HATUA ya Job Ndugai, Spika wa Bunge kumvua ubunge Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki siku mbili zilizopita, kumejibiwa vikali na Chama cha...
By Faki SosiJune 30, 2019BISWALO Mganga, Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP) ameikabidhi Benki Kuu ya Tanzania (BoT) madini ya dhahabu, vito mbalimbali na fedha za kigeni, zilizotaifishwa...
By Mwandishi WetuJune 29, 2019HATUA ya Job Ndugai, Spika wa Bunge kumvua Tundu Lissu Ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki kwa kile alichoeleza kwamba hajatoa taarifa ya...
By Mwandishi WetuJune 29, 2019SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, ametangaza kumvua ubunge, mbunge wa jimbo la Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu, Anaripoti Saed Kubenea…(endelea). Akizungumza...
By Saed KubeneaJune 28, 2019WANACHAMA wa vyama vya upinzani katika kata mbalimbali wilayani Chemba, Dodoma wamelalamikia vitendo vya watendaji wa kata kuwalazimisha kurudisha kadi za vyama vyao...
By Danson KaijageJune 28, 2019WAFUGAJI wa mifugo mbalimbali nchini wameshauriwa kutumia hospitali ya Rufaa ya Magonjwa ya Mifugo Tanzania iliyopo Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)...
By Christina HauleJune 27, 2019UONGOZI wa Chama cha Wananchi CUF wameanza kutafuta mwarobaini wa kuwarejesha wenyeviti sita wa Wilaya ya Chemba, Dodoma pamoja na mikoa mingine walioondolewa...
By Danson KaijageJune 27, 2019TAREHE 9 Agosti 2017, msajili wa asasi za kiraia alitoa maagizo kwa asasi za kiraia nchini kufanya kuhakiki wa uwepo wao. Uhakiki ulihusu...
By Mwandishi WetuJune 27, 2019WADAU mbalimbali wa masuala ya haki ya kikatiba ya uhuru wa kujieleza jana walikusanyika kwenye ukumbi wa Kilimanjaro, katika Hoteli ya Seashells, Makumbusho,...
By Mwandishi WetuJune 26, 2019TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) imeshindwa kuwahoji viongozi waandamizi wa Chama cha ACT-Wazalendo, kwa kile kilichodaiwa kuwa Ofisa aliyetakiwa...
By Faki SosiJune 25, 2019RAIS John Magufuli amempa kazi Rostam Aziz, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited, kutafuta wawekezaji. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Amempa...
By Regina MkondeJune 25, 2019RAIS John Magufuli amewapa moyo wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kufuatia kupoteza mchezo wao wa kwanza katika Michuano ya...
By Regina MkondeJune 25, 2019SERIKALI imesema, ifikapo Julai Mosi mwaka huu itatoa waraka mahsusi utakaoainisha wajasiriamali wanaopaswa kupatiwa vitambulisho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo...
By Regina MkondeJune 25, 2019MGENI Jadi Kadika, Mbunge Viti Maalumu (CUF) ameiomba serikali iunde kamati maalumu ya kufuatilia mtandao wa watu wanaofanyisha watoto wa kike baishara ya...
By Regina MkondeJune 25, 2019CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeupinga Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Makampuni, kikisema ni hatari kwa masuala ya uwekezaji nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza na...
By Mwandishi WetuJune 25, 2019ASASI za Kiraia nchini (AZAKI) pamoja na watetezi wa haki za binadamu, wameiomba serikali kuondoa bungeni muswada wa mabadiliko ya Sheria ya Kampuni...
By Mwandishi WetuJune 25, 2019SERIKALI na wadau mbalimbali wameombwa kutoa msaada taulo za kike (pedi) kwa mabinti waliopo kwenye vituo vya kulelea watoto yatima na walemavu kufuatia...
By Christina HauleJune 24, 2019JOSEPH Kasheku (Msukuma), Mbunge wa Geita (CCM), amevutana na serikali kuhusu utaratibu wa Jeshi la Polisi kutumia wanaume kukagua wanawake. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuJune 24, 2019HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema chama hicho kitayarudisha majimbo yote yaliyochukuliwa na vyama vya upinzani...
By Mwandishi WetuJune 24, 2019IMEELEZWA kuwa baadhi ya vituo vya afya mkoa wa Mwanza vinakabiliwa na ukosefu wa mashine za kupimia wingi wa damu kwa kinamama wajawazito...
By Moses MsetiJune 24, 2019NAIBU Spika wa Bunge, Dk. Ackson Tulia amewataka wabunge wanaodai kuchafuliwa kwa kuandikwa hovyo na baadhi ya magazeti, waende kushitaki mahakamani. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Masalu ErastoJune 24, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imerejesha dhamana ya Wema Sepetu, Msanii wa Filamu nchini huku ikimpa onyo la kutorejea...
By Faki SosiJune 24, 2019MOHAMMED Mchengelwa, Mbunge wa Rufiji amesema, changamoto ya uhaba wa maji inahatarisha maisha ya wananchi wake, kufuatia baadhi yao kuliwa na mamba wanakichota...
By Regina MkondeJune 24, 2019SERIKALI ya Rais John Magufuli, imewasilisha bungeni, muswada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali – The Written Laws Miscellaneous Amendments No.3 ya mwaka 2019...
By Saed KubeneaJune 24, 2019PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF, ameichambua Ripoti ya Serikali ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2018, akisema kwamba baadhi ya...
By Mwandishi WetuJune 22, 2019WADAU wa haki za kijamii nchini wameiomba serikali kurekebisha baadhi ya mapendekezo ya marekebisho ya sheria mbalimbali, ikiwemo Sheria ya Mashirika Yasiyo ya...
By Mwandishi WetuJune 22, 2019KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa wito kwa wawekezaji wa ndani na wa nje ya nchi wenye nia ya kuwekeza katika zao la...
By Regina MkondeJune 22, 2019ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amepinga pendekezo la serikali la kurejesha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), kwenye taulo za...
By Mwandishi WetuJune 21, 2019WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Issack Kamwele amemuagiza mkandarasi wa kampuni ya STX Sekyong LTD inayojenga chelezo la meli mpya katika...
By Moses MsetiJune 21, 2019SERIKALI imesema vipimo vya homa ya Dengue vitatolewa bure kwa wananchi katika vituo vya afya na hospitali za umma. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Hayo...
By Mwandishi WetuJune 21, 2019KHATIBU Said Haji, Mbunge wa Konde (CUF) amelalamikia kitendo cha wabunge kukatwa fedha zao za vikao vya bunge kiholele. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Akiomba...
By Danson KaijageJune 21, 2019TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesalimu amri baada ya malalamiko ya mara kwa mara kutoka vyama vya upinzani na wanaharakati nchini. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 20, 2019UBALOZI wa Marekani nchini Tanzania, umeleza kuwepo mipango ya matukio ya mashambulizi kwenye hoteli na migahawa jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuJune 19, 2019MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale amesema, daraja la Salenda linalopitia baharini Coco Beach – Aga Khan, linatarajiwa...
By Hamisi MgutaJune 19, 2019WANANCHI wa kata za tano za wilaya mbalimbali mkoani Morogoro wameiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kupunguza gharama za fomu sambamba na...
By Christina HauleJune 19, 2019ERNEST Joseph (19), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kwa tuhuma za kuhusika katika tukio la mauaji ya Anifa...
By Regina MkondeJune 19, 2019SERIKALI imesema, imekusanya watalaamu kutoka sehemu mbalimbali kwa ajili ya kuangamiza mbu, ikiwa ni hatua za awali za kupambana na ugonjwa wa Dengue....
By Danson KaijageJune 19, 2019KESI ya kupinga sheria mpya ya vyama vya siasa nchini, imeanza kusikilizwa leo tarehe 19 Juni 2019, jijini Arusha ambapo miamba mitatu kutoka vyama...
By Mwandishi WetuJune 19, 2019TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), inawasaka wamiliki wa Kampuni ya MEIS Industies kwa tuhuma za kutoroka na fedha za...
By Mwandishi WetuJune 19, 2019HATUA ya serikali kurudisha kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye taulo za kike, kimewachukiza wanawake wengi. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Akizungumza wakati...
By Hamisi MgutaJune 18, 2019JOB Ndugai, Spika wa Bunge amehoji wabunge wanawake wa viti maalum kwamba, katika uwakilishi wao bungeni, wamefanya kitu gani muhimu kusaidia wanawake wanaodhulumiwa? Anaripoti...
By Regina MkondeJune 18, 2019SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo ameibua sakata la serikali kushtakiwa nje ya nchi kwasababu mbalimbali, ikiwemo kuvunja mikataba ya wawekezaji. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageJune 18, 2019JOB Ndugai, Spika wa Bunge na wabunge 48, leo usiku wanatarajia kwenda nchini Misri kuishangilia Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ katika michuano...
By Danson KaijageJune 18, 2019WAKILI Julius Kalolo, ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA). Anaripoti Regina Mkonde...
By Regina MkondeJune 18, 2019WITO kwa mawaziri wawili wa Rais John Magufuli; Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki naDk. Philip...
By Danson KaijageJune 18, 2019MBUNGE wa Ndanda, Cecil Mwambe (Chadema) na Mbunge wa Nzega Vijijini, Hussein Bashe wamehoji jeuri ya gazeti la Tanzanite kuwatukana watu inaipata wapi?...
By Danson KaijageJune 17, 2019NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdalah Ulega anatarajiw kuwa mgeni Rasm kesho saa mbili na nusu kwenye maonesho ya gwaride la ng’ombe bora...
By Danson KaijageJune 17, 2019KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni imeeleza kwamba, kuna kila sababu ya kukwepa kupika takwimu ili kuepuka kujenga uchumi hewa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageJune 17, 2019WEMA Sepetu, mwigizaji na msanii maarufu wa filamu nchini, amejisalimisha na kutupwa mahabusu baada ya Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam kuagiza...
By Mwandishi WetuJune 17, 2019JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri, amefyeka baadhi ya vipengele vilivyokuwa ndani ya Hotuba ya Waziri Kivuli wa Wizara ya Fedha na...
By Danson KaijageJune 17, 2019