Thursday , 25 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Rais Shein kufungua mkutano wa Jumuiya ya Madola

RAIS wa Zanzibar Dk. Ally Mohamed Shein, anatarajia kufungua mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola, Kanda ya  Afrika...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Kitimtim kortini, Hakimu ‘nitaita polisi’  

MVUTANO umeibuka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kati ya upande wa Jamhuri na ule wa utetezi kwenye kesi ya uchochezi namba 112/2018...

Habari za Siasa

Kamati ya Bunge yagomea ripoti, hekaheka Halmashauri Nyang’wale

HATUA ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), kugomea taarifa ya Halmashauri ya Nyang’wale, Geita kwa madai...

Habari za Siasa

Mwenge wapitisha miradi Ikungi, DC Mpogolo apongezwa

EDWARD Mpogolo, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Singida amepongezwa kwa kusimamia miradi ya maendeleo ndani ya muda mfupi tangu ateuliwe kwenye nafasi hiyo....

Habari za Siasa

Balozi Palestina ampongeza JPM

BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour AbuAli amempongeza Rais John Magufuli na serikali yake kwa kuimarisha uchumi wa nchi yake. Anaripoti Yusuph...

Habari za Siasa

Prof. Kabudi: Afrika hakuna kama Mwl. Nyerere

WAZIRI wa Mambo ya Nje ya Nchi, Prof. Palamagamba Kabudi amesema, hakuna kiongozi aliyefanya makubwa Afrika zaidi ya Rais wa Awamu ya Kwanza,...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Shahidi wa Jamhuri afungua ‘darasa’ kortini

SHAHIDI wa saba katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema,Victoria Wihenge amefungua ‘darsa’ kortini kwa kueleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa kuelekea kwenye chaguzi....

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi wa Jamhuri: Chadema hawakubeba silaha

SHAHIDI namba sita wa Jamhuri, Koplo Charles katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi waandamizi wa Chadema, ameeleza kutoona wafuasi wa chama hicho wakiwa...

Habari za Siasa

Rais Magufuli aagiza wanaochunguza masuala nyeti walindwe

RAIS John Magufuli ameagiza vyombo vya dola kulinda watumishi wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali wanaochunguza masuala mazito, ili wasiingiliwe katika utekelezaji...

Habari za Siasa

Pamoja na madhira niliyopitia bado niko imara – Kubenea

MBUNGE mahiri wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), katika jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amedaikuwa pamoja na vitimbwi na mateso anayopitia, “badoataendelea kusimama...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Mawakili wavutana, mahakama yarudia kutazama video

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeamua kutazama upya ushahidi wa video iliowasilishwa na shahidi namba sita wa Jamhuri (koplo Charles), katika kesi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya vigogo wa Chadema, yamuibua Waitara mahakamani

WAKILI wa upande wa utetezi katika kesi ya jinai inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na baadhi ya viongozi wenzake, Peter Kibatara, amehoji...

Habari za SiasaTangulizi

Kilichoonekana kwenye video ya Mbowe Kisutu

VIDEO ya Freeman Mbowe na wenzake, iliyoibua mvutano katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam hatimaye imeoneshwa leo tarehe 19...

Habari za SiasaTangulizi

Video ya Mbowe, wenzake sasa kuoneshwa kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeridhia kuoneshwa video inayodaiwa kubeba matukio yanayomuhusisha Freeman Mbowe na wenzake wakati wa kampeni...

Habari za Siasa

Mambo yatakayofanywa na SADC chini ya Rais Magufuli

JANA tarehe 18 Agosti 2019 Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi 16 mwanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ulifungwa...

Habari za SiasaTangulizi

Tanzania yaanza kupata kibano cha kimataifa

KIBINYO kinachotokana na hatua ya serikali kugandamiza demokrasia nchini, kimeanza kuutafuna utawala wa sasa. Anaripoti Mwandishi Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa kutoka mataifa...

Habari za Siasa

Rais Magufuli akabidhiwa Uenyekiti SADC, awatoa hofu wanachama

RAIS John Magufuli leo tarehe 17 Agosti 2019 amekabidhiwa rasmi uenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari za Siasa

Polisi wavamia mkutano wa Zitto

MAOFISA kutoka Jeshi la Polisi limevamia Makao Makuu ya Chama cha ACT-Wazalendo na kuondoka na Ado Shaibu, Katibu wa Itikadi na Uenezi. Anaripoti Hamis...

Habari za SiasaTangulizi

Mambo matatu mazito kwenye kesi ya Lissu

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amemnyima aliyekuwa mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu, maamuzi...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Lissu & Ndugai sasa yaanza kuiva

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imepanga kuanza kusikiliza shauri la madai lililofunguliwa na Alute Mughwai, kupinga kuvuliwa ubunge kwa Tundu Lissu,...

Habari za Siasa

JPM, Ramaphosa wajadili biashara, uwekezaji, ulinzi

DAKTARI John Magufuli, Rais wa Tanzania leo tarehe 15 Agosti 2019, amefanya mazungumzo na Cyril Ramaphosa, Rais wa Afrika Kusini, kuhusu ushirikiano wa...

Habari za SiasaTangulizi

Shughuli pevu: Ni Lissu Vs Ndugai kortini

KESI inayotarajiwa kuwa mashuhuri na ya aina yake kati ya Tundu Lissu, aliyevuliwa ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki dhidi ya Job Ndugai,...

Habari za SiasaTangulizi

Video ya Mbowe: Ni kusuka au kunyoa

SWALI ni je, video iliyopokewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ikidaiwa kuonesha matukio yanayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake kwenye mkutano wa kufunga...

Habari za Siasa

Jumuiya ya Waislamu yalilia Tume Huru ya Uchaguzi 

KUELEKEA maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania imeiomba serikali kuunda Tume Huru ya Uchaguzi ili kuleta...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi wa Sita kumzamisha Zitto?

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, anayetuhumiwa na tuhuma za uchochezi, kesho shahidi wa sita anatarajiwa kutoa ushahidi dhidi yake. Anaandika...

Habari za Siasa

Kubenea kuingia na hoja ya watu wenye Ualbino bungeni

MBUNGE wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea, amepanga kuwasilisha hoja binasfi bungeni, kushinikiza serikali kuridhia Itifaki ya pamoja ya Mkataba wa Afrika wa haki...

Habari za SiasaTangulizi

Si akili zao, ni kufilisika

KUFILISIKA huwa hakupigi goti. Wala anayefilisika huwa hajijui; huwa anadhani kilichopungua leo atafidia kesho. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Mfano, mfanyabiashara wa duka, kwa...

Habari za Siasa

Zitto aeleza ndoto ya ACT-Wazalendo 2020-2025

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeanza kueleza mikakati yake, iwapo kitapewa mamlaka ya kuiongoza Tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Anaripoti Faki Sosi …...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu afungua kesi ya kihistoria  

HATIMAYE yametimia. Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu, ametinga mahakamani kupinga hatua ya Spika...

Habari za Siasa

Serikali, Green Miles wavutana

WAKATI serikali ikieleza kufuta umiliki wa kitalu cha uwindaji wa kitalii cha Lake Natron (East), kilichokuwa kinamilikiwa na Kampuni ya Uwindaji wa Kampuni...

Habari za SiasaTangulizi

Mwandishi Kabendera, afunguliwa kesi ya kushirikiana na wahalifu

MWANDISHI wa habari za uchunguzi nchini, Erick Kabendera, hatimaye amefikishwa mahakamani kwa makosa matatu, likiwamo utakatishaji fedha na kushirikiana na kinachoitwa, “makundi ya...

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Hatuna nguvu 

NCHI za Afrika hazina nguvu katika soko la kimataifa hasa kwenye malighafi, hupangiwa bei ya kuuza kwa wenye viwanda. Anaripoti Regia Mkonde … (endelea)....

Habari za Siasa

CUF yampigia goti Rais Magufuli 

CHAMA Cha Wananchi (CUF), kinaugulia maumivi ya kutofanya mikutano ya kisiasa hasa muda huu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa baadaye mwaka huu....

Habari za Siasa

Nanenane Singida, Dodoma iwe endelevu – Waziri Jafo

SELEMAN Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ametoa maagizo kwa wakuu wa mikoa ya...

Habari za Siasa

Halima Mdee: Mama aliniambia maneno makali

MAMA yangu aliniambia, Mungu alimuepusha uchungu mkali wakati wa kunizaa lakini sasa anapata machungu makali kila siku katika utu uzima wangu. Anaandika Hamis...

Habari za SiasaTangulizi

Urais wa Membe waendelea kupata wafuasi  

BERNARD Kamillius Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nchi za nje na uhusiano wa kimataifa, anazidi kukoleza mbio za kuwania urais katika...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli amsifu Jakaya Kikwete

RAIS John Magufuli amemshukuru Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete kwa kuanzisha ujenzi wa Jengo la Tatu la Abiria katika...

Habari za Siasa

Msani/Diwani ACT-Wazalendo atupwa jela

MSANII wa kizazi kipya na mwanasiasa wa upinzani nchini Clayton Chipando maarufu kwa jina la Baba Levo, leo tarehe 1 Agosti 2019 amehukumiwa kwenda...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Hiki ndicho kilichowaponza UAMSHO

SIASA za kukomoana zimetamalaki Zanzibar na hiki ndicho kilichosababisha viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar kusota rumande bila sababu...

Habari za Siasa

Maalim Seif arejea nyumbani kwake

MAALIM Seif Sharif Hamad, mshauri mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, aliondoka kwenye Kongamano la Kuadhimisha Miaka 9 ya Maridhiano visiani humo na kurejea nyumbani kwake. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif, Mzee Moyo, wakinukisha Zanzibar

MAKAMU wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, amemtuhumu Dk. Ali Mohamed Shein, rais wa sasa wa Zanzibar, kuwa anavivuruga visiwa...

Habari za Siasa

Alhaj Mwinyi: Tuvumiliane

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi amewataka Watanzania kuvumiliana katika tofauti zao za kiimani. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Alhaj Mwinyi...

Habari za Siasa

Tundu Lissu: Nipo ‘fiti’, sasa nakuja

TUNDU Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki amesema, yupo ‘fiti’ na kwamba sasa hatumii magongo hivyo hanasababu ya kuendelea kukaa Ulaya. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....

Habari za Siasa

Mama Samia: Watanzania ni hodari kutengeneza sera, si kuzitumia

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hasani amesema, Watanzania ni mahodari kutengeneza sera, sheria na kanuni lakini siyo watekelezaji. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Ametoa kauli...

Habari za SiasaTangulizi

BREAKING NEWS: Maalim Seif akamatwa

MAALIM Seif Sharif Hamad, mshauri mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amekamatwa na Jeshi la Polisi visiwani Zanzibar. Anaandika Kelvin Mwaipungu, Zanzibar … (endelea). Kiongozi...

Habari za Siasa

Polisi Hai ‘wamkaba’ Mbowe

MIKUTANO ya hadhara yenye lengo la kufanya mrejesho kwa wananchi kuhusu kazi zilizofanywa na mbunge wao, Freeman Mbowe, katika jimbo la Hai mkoani...

Habari za Siasa

Usawa na utu havitoshi, lazima haki iwepo – Butiku

JOSEPH Butiku, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amewataka wanasiasa nchini kusimamia haki kwa kuwa utu na usawa pekee havitoshi. Anaripoti...

Habari za Siasa

Zitto, Maalim Seif wapiga kambi Segerea

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo na Maalim Seif Sharif Hamad, mshauri wa chama hicho leo tarehe 28 Julai 2019, wamelivaa...

Habari za Siasa

Mbatia apewa miaka mitano NCCR-Mageuzi

JAMES Mbatia, amechaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi huku Angelina John, akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti Bara na Ambar Hamis ameukwaa umakamu...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Munga amvaa Musiba, adai anavuruga nchi

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Stephen Munga, ameonya kuwa kitendo cha Cyprian Musiba, kukashifu...

error: Content is protected !!