani wanatarajiwa kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2022SERIKALI imevitaka vyuo kuzingatia mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi vyuoni ili kuondoa malalamiko kutoka kwa waajiri kwamba wahitimu wengi wanahitimu bila kuwa na...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Selemani Jafo amesema mwaka huu Tanzania inatarajia kupokea mgawo wa Dola...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2022KATIKA kuchangamkia fursa ya soko la mabondo ya samaki nchini China, Serikali imeongeza bajeti ya kiasi cha Sh bilioni 60 katika sekta ya...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2022WAHASIBU na Wakaguzi wa Hezabu nchini wametakiwa kuweka mbele maslahi ya umma, kuwa waadilifu na kuzingatia maadili na sheria zinazowaongoza kwenye kazi zao...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wazoee tozo zinazotozwa katika baadhi ya huduma za usafirishaji, kwa kuwa barabara za kulipiwa zitajengwa nyingi...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2022MAJALIWA Jackson, mvuvi aliyesaidia zoezi la kuwaokoa manusura wa ajali ya ndege ya Kampuni ya Precision Air mkoani Kagera, amechangiwa pesa kiasi...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo kupitia Ofisi ya Katibu Mkuu Taifa, kimeinga uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Thabit Idarous...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2022MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imepongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kwa kuanzisha klabu ya kodi kwa wanafunzi wanaosoma kwenye chuo hicho...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2022CHAMA cha Demokrasis na Maendelea (Chadema) kimewaagiza viongozi wake ngazi kanda, mikoa na majimbo kutoshiriki vikao vinavyotarajiwa kuanza kesho na kuratibwa na Tume...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)- Bara, Tundu Lissu amesema kutokana na ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba...
By Gabriel MushiNovember 10, 2022MBUNGE wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema Tanzania haipo tena miongoni mwa nchi za uchumi wa kati kwa vigezo vilivyotolewa na Benki...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2022MBUNGE Viti Maalum, Cecilia Pareso, amedai alishindwa kufika katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema, cha tarehe 27 Novemba 2020, kujibu tuhuma...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2022BAADHI ya wabunge viti maalum wameendelea kudai katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu jijini Dar es Salaam, kwamba Chama cha Chadema kiliwateua kushika...
By Regina MkondeNovember 8, 2022SERIKALI imetoa mkono wa pole kwa familia 19 za wafiwa wa ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea jana tarehe 6 Novemba,...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu ameagiza kijana Jackson Majaliwa, mvuvi wa Bukoba aliyewezesha uokozi wa abiria 24 wa ndege ya Precision...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2022WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso ameagiza kuwekwa kwa tenki kubwa la maji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ili kuhakikisha huduma ya maji...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2022RAIS wa Tanzania Samia Suluhu ametoa pole kwa wafiwa na majeruhi wa ajali ya ndege iliyotokea Jumapili huko Bukoba, Kagera. Watu 19...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2022RIPOTI ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, kuhusu Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2022TIMU ya wanasheria wanaosimamia uwajibijaji wa kimazingira (Lawyers Environmental Action Team -LEAT), imeitaka Serikali kuwachukulia hatua viongozi wa vyombo vya umma vya uokozi...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2022MAJINA ya watu 18 kati ya 19 waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea leo Jumapili asubuhi katika Ziwa Victoria...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2022WATU 19 wakiwemo abiria na wahudumu wamefariki dunia katika ajali ya ndege ya shirika la Ndege la Precision Air iliyotokea asubuhi ya leo...
By Gabriel MushiNovember 6, 2022WATU watatu kati ya 27 waliookolewa hadi sasa wameripotiwa kupoteza maisha katika ajali ya ndege ya Kampuni ya Precision iliyotokea Bukoba mkoani Kagera....
By Mwandishi WetuNovember 6, 2022MBUNGE wa Bukoba Vijijini, Dk. Jasson Rweikiza, amesema mwanafunzi ambaye atafiwa na wazazi wake wakati akiendelea na masomo kwenye shule yake ya St...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2022MKUU wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila, amesema watu 26 wameokolewa kati ya 43 waliokuwa kwenye ndege ya Precision ambayo imepata ajali...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2022NDEGE ya kampuni ya Precision kutoka Tanzania, iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam, kuelekea Bukoba, imepata hitilafu na kulazimika kutua majini mjini...
By Saed KubeneaNovember 6, 2022TAARIFA za mwananchi aliyedaiwa kupoteza maisha akiwa kwenye foleni ya mbolea wilayani Songea mkoani Ruvuma, zimeibua mvutano mkali bungeni baada ya Mbunge...
By Masalu ErastoNovember 5, 2022MALALAMIKO yaliyojaa mitaani yakihusu mfumo wa kukabiliana na kukua kwa kiwango cha uhalifu Zanzibar hayajamsukuma Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi...
By Jabir IdrissaNovember 5, 2022MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo (CCM) amependekeza watumishi wa umma wasio waadilifu wachapwe viboko ili kukomesha ubadhirifu wa fedha za umma pamoja...
By Gabriel MushiNovember 5, 2022KATIKA kuhamasisha Watanzania kuachana na nishati chafu ya kupikia na kuhamia kwenye nishati safi, Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kwa mwaka huu...
By Gabriel MushiNovember 4, 2022MBUNGE Viti Maalum, Nusrat Hanje, amedai Chama Cha Chadema, kiliwafanyia umafia katika mchakato wa kuwavua uanachama. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Regina MkondeNovember 4, 2022MBUNGE Viti Maalum, Nusrat Hanje, ameshauri suala lao la kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, lirudishwe ndani ya chama hicho, kwani kuendelea kuwepo...
By Regina MkondeNovember 4, 2022MBUNGE Viti Maalum, Nusrat Hanje, amedai alikosa nafasi ya kujitetea kwa mdomo katika Baraza Kuu la Chadema, Ili kueleza viongozi wake waliomteua...
By Regina MkondeNovember 4, 2022BUNGE la Tanzania limeitaka Serikali kutoa ufafanuzi wa kwanini mkataba wa Kampuni ya Uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2022MWANASIASA mkongwe na mwanaharakati wa masuala ya wanawake, Balozi Getrude Mongella ametoa wito kwa wanawake kujikomboa kutoka kwenye matumizi ya nishati chafu...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2022MVUTANO mkali umeibuka kati ya Wakili wa Chadema, Peter Kibatala na mleta maombi namba 11, Hawa Mwaifunga, kuhusu ajenda za kikao Cha...
By Regina MkondeNovember 3, 2022HAWA Mwaifunga, aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama Cha Chadema (BAWACHA), Leo Alhamisi, tarehe 3 Novemba 2022, anaendelea kuhojiwa...
By Regina MkondeNovember 3, 2022RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema jukumu muhimu la kuipatia nchi uchumi mzuri, halitafanikiwa iwapo hakuna amani na utulivu katika...
By Jabir IdrissaNovember 3, 2022SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kuitisha mjadala wa kitaifa kuhusu takwimu za matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya 2022, ili kubaini...
By Regina MkondeNovember 2, 2022MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini ambapo...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022