Friday , 26 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Zitto, Maalim Seif wapiga kambi Segerea

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo na Maalim Seif Sharif Hamad, mshauri wa chama hicho leo tarehe 28 Julai 2019, wamelivaa...

Habari za Siasa

Mbatia apewa miaka mitano NCCR-Mageuzi

JAMES Mbatia, amechaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi huku Angelina John, akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti Bara na Ambar Hamis ameukwaa umakamu...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Munga amvaa Musiba, adai anavuruga nchi

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Stephen Munga, ameonya kuwa kitendo cha Cyprian Musiba, kukashifu...

Habari za Siasa

Zitto awataka viongozi wa dini kukemea wanaohatarisha amani

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ametoa wito kwa viongozi wa dini kukemea vitendo vya baadhi ya viongozi wa siasa, wanaohatarisha...

Habari za Siasa

James Mbatia: Tusipofanya maridhiano, tutaliangamiza taifa

MWENYEKITI wa NCCR- Mageuzi, James Francis Mbatia (55), ameonya kuwa hakuna maendeleo yanayoweza kufikiwa nchini, ikiwa umoja wa kitaifa uliosisiwa na Mwalimu Julius...

Habari za Siasa

Wapinzani wamng’ang’ania Rais Magufuli mezani

CHAMA cha NCCR Mageuzi kimeiomba serikali kuweka meza ya maridhiano na vyama vya upinzani, ili kuzungumzia changamoto zinazoikabili demokrasia hapa nchini. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Musiba sasa ahamia kwa marais wastaafu

CYPRIAN Musiba, mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), aliyejipambanua kuwa mtetezi mkuu wa Rais John Magufuli, amewatuhumu watangulizi wa rais huyo wa sasa,...

Habari za Siasa

Rais Magufuli azindua Stigler’s Gorge, aisitiza ushiriki wa JKT

RAIS John Magufuli leo tarehe 26 Julai 2019 amezindua ujenzi wa Mradi wa Uzalishaji Umeme katika Mto Rufiji ‘Stigler’s Gorge, unaogharimu kiasi cha...

Habari za SiasaTangulizi

Kibatala apinga Sinema ya Mbowe kuoneshwa Mahakamani

UPANDE wa utetezi kwenye kesi namba 112 ya uchochezi inayowakabili viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umepinga kuoneshwa kwa video...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Mahakama yakubali ushahidi wa Jamhuri 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Julai 2019, imepokea kielelezo cha kamera ya kurekodi video na tepu...

Habari za Siasa

Mteule wa JPM ajitetea: Sikuomba rushwa

TUHUMA zilizoelekezwa kwa mteule wa Rais John Magufuli, Lengai Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai (DC) kumwomba rushwa mfanyabiashara Curthebert Swai, limejibiwa....

Habari za Siasa

JPM aagiza mabadiliko ya haraka TAZARA

RAIS John Magufuli ameagiza mchakato wa urekebishaji Sheria ya Reli inayounganisha nchi za Tanzania na Zambia (TAZARA), kufanyika haraka ili kuboresha shughuli za...

Habari za SiasaTangulizi

JPM aumiza kichwa

RAIS John Magufuli, ameibua maswali yanayomuumiza kichwa kuhusu tukio la kukamatwa kwa dhahabu ya Tanzania nchini Kenya, bila watuhumiwa kukamatwa. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari za Siasa

Mteule wa JPM atuhumiwa kuomba rushwa, ni DC wa Hai

LENGAI Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai (DC) anatuhumiwa na Carthbert Swai, mfanyabiashara na Mmiliki wa Hoteli ya Kitalii ya Weruweru River...

Habari za Siasa

Makabidhiano ya dhahabu yamkwamisha Mbowe, wenzake 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo tarehe 24 Julai 2019 imeahirisha kusikiliza kesi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema. Anaripoti...

Habari za Siasa

Waziri amkingia kifua ‘boss’ wake

LUHAGA Mpinda, Waziri wa Mifugo na Uvuvi amelalamikia watu anaodai, wanataka kumng’oa Rais John Magufuli asigombee kwenye uchaguzi mkuu 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za SiasaTangulizi

Pinda ajitosa, akoleza mbio za urais CCM 2020

KASI ya kusaka nafasi ya kuteuliwa na kugombea kiti cha urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), imedhihiri. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kauli za...

Habari za Siasa

Viongozi Chadema kumaliza wiki kizimbani

VIONGOZI waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), watapanda kwenye kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuendelea kusikiliza kesi ya uchochezi inayowakabili...

Habari za Siasa

Bashe apongezwa

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amempongeza Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kiteuliwa kushika nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru: Wapuuzeni hao wapumbavu

LUGHA kali na zenye ukakasi, zimeanza kutolewa na viongozi wakuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), juu ya barua iliyoandikwa na viongozi wastaafu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Timu JPM washusha nyundo tena

KIKUNDI ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinachomtetea Dk. John Magufuli, mwenyekiti wa chama hicho, kinaendeleza mashambulizi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea amuasa Rais Magufuli

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amemtahadharisha Rais John Magufuli kuwa kuitekeleza sheria...

Habari za Siasa

Makamba amtumia ujumbe Rais Magufuli

JANUARY Makamba, aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), amemtumia jumbe Rais JohnMagufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Muda...

Habari za SiasaTangulizi

Kilichomkera JPM kwa Makamba hiki hapa

MIONGONI mwa sababu za January Makamba, aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira kung’olewa kwenye nafasi hiyo, zimetajwa....

Habari za Siasa

Dk. Bashiru ashutumiwa vikali

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimemtuhumu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ali kwamba anapotosha ukweli kuhusu kusinyaa kwa uchumi wa nchi. ...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli amtimua uwaziri January Makamba

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba. Anaripoti Regina Mkonde …...

Habari za SiasaTangulizi

Siri za Serikali ya JPM na Acacia zafichuka 

KAMPUNI ya madini ya ACACIA Mining (PLC), imeuzwa rasmi kwa kampuni ya Barrick Gold Corporation zote kutoka nchini Canada. Mauzo hayo yamefanyika, huku...

Habari za SiasaTangulizi

SAKATA LA WARAKA: Lusinde amgwaya Membe 

MBUNGE wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde, maarufu kwa jina la Kibajaji, “ameshindwa” kufanya kazi aliyotumwa. Anadaiwa alipangwa kumshambulia kwa njia ya kumvunjia heshima,...

Habari za Siasa

Sakata la usaliti; Nape awatahadharisha CCM

NAPE Nnauye, Mbunge wa Mtama amewataka watu wanaojadili sauti iliyosambaa mitandaoni inayodaiwa kuwa ni yake na Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM,...

Habari za Siasa

Chadema yaivuruga UVCCM Bahi

BAADA ya Katibu Mstaafu wa Chadema wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma, Melickzedeck Lesaka kutangaza kuuburuza mahakamani uongozi wa UVCCM wilaya ya Bahi kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kinana, Makamba watakiwa kufukuzwa CCM 

JOSEPH Msukuma, mbunge wa Geita Vijijini, amewatuhumu makatibu wakuu wawili wastaafu wa chama Chama Cha Mapinuduzi, Kanal Abdulrahaman Kinana na Luteni Yusuf Makamba,...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Lissu dhidi ya Ndugai, sasa yaiva

MKAKATI wa Tundu Antipas Lissu, kumburuza mahakamani Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, kufuatia uamuzi wake wa “kumvua ubunge wa Singida Mashariki...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto ajitosa sakata la Kinana, Makamba 

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amedai kuwa kilichoelezwa kwenye waraka uliyotolewa na viongozi wakuu...

Habari za Siasa

Magufuli amtaka Ndugai 2020

RAIS John Magufuli ameonesha dhamira ya kutaka Job Ndugai, Mbunge wa Kongwa kuchaguliwa tena kwenye kiti hicho wakati wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...

Habari za Siasa

Machozi yenu yataniumiza – Rais Magufuli

RAIS John Magufuli amesema hawezi kuongoza nchi iliyotawaliwa na machozi pamoja na watu wanaosikitika kwa unyonge. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Rais Magufuli ametoa...

Habari za Siasa

Spika Ndugai ampigia kampeni Rais Magufuli

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameanza kumwombea kura Dk. John Magufuli, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano...

Habari za SiasaTangulizi

Kumekucha CCM: Barua ya Kinana, Makamba, siri nzito

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza kupata ufa mwingine, kufuatia waliopata kuwa makatibu wakuu wake, Abdulrahaman Kinana na Yusuf Makamba, kumtuhumu Rais John Magufuli,...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Rushwa, vitisho vyatawala malipo ya korosho 

MALALAMIKO ya rushwa na vitisho kwa wakulima na wafanyabiashara wa korosho, vimetawala kwenye madai ya malipo ya biashara hiyo, mkoani Mtwara. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari za SiasaTangulizi

Waliojitokeza kumrithi Lissu hawa hapa

WAGOMBEA kutoka vyama 12 vya siasa nchini, wamejitokeza kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Singida Mashariki. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ni...

Habari za Siasa

JPM aipa Wizara ya Fedha, Ujenzi siku 5

RAIS John Magufuli ametoa siku tano kwa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano pamoja na Wizara ya Fedha na Mipango, kuhakikisha vifaa vya...

Habari za Siasa

Tuhuma nzito ziara ya Rais Magufuli

ZIARA ya Rais John Magufuli katika gereza kuu la Butimba jijini Mwanza, imeibua tuhuma nzito. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kalikenya Nyamboge, mfungwa anayetumikia kifungo cha...

Habari za SiasaSiasa

Rais Magufuli awapa zawadi wafungwa

RAIS John Magufuli leo tarehe 16 Julai 2019, ametoa zawadi ya magunia 15 ya mchele pamoja na ng’ombe watatu kwa wafungwa na mahabusu...

Habari za Siasa

Juma Duni Haji aikosoa SMZ

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimedai kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), ina tabia ya kutenga bajeti isiyokidhi mahitaji pia kukopa kwa masharti magumu na...

Habari za SiasaTangulizi

Makamba, Kinana watinga Ikulu

YUSUF Makamba na Abdulrahman Kinana, makatibu wakuu wastaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamebisha hodi kwa Rais John Magufuli. Anatipoti Mwandishi Wetu …...

Habari za Siasa

Kesho Arusha, Kilimanjaro kuanza rasmi BVR

UBORESHAJI wa Daftari la Wapiga Kura kwa njia ya Kielektroniki (BVR), katika Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha unatarajia kuanza rasmi tarehe 18 Julai...

Habari za Siasa

Mdee atoka mahabusu

JESHI la Polisi mkoani Kagera, limemwacha kwa dhamana Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Halima Mdee. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Jeshi...

Habari za SiasaTangulizi

Hatuogopi uchaguzi Singida, tunakataa uharamu – Chadema  

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema, “kushiriki uchaguzi mdogo katika jimbo la Singida Mashariki, ni sawa na kutenda uovu.” Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Uchaguzi...

Habari za Siasa

Polisi wamng’ang’ania Mdee

JESHI la Polisi mkoani Kagera, bado linamshikilia Halima Mdee, Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), tangu jana...

Habari za Siasa

Rais Magufuli aonya wanasiasa

RAIS John Magufuli, Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, ameonya wanasiasa wanaodhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza...

Habari za Siasa

CCM yamtamani Katibu Chadema

KATIBU Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Bahi jijini Dodoma, Melickzedeck Lesaka ametoa siku saba kwa Umoja wa Vijana wa...

error: Content is protected !!