Friday , 29 March 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Chadema waibuka na madai saba

BAADA ya Mahakama Kuu ya Tanzania kuwang’oa wakurugenzi wa halmashauri kusimamia chaguzi, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeibuka na madai saba. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Freeman Mbowe, Zitto Kabwe kuiteka Kisutu wiki nzima

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu itaendelea na usikilizaji wa kesi  za uchochezi zinazowakabili viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na...

Habari za Siasa

Madiwani wawachongea wezi wa mapato ya mazao

MADIWANI wa Halmashauri ya wilaya ya Chamwino, Dodoma wamemuomba  Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Athumani Masasi, kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi wanaoibia mapato...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama wang’oa Wakurugenzi H’shauri, Manispaa kusimamia Uchaguzi

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imebatilisha kifungu cha sheria cha 7(3), kinayowaruhusu Wakurugenzi wa Manispaa na Halmashauri kuwa wasimamizi wa Uchaguzi...

Habari za Siasa

Ujerumani, JWTZ waongeza muda wa mkataba

SERIKALI ya Ujerumani imeongeza muda wa mkataba wa ushirikiano wake na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika masuala mbalimbali ya...

Habari za Siasa

Chadema: Mdude amejeruhiwa kichwani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeeleza maendeleo ya afya ya mwanachama wake Mdude Nyagali, amejeruhiwa kichwani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kwa...

Habari za Siasa

Makonda abanwa mbavu madhabahuni

KAULI ya Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwamba, hakuwahi kutegemea kuona Mchaga angeweza kutoa msaada kwa walemavu na kwamba,...

Habari za Siasa

Waziri asikia kilio cha Mch. Msigwa

KAULI ya Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwamba, ni marufuku madaktari, wakunga na wauguzi nchini kufukuzwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mshtuko! Mdude wa Chadema apatikana akiwa hoi

MWANAHARAKATI na Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali amepatikana akiwa hoi baada ya kutupwa kwenye Kijiji cha Mkwenje, Kata...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Wamepanga kunikamata 

MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanachama namba moja wa Chama cha ACT-Wazalendo amedai kwamba, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Jeshi la Polisi wamepanga kumkamata...

Habari za Siasa

Mbunge Msigwa amshitaki RC Hapi kwa waziri

MBUNGE wa Iringa Mjini, Peter Msigwa (Chadema) amemshitaki Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,...

Habari za Siasa

Bunge laagiza Mdude wa Chadema atafutwe

SAKATA la kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagawa limetua bungeni ambapo sasa, Bunge limetaka maelezo kujua alipo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za Siasa

Chadema: Tumemshtukia JPM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kushtukia ujanga unaotaka kufanywa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Anaripoti...

Habari za Siasa

Waziri atetea mbinu ya trafiki kujificha

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema, mbinu ya askari wa usalama barabarani (Trafiki) kujificha kwa ajili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Vituko Bunge la Spika Ndugai

STAILI ya kutishia kuvua nguo iwapo jambo fulani lisipotendwa ama kuthibiti, imeanza kupata umaarufu ndani ya Bunge la Jamhuri. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea)....

Habari za Siasa

Msukuma: Nagu umetumwa?

PENDEKEZO la wabunge kutaka kuwabebesha mzigo wananchi kwa kuongeza Sh. 50 kwa kila lita ya mafuta ya petroli na dizeli, limesababisha wabunge wa...

Habari za Siasa

Wasomi wananiangusha – Rais Magufuli

RAIS John Magufuli ameeleza kusikitishwa na wasomi anaowateua kwenye nafasi mbalimbali kwamba, wengi wao wanamwangusha. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Rais Magufuli ametoa...

Habari za Siasa

Ngono vyuoni: Rais Magufuli afura

VITENDO vinavyoashiria ngono katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST), vimemchefua Rais John Magufuli. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Akizungumza katika hafla...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema aiwakia serikali

HATUA ya serikali kuahidi miradi mikubwa na kisha kuitekeleza, imemkera Gimbi Masaba, Mbunge wa Viti Maalum (Chadema). Anaripoti Dandoson Kaijage, Dodoma … (endelea). Masaba ameitaka...

Habari za Siasa

Dk. Magufuli: Sikustahili urais

RAIS John Magufuli amesema kuwa, hakustahili kuwa Rais wa Tanzania bali Watanzania wenyewe ndio waliomchagua. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Amesema, wananchi wa...

Habari za Siasa

Waziri ampinga Mbunge CCM

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni amesema, hakuna utaratibu wa askari polisi kutoa fedha zao mfukoni kwa ajili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mei Mosi: Zitto apasuka

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amepinga sababu zilizotolewa na Rais John Magufuli za kutopandisha mishahara ya Watumishi wa Umma kwa miaka...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli apiga chenga wafanyakazi

FIKRA kwamba, Rais John Magufuli angeongeza mishahara kwa wafanyakazi wa sekta ya umma leo, zimetoka patupu. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akihutubia katika maadhimisho...

Habari za Siasa

Magufuli: Mwakyembe alinyweshwa sumu

RAIS wa Tanzania, Dk. John Magufuli amesema, Dk. Harrison Mwakyembe, Mbunge wa Kyela alinyweshwa sumu kutokana na utendaji kazi wake uliotukuka. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo: Bunge lithibitishe kama siyo dhaifu

CHAMA cha ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, kimelitaka Bunge la Jamhuri kuthibitisha uimara wake katika kuisimamia serikali.Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Chama...

ElimuHabari za Siasa

Upinzani walia na sekta ya elimu

KAMBI Rasmi ya Upinzania Bungeni imelalamikia juhudi za serikali katika kuboresha elimu kwamba, bado ni finyu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kambi hiyo...

ElimuHabari za Siasa

Bodi ya Mikopo kukopesha wanachuo 128,285

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), inatarajiwa kutoa mikopo kwa wanafunzi 128,285 sawa na ongezeko la asilimia 4.5 ikilinganishwa...

Habari za Siasa

Rais Magufuli atinga Kiwira kwa Mkapa, Yona

WAKATI serikali ikiendelea kufanya mchakato kuuchukua Mgodi wa Kiwira, umekutwa na madeni hewa zaidi ya bilioni 40. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mgodi...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali ya Tanzania yasalimu amri kwa wafadhili

SERIKALI ya Tanzania inajiandaa kuwasilisha bungeni, muswada wa mabadiliko ya Sheria ya Takwimu, ili “kuondoa kibano” cha kunyimwa fedha za maendeleo kutoka kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli atonesha kidonda cha Mkapa

JINAMIZI la sera ya ubinafsishaji wa rasimali za nchi, ikiwamo viwanda, mashamba na mabenki, mradi ambao uliasisiwa wakati wa utawala wa Benjamin William...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba aunda safu yake mpya ya uongozi CUF

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameteua Wakurugenzi na Manaibu wakurugenzi wapya. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Prof. Lipumba amesema uteuzi huo...

Habari za Siasa

Wakurugenzi wa halmashauri tano wakalia kuti kavu

WAKURUGENZI ambao halimashauri zao zimekusanya mapato chini ya asilimia 50, wametakiwa kujitathimini. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Halmashauri tano za mwisho kwa makusanyo...

Habari za SiasaTangulizi

JPM amkubali Sugu

RAIS John Magufuli, amemrudisha jukwaani Joseph Mbilini (Sugu), Mbunge wa Mbeya Mjini kumalizia hotuba yake licha ya kuondolewa na msimamizi wa shughuli. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru: Nape, Bashe ni watu muhimu CCM

NAPE Nnauye, Mbunge wa Mtama na Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega Mjini ni miongoni mwa wanasiasa vijana wanaomvutia Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu...

Habari za SiasaTangulizi

Kimbunga Keneth chauwa watatu

KIMBUNGA Keneth kimesababisha vifo vya watu watatu katika visiwa vya Comoro. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Vyombo vya habari vya kimataifa vimeripoti...

Habari za Siasa

Sherehe za Muungazo zapigwa ‘stop’

SERIKALI imesitisha sherehe za kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 55 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hayo amesema Waziri...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Zitto: Polisi akiri mauaji Uvinza

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imeendelea kusikiliza kesi Na 327 ya 2018 ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kigoma Mjini...

Habari za SiasaTangulizi

Ripoti ya CAG: Zitto amvuruga Spika Ndugai

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, anamtuhumu Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe, kujitafutia umaarufu wa kisiasa, kupitia Ripoti ya Mkaguzi na...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mwakyembe ang’ang’aniwa kila kona

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, ametakiwa kujizuia kutoa kauli za kejeli, dhidi ya watu wanaotafuta taarifa za mahali...

Habari za SiasaTangulizi

Kibatala amhenyesha ‘mbaya wa Zitto’  

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeanza kusikiliza ushahidi kwenye kesi ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama...

Habari za Siasa

Rais Magufuli, Mama Janeth ziarani Malawi

RAIS John Magufuli leo tarehe 24 Aprili 2019, anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Malawi. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Ripoti ya IMF: Serikali yajaribu kujitakasa

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, amekana madai kuwa serikali imeliomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kutochapisha taarifa yake ya...

Habari za Siasa

Chuo cha Diplomasia kimenufaisha 3,421

JUMLA ya wanachuo 3,421 wamehitimu masomo yao katika Chuo cha Diplomasia tangu kuanzishwa kwake mwaka 1978. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Taarifa hiyo...

Habari za Siasa

Serikali kuajiri walimu wa sayansi 4,500

SERIKALI imesema iko katika taratibu za mwisho za kuwaajiri walimu 4,500 wa masomo ya sayansi kwa ajili ya kuwapeleka katika shule za sekondari...

Habari za Siasa

RC Mwanri: Naomba radhi

AGREY Mwanri, Mkuu wa Mkoa wa Tabora ameomba radhi kufuatia kauli yake aliyoitoa mwanzoni mwa mwezi Aprili 2019 kwamba, Mungu amshukuru Rais John...

Habari za Siasa

Mbunge Kabati: Mchungaji Msigwa ana bahati

RITA Kabati, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) mkoani Iringa amesema, mambo mengi anayozungumza Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini, yanatekelezwa na serikali. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Assad agoma kujiuzulu

MKAGUZI na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, amegoma kujiuzulu kutoka kwenye wadhifa wake. Anaripoti Saed Kubenea … (endelea)....

Habari za Siasa

Mbunge wa upinzani amtabiria anguko Rais Magufuli 

JOHN Heche, mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Tarime Vijijini, amedai kuwa hatua ya Rais John Magufuli, kuzuia...

Habari za Siasa

CAG vs Spika Ndugai: LHRC yamwandikia barua Waziri Mkuu

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) kimetoa wito kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuingilia kati mvutano uliopo kati ya Mdhibiti...

Habari za Siasa

DC Katambi awachimba mkwara wapinzani kuhoji ulinzi wa Rais

PATROBAS Katambi, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma amesema, watu wanaohoji ulinzi wa rais hawana nia njema. Anaripoti Hamis Mguta… (endelea). Na kwamba, watu...

error: Content is protected !!