October 5, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Lissu avuliwa ubunge

Spread the love

SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, ametangaza kumvua ubunge, mbunge wa jimbo la Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu, Anaripoti Saed Kubenea…(endelea).

Akizungumza bungeni jioni hii, Spika Ndugai, amesema Lissu amepoteza ubunge, kutokana na kutokuwapo bungeni kwa zaidi ya mwaka mmoja.

error: Content is protected !!