Saturday , 27 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

Rais Samia awaapisha RC Shinyanga, Jaji kiongozi, Jaji Mahakama ya rufani

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaapisha viongozi watatu aliowateua tarehe 8 Oktoba 2021. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....

HabariMichezo

Stars yakaa kileleni kundi J

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imerejea tena kwenye usukani wa kundi J, katika harakati za kutafuta tiketi za kufuvu fainali za...

Tangulizi

Rais Samia: Ndege tano zinakuja, nawahakikishia ujenzi barabara nane Dar unaendelea

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali tayari imetumia jumla ya Sh bilioni 596.3 kwa ajili ya ununuzi wa ndege nyingine tano  mbali...

Habari

‘Mnasema Rais ni mweupe! dokoa pesa muone rangi halisi’ – Rais Samia

  RAIS Samia amewaonya viongozi, watumishi na wazabuni watakaosimamia miradi itakayotekelezwa kwa kutumia fedha zilizotolewa na Shirika la Fedha Duniani (IMF) kwa Tanzania,...

Habari

Rais Samia: Dk. Mwigulu uwe mwepesi

  RAIS Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba kuthibiti urasimu wa kupata msamaha wa kodi kwa vifaa...

Habari

‘Tuende na single source’

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameiagiza Mamlaka ya Manunuzi ya Umma (PPRA) kutumia utaratibu wa manunuzi wa moja kwa moja ‘single source’ badala...

Habari

Rais Samia: Trilioni 1.3 zibaki, kilio wakandarasa sasa basi

RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza watekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi wa shule na maji nchini, kuwatumia wakandarasi wa ndani kwa kuwa miaka...

Habari

Rais Samia aomba sekta binafsi kumuunga mkono matumizi ya fedha za IMF

Rais SAMIA Suluhu Hassan ameomba sekta binafsi kumuunga mkono kwa kuchangamkia fursa zinazotokana na fedha zilizotolewa na Shirika la Fedha Duniani (IMF) zitakazotumika...

Habari

Mahakama kuu yaagiza wadeni watatu wa Exim kukamatwa kwa kushindwa kulipa deni la Sh milioni 674

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania (Idara ya Biashara) jijini Dar es Salaam imeagiza kukamatwa kwa wadeni watatu wa benki ya Exim Tanzania kwa kushindwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia: Tunashukuru IMF, tumejadiliana wakatuelewa

RAIS Samia Suluhu Hassan amelishuruku Shirika la Fedha Duniani (IMF) kwa kuielewa Serikali ya Tanzania na kuridhia itumie fedha za maendeleo kwa ustawi...

Tangulizi

Uchaguzo mdogo; ACT- Wazalendo, CCM wagawana majimbo

VYAMA vya ACT – wazalendo na CCM vimegawana majimbo Konde Visiwani Zanziba na Ushetu mkoani Shinyanga katika uchaguzi mdogo uliofanyika jana tarehe 9...

MichezoTangulizi

Tyson Fury amtwanga Wilder kwa mara ya pili, achota bilioni 23

  Bondia Tyson Fury kutoka Uingereza leo tarehe 10 Oktoba, 2021 amemtwanga kwa knock out katika raundi ya 11 bondia Deontay Wilder kutoka...

MichezoTangulizi

Twiga Stars yafanya kufuru COSAFA, Rais Samia aimwagia sifa

  TIMU ya soka ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imenyakua ubingwa wa michuano ya nchi za ukanda wa kusini mwa Afrika (Cosafa)...

Habari za Siasa

Waziri Mchengerwa aonya mavazi yasiyo rasmi, matumizi ya simu ofisini

  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora nchini Tanzania, Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma...

Habari za Siasa

Waliotemwa uwaziri, wapangiwa kamati za Bunge, Polepole ‘avuliwa’ uongozi

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amefanya mabadiliko madogo ya wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge huku akiwapangia kamati waliokuwa...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua RC, Jaji kesi ya kina Mbowe

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Dk. Mwinyi atoboa siri ndege za ATCL kupokewa Zanzibar

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Visiwani humo, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uamuzi wa mapokezi ya ndege mbili...

Habari za Siasa

Uchaguzi mdogo: NEC yapiga marufuku wapiga kura kubaki vituoni

  TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewataka wapiga kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge na udiwani, unaotarajiwa kufanyika kesho Jumamosi, kutofanya mikusanyiko...

AfyaTangulizi

Tanzania yapokea chanjo ya corona kutoka China

  TANZANIA leo Ijumaa, tarehe 8 Oktoba 2021, imepokea dozi 576,558 za chanjo dhidi ya ugonjwa unaoambukizwa na virusi vya korona (UVIKO-19) aina...

Habari za Siasa

Dk. Mpango ampa mitihani minne Profesa Kitila

  Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango amemuagiza Waziri ya viwanda na biashara, Prof. Kitila Mkumbo pamoja na Shirikisho la wenye Viwanda nchini...

Habari

Majaliwa aendelea kung’ata watumishi, amsimamisha mwingine

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Omary Chingwile ili kupisha uchunguzi wa...

Habari za Siasa

Msajili awalima barua TCD, waahirisha kongamano

  KONGAMANO la haki, amani na maridhiano lililokuwa lifanyike tarehe 21-23 Oktoba 2021, ambalo linaandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) limeahirishwa. Anaripoti...

MichezoTangulizi

Kipigo Stars. Kocha alia na Refa

MARA baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Benin kwa bao 1-0, kocha wa kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Kim...

Habari za Siasa

Majaliwa agoma kufungua barabara Liwale, atoa maagizo

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekataa kufungua barabara ya lami yenye urefu wa kilomita 1.2 iliyoko katika halmashauri ya wilaya ya...

AfyaTangulizi

WHO yaidhinisha chanjo ya kwanza ya Malaria, ilisakwa kwa miaka 100

  SHIRIKA la Afya duniani (WHO) limeidhinisha chanjo ya kwanza ya ugonjwa wa Malaria na kusisitiza kuwa inapaswa kutolewa kwa watoto wote Barani...

Habari za Siasa

Spika Ndugai: Nilitaka kuwa hakimu, headmaster alinifukuza

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema alikuwa na ndoto ya kuwa hakimu kama alivyokuwa baba yake...

AfyaHabari za Siasa

Majaliwa awatolea uvivu watumishi wazembe

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, haitawavumilia watumishi wa umma...

Habari za Siasa

Rais Samia aagiza majaji kushughulikia ubora maamuzi mahakama za mwanzo

  RAIS Samia Suluhu Hassan amemuagiza Jaji Mkuu na Kaimu Jaji Kiongozi kutupia jicho vizuri usimamizi wa ubora wa maamuzi kwenye mahakama za...

MichezoTangulizi

NBC yatumia bilioni 2.5 kudhamini ligi kuu

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) imeingia mkataba na Benki ya NBC wenye thamani ya Sh.2.5 bilioni bila Kodi ya Ongezeko la Thamani...

Habari za Siasa

Profesa Assad awananga viongozi ‘mazuzu’

  PROFESA Mussa Assad, aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) amekerwa na viongozi wenye uwezo wa...

Habari za SiasaTangulizi

Profesa Assad: Niliondolewa CAG bila utaratibu

  PROFESA Mussa Assad, aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) amesema, aliondolewa katika wadhifa wa U...

Habari za SiasaTangulizi

Membe amfagilia Rais Samia, ampa ujumbe Majaliwa

  ALIYEWAHI kuwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi jasiri na mahiri, anatosha...

Habari za Siasa

Rais Samia ateta na bosi wa BADEA

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Uchumi Afrika (BADEA),...

MichezoTangulizi

Utovu wa nidhamu wamuondoa Mkude kambini Stars

  KIUNGO wa klabu ya Simba Jonas Mkude ameondolewa kwenye kambi ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kutokana na matatizo ya...

Habari za Siasa

Chadema watinga kwa msajili wafuasi wake kukamatwa, ajibu

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani nchini Tanzania, kimemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, aingilie...

Habari MchanganyikoTangulizi

TCRA yabariki ongezeko bei za bando, wasema ni jambo la kawaida

  MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema mabadiliko ya bei za bando iliyofanywa na baadhi ya kampuni za simu za mkononi nchini ni...

Habari za Siasa

Majaliwa aziagiza wizara, halmashauri ziimarishe mazingira uchumi shirikishi

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameziagiza wizara, halmashauri na taasisi za Serikali na binafsi, ziimarishe mazingira ya uchumi shirikishi ili kukuza kipato cha...

Makala & Uchambuzi

Rais mtata wa Ufilipino, Rodrigo Duterte, tangaza kujiuzulu siasa

RAIS wa Ufilipino, Rodrigo Duterte amesema, tofauti na ambavyo alieleza huko nyuma, ameamua kujiuzulu siasa na hivyo, hatajitosa katika kinyang’anyiro cha urais katika...

Habari

Watanzania 6 kuchuana taji la Miss Dunia 2022

  Tanzania imepata nafasi ya kupeleka washiriki sita kwenye Fainali za Urembo, Mitindo na Utanashati kwa viziwi ya ngazi ya dunia yatakayofanyika Aprili...

Habari za Siasa

Kisa wafuasi wao kushikiliwa, Chadema watinga mahakamani

  WANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamewasilisha maombi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, kuiomba itoe amri ili wafuasi wake wanaoshikiliwa...

HabariTangulizi

Mawaziri nane kuvamia vijijini 975

  JUMLA ya Mawaziri nane wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanatarajia kuanza ziara ya siku 15 katika vijiji 975 kwa...

Habari

Maelfu waandamana kupigania utoaji mimba

  Maelfu ya wanawake nchini Marekani wameandamana katika zaidi ya miji 600 nchi hiyo kupinga kampeni ya kuzuia uavyaji (utoaji) mimba. Anaripoti Mwandishi...

HabariTangulizi

Othman ala kiapo kutimiza ndoto ya Maalim Seif

  MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman, amekula kiapo cha kutimiza ndoto ya mrithi wake, Maalim Seif Shariff Hamad ya...

MichezoTangulizi

Tanzania yampa uraia Denis Kibu, rasmi Simba

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa uraia mchezaji...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto ampa ujumbe Jaji Mutungi ‘busara itumike’

  MWENYEKITI wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Zitto Kabwe amemshauri Msajili wa vyama vya siasa nchini humo, Jaji Francis Mutungi kutoingilia ratiba...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awaahidi neema Skauti, awapa ujumbe

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema katika kipindi chake cha uongozi, atahakikisha anaimarisha chama cha Skauti nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

MichezoTangulizi

Kagere arejesha furaha msimbazi

BAO pekee lililofungwa dakika ya 69 na mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagera dhidi ya Dodoma Jiji limerejesha furaha kwa mabingwa hao watetezi wa...

Tangulizi

Uraia wa Kibu: Zitto amtwisha zigo Majaliwa, Simbachawene

  SAKATA la uraia wa mchezaji mpya wa Simba ya Dar es Salam, Kibu Denis limemuibua Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akimtaka Waziri...

Habari za Siasa

Wazee ACT-Wazalendo waomba kuonana na Rais Samia

  NGOME ya Wazee wa Chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, imeomba kuonana na Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, ili kuzungumza changamoto...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hukumu kesi ya Sabaya hadi tarehe 15 Oktoba

  HUKUMU ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili iliyokuwa...

error: Content is protected !!