SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amemuonya Mbunge Sengerema, Hamisi Tabasamu (CCM) baada ya kudaiwa kutweza mchango wa Mbunge wa Momba, Condester Sichwale...
By Gabriel MushiMay 10, 2022SERIKALI imesema imeanza mchakato wa kuchukua mkopo kutoka Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha Duniani (IMF) kwa ajili ya kuwekaahueni...
By Mwandishi WetuMay 10, 2022SERIKALI imetopa ruzuku ya Sh 100 bilioni kwa kipindi cha mwezi mmoja kwaajili ya kuleta ahueni katika bei ya nishati ya mafuta....
By Mwandishi WetuMay 10, 2022MFULULIZO wa matukio ya ajali za moto katika masoko mbalimbali nchini yamewaamsha wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...
By Masalu ErastoMay 10, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana kwa mara nyingine na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo cha Chadema, Freeman...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeitaka Serikali kutafuta ufumbuzi wa haraka wa namna ya kukabiliana hali ngumu ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda...
By Gabriel MushiMay 9, 2022MBUNGE wa Kawe, Askofu Dk. Josephat Gwajima (CCM) leo Jumatatu amesema licha ya kwamba ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) lilikuwa wazo...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022MVUTANO umeibuka bungeni baina ya Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo na Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba kuhusu nchi kuporomoka kutoka...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, ameishauri Serikali ifanye uchunguzi dhidi ya Kampuni ya kuzalisha umeme ya Symbion Power, kabla ya kuilipa zaidi...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022MBUNGE wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi, ameitaka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kuunda kikosi kazi cha masuala ya uchuimi kama ambayo...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaagiza viongozi akiwemo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo la...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022MWANASIASA mkongwe na Spika mstaafu nchini Tanzania, Job Ndugai ametangaza kutogombea tena nafasi ya ubunge wa Kongwa mkoani Dodoma katika uchaguzi mkuu...
By Danson KaijageMay 8, 2022CHAMA cha walimu Tanzania(CWT) kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na namna inavyowajali watumishi nchini wakiwemo walimu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageMay 7, 2022WAKAZI wa Kata ya Nzuguni Jijini Dodoma wamepanga kuandamana hadi kwa Diwani wao, Mzee Aloyce (CCM) ili wamshinikize kujiuzulu kwa kushindwa kutimiza...
By Mwandishi WetuMay 7, 2022WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeweka kipaumbele kwa mafunzo na ununuzi wa sare za askari ambapo jumla ya Sh 34.7...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameishauri Serikali kuondoa tozo zisizo na athari katika miradi muhimu kwa wananchi pamoja...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022MKUTANO wa saba kikao cha 16 cha Bunge la Tanzania leo Alhamisi kumesimamisha shughuli zake za kawaida na kuanza kujadili kupanda kwa...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala zitakazopunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inawachukulia hatua watu wanaotajwa kufanya ubadhirifu katika ripoti za ukaguzi za Mdhibiti na...
By Mwandishi WetuMay 4, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeishauri Serikali iondoe tozo ya Sh. 500 kwa kila lita ya mafuta ya dizeli, petroli na mafuta ya taa,...
By Mwandishi WetuMay 4, 2022RAIS Samia amesema alinukuliwa vibaya na vyombo vya Habari vilivyosema kwamba alisema hakuwa na maelewano mazuri na Rais John Magufuli kipindi yeye akiwa...
By Mwandishi WetuMay 4, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaangalia hesabu zake kama zinarhusu kupandishwa kwa kima cha chini na mshahara na kusisitiza kuwa watumishi wataendelea kupandishwa...
By Mwandishi WetuMay 4, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kinatarajia kufanya maadhimisho ya kitaifa ya miaka nane ya kuzaliwa kwake, kesho Alhamisi, tarehe 5 Mei 2022, jijini Mwanza....
By Mwandishi WetuMay 4, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefafanua kuwa baada ya kukutana Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, alipokuwa kwenye ziara nchini humo,...
By Gabriel MushiMay 3, 2022LEO ni Mei Mosi, sikuu ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa nchini Tanzania inafanyikia Uwanja wa Jamhuri Dodoma na mgeni rasmi ni Rais...
By Mwandishi WetuMay 1, 2022RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amemweleza Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole umuhimu wa kuifanyia kazi na kuipa kipaumbele...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022WAZIRI wa Madini, Doto Biteko, amesema biashara ya madini nchini imeendelea kuimarika huku bei ya madini muhimu kama dhahabu na almasi ikizidi...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022UHAMISHAJI soko la madini ya Tanzanite kutoka Arusha kwenda Mirerani, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, limewagawa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)....
By Mwandishi WetuApril 29, 2022CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, kinafanyia uhakiki madeni ya wafanyabiashara saba waliosema wanakidai, kutokana na kazi kiliyowapa wakati...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022SERIKALI imesema imefanikiwa kukamata madini ya Sh 501.2 milioni katika matukio ya utoroshaji katika kipindi cha kati ya Julai 2021 hadi Machi...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani kwa wote waliohusika katika maandalizi ya uzinduzi wa Filamu ya The Royal Tour nchini...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022WIZARA ya Madini imepokea Sh 1.5 bilioni pekee kwaajili ya miradi ya maendeleo hadi kufikia Machi 2022 sawa na asilimia 10 ya...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022MBUNGE Viti Maalumu (CCM), Neema Lugangira, ameshauri Sheria ya Vyama vya Siasa irekebishwe ili kumpa meno Msajili wa Vyama vya Siasa katika...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022MBUNGE wa Madaba, Joseph Mhagama, amesema kivutio namba moja cha wawekezaji na biashara nchini ni utawala wa sheria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022MBUNGE wa Sengerema, Hamis Tabasamu ameibua “mambo mazito” bungeni kuhusu kuchezewa kwa tenda ya uagizaji wa mafuta ya Tarehe 18 Aprili 2022. Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina ameliomba Bunge kuunda kamati ya kiuchunguzi ili kujua sababu ya Kamati ya Majadiliano ya Kesi ya Makinikia kukubali...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022MBUNGE wa Viti Maalum (CCM), Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amejumuika na viongozi wa Dini, Serikali, Chama Cha Mapinduzi na wananchi mbalimbali...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa chama tawala Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameishauri Serikali inayoongozwa na chama hicho kuchukua hatua za kinidhamu...
By Mwandishi WetuApril 27, 2022MAKAMU Mwenyekiti CCM Bara, Abdulrahman Kinana amewataka wanachama na viongozi wa CCM kuwa tayari kwa maridhiano ya kisiasa aliyoyaanzisha Rais Samia Suluhu Hassan....
By Gabriel MushiApril 27, 2022MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, David Kihenzile amesema siku moja kabla ya Mbunge Irene Ndyamkama kufikwa na umauti,...
By Gabriel MushiApril 27, 2022WAZIRI Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba ameishauri Serikali ya Tanzania kufuata nyayo za Serikali ya Zanzibar, kukuza uchumi kwa kutumia rasilimali za bahari,...
By Gabriel MushiApril 26, 2022MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Mzee Pius Msekwa, amesema muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ulitokana na chimbuko la masuala matano, ikiwemo la kuimarisha ulinzi...
By Gabriel MushiApril 26, 2022SPIKA wa Bunge mstaafu, Pius Msekwa, amesema Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Hayati Abeid Amani Karume, waliendesha makubaliano ya Muungano wa Tanganyika na...
By Gabriel MushiApril 26, 2022KAMPUNI saba za uchapishaji kutoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam, zimekiomba Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilipe kiasi cha Sh. bilioni moja fedha...
By Mwandishi WetuApril 26, 2022MWENYEKITI wa Kamati Kuu ya Sensa ya Watu na Makazi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema maandalizi ya zoezi hilo hadi kufikia jana...
By Regina MkondeApril 26, 2022MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango, amesema ushirikiano na mwingiliano wa wananchi wa pande zote za muungano unadhihirisha kuwa Muungano wa Tanganyika...
By Mwandishi WetuApril 26, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewataka madiwani na wabunge kukataa kupitisha miswada ya sheria yenye kukandamiza...
By Mwandishi WetuApril 25, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema lengo la Chama kuendelea kushika Dola...
By Mwandishi WetuApril 25, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema anaelewa sababu ya chama kimoja ambacho hajakitaja, kimekataa kushiriki mchakato wa majadiliano ya kutafuata muafaka mazingira ya ufanyaji...
By Mwandishi WetuApril 25, 2022UONGOZI wa Wanawake Tanzania (UWT) wametoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu Hassan kwa ubunifu wake wa kuzindua filamu ya...
By Gabriel MushiApril 25, 2022