Friday , 26 April 2024
Home kelvin
1174 Articles83 Comments
MichezoTangulizi

Simba Bingwa, mara nne mfululizo

  MABAO mawili ya John Bocco na Chriss Mugalu yalitosha kuifanya Simba kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu...

Michezo

Kisa ajali, michezo ya Ligi Kuu kusogezwa mbele

  KUFUATIA kupata ajali mbaya ya gari, kwa kikosi cha timu ya Polisi Tanzania mkoani Kilimanjaro, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesogeza...

MichezoTangulizi

Hamta ya uchaguzi TFF kujulikana Julai 16

  MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam, itatoa maamuzi ya kesi ndogo ya zuio la uchaguzi namba 305, iliyofunguliwa na mwanamichezo Ally...

Michezo

Yanga yalamba dili la bilioni 41

  KLABU ya soka ya Yanga, imeingia mktaba wenye thamani ya shilini 41 bilioni, katika kipindi cha miaka 1o na kampuni ya Azam...

Habari Mchanganyiko

Taasisi za dini zaibua dosari uchaguzi 2020, Samia ajibu

JUMUIYA ya Kikristo Tanzania (CCT), imesema taasisi za dini hazikushirikishwa katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa 2020, baada ya kukosa vibali, tofauti na...

Michezo

Kisa Simba, Yanga yapigwa faini ya mil 3

  KLABU ya Soka ya Yanga, imepigwa faini ya Shilingi milioni tatu, mara baada ya kufanya makossa manne kwenye mchezo wa Ligi Kuu...

Tangulizi

Mwanakijiji Morogoro ajishindia gari la milioni 169 kutoka NMB

  MKAZI wa Kijiji cha Kinole, Mkoa wa Morogoro nchini Tanzania, Abdallah Mohammed, amejishindia gari jipya aina ya Toyota Fortuner yenye thamani ya...

Michezo

Messi, Neymar kukutana fainali, Copa America

  FAINALI ya michuano ya Copa America, itapigwa siku ya Jumapili ambapo itaikutanisha miamba ya soka barani humo, tumu ya Taifa ya Argentina...

Michezo

Simba kumalizana na ubingwa mapema

KIKOSI cha klabu ya Simba leo kitashuka dimbani, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya KMC, ambapo Kocha Msaidizi, Selaman Matola...

Michezo

Simba kushiriki michuano mipya Barani Afrika

  KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) itakutana Julai 16, 2021, nchini Morocco kujadili mfumo wa mashindano mapya...

Michezo

Djuma Shabani rasmi atua Yanga

  ALIYEKUWA mlinzi wa kulia wa klabu ya AS Vita ya nchini DR Congo, Djuma Shaban rasmi kukipiga ndani ya Yanga, kwenye msimu...

MichezoTangulizi

Manara: Tukifungwa na Yanga Kigoma naacha kazi

  KUFUATIA klabu yake ya Simba kupoteza mchezo wao dhidi ya Yanga, kwa bao 1-0, Afisa Habari wa klabu hiyo, Haji Manara ameahidi...

MichezoTangulizi

Mambo matano makubwa mchezo Simba na Yanga

  MARA baada ya kufanyika kwa mchezo mkubwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kati ya Simba ambao walikuwa wenyeji mbele ya Yanga na...

Michezo

Yanga yapita mlango mdogo, wagoma kuingia vyumbani

  Katika hali ya kustajabisha, kwenye mchezo watani wa jadi kati ya Simba na Yanga, kikosi cha klabu ya Yanga ambao walikuwa wageni...

Michezo

Kocha Yanga: Tulitaka kuwaonesha sisi ni wakubwa

  MARA baada ya kuondoka na ushindi wa bao 1-0. kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kocha Mkuu wa klabu ya Yanga,...

MichezoTangulizi

Yanga yaipiga Simba mbele ya Rais Samia

  TIMU ya Yanga ya Dar es Salaam, imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya watani zao Simba, katika mchezo wa Ligi Kuu...

Michezo

Simba waapa kutangaza ubingwa mbele ya Yanga

  KESHO Mafahari wawili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, klabu za Simba na Yanga, zinashuka dimbani kusaka pointi tatu, huku kila upande ukijinasibu...

MichezoTangulizi

Jaji atoa uamuzi kupinga uchguzi TFF

  MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imetoa mwongozo wa kesi ya zuio la uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), isikilizwe...

MichezoTangulizi

Mahakama kuamua hatima uchaguzi TFF leo

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam nchini Tanzania, leo Ijumaa saa 6:00 mchana, itatoa hukumu ndogo ya ama kuzuia uchaguzi wa...

MichezoTangulizi

TFF yafikishwa Mahakamani

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imepokea kesi ya kupinga uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), iliyofunguliwa na...

Michezo

Jeshi la Polisi latoa tahadhari Simba na Yanga

   JESHI la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limesema kuwa limejipanga kuimalisha ulinzi, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati...

Michezo

Morrison ashikiki Simba, atwa tuzo siku moja kabla ya mchezo wa Yanga

KUELEKEA mtanange wa watani wa jadi, kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba, Bernard Morrison amechaguliwa kuwa mchezi bora wa mashabiki wa klabu hiyo,...

Michezo

KMC warudisha Dar mchezo wao dhidi ya Simba

  Klabu ya KMC ya jijini Dar es Salaam, imerejesha mchezo wake dhidi ya Simba jijini Dar es Salaam, kwenye dimba la Benjamin...

Michezo

Refa Mwandembwa apewa tena Rungu, mechi Simba na Yanga

EMMANUEL Mwandembwa kutoka Arusha, ndiye atakayekuwa mwamuzi wa mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga utakaopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin...

MichezoTangulizi

Kundi la kifo lapoteana Euro

  HATUA ya 16 ya michuano ya Euro imemalizika jana, kwa kigogo mwengine wa soka barani humo, timu ya Taifa ya Ujerumani kutupwa...

MichezoTangulizi

Karia asalia peke yake uchaguzi TFF

  KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF), imepitisha jina la Wallace Karia kuwa mgombea peke kwenye uchaguzi mkuu...

Habari Mchanganyiko

Askofu Bagonza: Ulimwengu umejaa unafiki, kujipendekeza

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza, amesema ulimwengu umejaa unafiki,...

Michezo

Euro yanoga, vigogo waanguka

  HATUA ya 16 bora ya michuano ya Euro imeanza mwisho wa juma lililopita ambapo mpaka sasa imeshapigwa jumla ya michezo minne, huku...

Michezo

Makocha, wachezaji: Kikwete awataka Yanga kuvuta subra

  RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameutaka uongozi na wanachama wa mabingwa wa soka nchini humo, Yanga kuwa wavumilivu kufikia mafanikio...

MichezoTangulizi

Kikwete: Yanga itaipiga Simba

  JAKAYA Mrisho Kikwete, Rais mstaafu wa Tanzania amesema, atafurahia iwapo Yanga itaibuka na ushindi dhidi ya mtani wake, Simba. Anaripoti Kelvin Mwaipungu,...

MichezoTangulizi

Mabadiliko Yanga, Kikwete awapa ujumbe

  RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka wanachama wa Klabu ya Yanga kuwa wawazi kushauri na kukosoa ili iweze kusonga mbele. Anaripoti...

Michezo

Yanga yapitisha vigogo 5 baraza la wadhamini

  MKUTANO Mkutano Mkuu wa Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, imepitisha majina matano likiwemo Mama Fatuma Karume, kuwa wajumbe wa Baraza...

Michezo

Yanga yatangulia fainali, yazisubiri Simba au Azam

  GOLI pekee ya mshambuliaji wa kimataifa kutoka Ghana wa Yanga ya Dar es Salaam, Yacouba Sogne, limeipeleka fainali ya michuano ya Azam...

Michezo

Kelvin John atua Genk

  MSHAMBULIAJI kinda wa Timu ya Taifa ya Tanzania, (Taifa Stars) Kelvin John amesajiliwa kwa mkataba wa miaka mitatu na klabu ya KRC...

Habari za Siasa

Mchakato uvunjaji Jiji la Dar wahojiwa bungeni

  SERIKALI imeombwa kupitia upya mchakato wa ugawaji mali za iliyokuwa Jiji la Dar es Salaam, baada ya kuvunjwa na aliyekuwa Rais wa...

Michezo

Nusu Fainali FA Cup, Yanga, Biashara United watambiana

  Kuelekea mchezo wa kesho wa nusu fainali ya michuano ya kombe la FA (Azam Federation Cup) kati ya Yanga dhidi ya Biashara...

Michezo

TFF yamtoa kifungoni Mwakalebela

  Kamati ya maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imemuondoa kifungoni Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Fedrick Mwakalebela, mara...

MichezoTangulizi

Dk. Mwinyi amteuwa kiongozi Yanga

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ally Mwinyi amemteuwa Arafat Ally Haji ambaye ni mjumbe wa kamati...

Michezo

Ni Uingereza dhidi ya Ujeruman robo fainali Euro

  MARA baada ya kukamilika hatua ya makundi ya michuano ya Euro 2020, hatimaye michezo ya 16 bora itaanza kupigwa siku ya Jumamosi,...

Michezo

Bao Nne za Simba dhidi ya Kaizer, zamuibua Mwigulu adai walikosa mipango

  WAZIRI wa fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa kilichosababisha klabu ya Simba kukumbana na kadhia ya kipigo cha mabao 4-0,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Dk. Mwigulu aeleza makato lini za simu yatakavyokuwa

  WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, amefafanua jinsi kodi ya lini ya simu itakavyolipwa na watumiaji huku akiwaomba...

MichezoTangulizi

Chama arejea, Manula, Lwanga ‘Out’ dhidi ya Mbeya City

Mara baada ya kukosekana Uwanjani kwa wiki tatu, kiungo wa klabu ya Simba, Clatous Chama amerejea Uwanjani, huku mlinda mlango wa klabu hiyo...

Habari za SiasaTangulizi

Othuman amzungumzia Maalim Seif, ashiriki kamati kuu ACT-Wazalendo

  MAKAMU wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud Othuman amekishukuru chama chake cha ACT-Wazalendo kwa kumpendekeza kwenye nafasi hiyo huku akiwaahidi...

MichezoTangulizi

Yanga yamfungia Metacha, mwenyewe aomba radhi

  MARA baada ya uongozi wa klabu ya Yanga kumfungia mlinda mlango wake Metacha Mnata, kwa kosa la utovu wa nidhamu, mchezaji huyo...

Michezo

Kocha Simba atamba kuingamiza Polisi Tanzania

  KOCHA msaidizi wa klabu ya Simba, Seleman Matola amejinasibu kikosi chake kuwa tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu...

Michezo

Yanga yamlilia Kenneth Kaunda

  MABINGWA wa Kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya Dar es Salaam, imetoa salamu za rambirambi, kufuatia kifo cha Kenneth Kaunda, Rais wa kwanza...

Michezo

Kocha Yanga afunguka usajili wa msimu ujao

Nasreddine Nabi kocha mkuu wa kikosi cha Yanga , amefunguka mipango yake ya usajili kuelekea msimu ujao wa mashindano huku akikili kuhitaji mlinzi...

Michezo

Ally Mayay akubali yaishe

  ALIYEKUWA mgombea wa nafasi ya Urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Ally Mayay Tembele ameonesha kutokuwa...

Michezo

Yanga kushuka Dimbani kesho, dhidi ya Ruvu

MARA baada ya kuwa kwenye mapumziko ya wiki mbili kikosi cha Yanga kesho kitashuka dimbani kwenye muendelezo wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

Habari MchanganyikoMichezo

Yanga: Hatujakata tamaa na ubingwa

KLABU ya Soka ya Yanga imesema haijakata tamaa na ubingwa Ligi Kuu Bara na hivyo wamesema kuwa watapambana mpaka dakika za mwisho. Anaripoti...

error: Content is protected !!