SERIKALI ya Tanzania, imesema mpaka kufika Juni 2021, jumla ya laini za simu milioni 53 zimesajiliwa, watu wanaotumia mtandao wa intaneti milion...
By Kelvin MwaipunguJune 16, 2021MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu, amefanya mazungumzo na Masheikh wanaokabiliwa na tuhuama za ugaidi, ikiwemo Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho...
By Kelvin MwaipunguJune 16, 2021RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekitaka Chama cha Mapinduzi (Ccm), kukarabati viwanja vyake kwa kuweka nyasi bandia,...
By Kelvin MwaipunguJune 15, 2021Ali Saleh ‘Alberto’ moja ya wagombea nafasi ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ameibuka na hoja...
By Kelvin MwaipunguJune 15, 2021LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), iliyokuwa imesimama kupisha kalenda ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) ya michezo ya kirafiki kwa...
By Kelvin MwaipunguJune 15, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguuu Tanzania (TFF), limewataka wadau mbalimbali wa mchezo huo pamoja na wagombea waliojitokeza kwenye zoezi la uchukuaji fomu...
By Kelvin MwaipunguJune 14, 2021PAMBANO la mchezo wa ngumi lililofahamika kwa jina la ‘Payback Night’ kati ya mabondia, Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’ na Twaha Kassim ‘Twaha...
By Kelvin MwaipunguJune 13, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, ameagiza kuondolewa kwa vikwazo vyote vinavyokwamisha kuanza utekelezaji wa Mradi Unganishi wa Madini ya Chuma na...
By Kelvin MwaipunguJune 13, 2021Wakati sakata lake la utovu wa nidhamu likiwa bado kwenye mikono ya kamati ya nidhamu ya klabu hiyo, kiungo wa klabu ya...
By Kelvin MwaipunguJune 13, 2021ALIYEKUWA Mbunge wa jimbo la Ubungo Saed Kubenea jana alijitokeza kwenye makao makuu ya Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) kumchukulia fomu ya nafasi...
By Kelvin MwaipunguJune 11, 2021WAZIRI wa fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba amesema kuwa kwenye bajeti ya Serikali ya mwaka 2021/22 serikali itapunguza kodi kwa washindi wa...
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2021SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kuanzisha utaratibu mpya wa usimamizi wa fedha na matumizi ya taasisi zianzotoza ada, katika mwaka wa fedha wa...
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2021BAJETI Kuu pendekezwa ya Serikali ya Tanzania, kwa mwaka wa fedha wa 2021/22, imekuja na mikakati ya kuzipa nafuu Taasisi Zisizo za...
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2021Waziri wa Fedha na Mipangango Mwigulu Nchemba amesema kuwa katika bajeti ya mwaka 2021/22 watasamehe ongezeko la kodi la thamani (VAT) kwa...
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2021SERIKALI ya Tanzania, imependekeza kuanzia mwaka wa fedha 2021/22, itaanza kuwalipa madiwani posho za kila mwezi kutoka serikali kuu. Anaripoti Jemima Samwel,...
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango, nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba amesema, Sh.328.2 bilioni, zinatarajiwa kutumika kugharamia sensa ya watu na makazi kwa...
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2021Kikosi cha timu ya Taifa ya Malawi kinategemea kuwasili jijini Dar es Salaam kesho, kwa ajili ya mchezo wa kujipima nguvu, dhidi...
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2021Kivumbi cha michuano ya Euro kitaanza kutimua vumbi kesho, ambapo kutapigwa mchezo mmoja wa kundi A, kati ya Uturuki dhidi ya Italy....
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2021MWANASOKA maarufu nchini, Ally Salehe ‘Alberto,’ amejitosa katika mbio za kuwania urais ndani ya shirikisho la soka nchini (TFF). Anaripoti Saed Kubenea...
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2021Ni kama Yanga sasa wameonekana kufanikiwa kumyakuwa beki wa pembeni kutoka klabu ya AS Vita ya nchini Congo Dr, mara baada ya...
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2021MCHAMBUZI wa soka kutoka kituo cha radio cha E-FM, Oscar Oscar amejitokeza na kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya urais ndani ya...
By Kelvin MwaipunguJune 9, 2021Aliyekuwa Mwenyekiti wa klabu ya Simba Swedy Nkwabi pamoja na Philemon Ntahilaija wamejitokeza kwenye makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu...
By Kelvin MwaipunguJune 8, 2021MARA baada ya kuripotiwa kuwa na matatizo ya kinidhamu na klabu yake wakati walipokuwa kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa nchini Afrika...
By Kelvin MwaipunguJune 8, 2021BAADA ya kufunguliwa kwa zoezi la uchukuaji fomu kwa ajili ya uchaguzi Mkuu ndani ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),...
By Kelvin MwaipunguJune 8, 2021KAMATI ya nidhamu ya klabu ya Simba, iliyokuwa chini ya Mwenyekiti wake Seleman Kova, imeuagiza uongozi wa klabu hiyo, kumfanyia vipimo vya...
By Kelvin MwaipunguJune 7, 2021SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema, huduma ya manunuzi ya luku kwa njia ya mtandao, inatarajia kurejea leo Jumatatu, tarehe 7 Juni...
By Kelvin MwaipunguJune 7, 2021BAADA ya jana kutangazwa kwa Uchaguzi Mkuu ndani ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Wakili...
By Kelvin MwaipunguJune 7, 2021MBUNGE wa Nkasi Kaskazini (Chadema), Aida Khenani, ameihoji Serikali ya Tanzania, kwa nini wanafunzi wameendelea kuchangishwa michango wakati “inasema elimu ya Shule...
By Kelvin MwaipunguJune 7, 2021JUMBA la kutesea watu, maarufu kama Golgota, linalomilikiwa na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya, limegundulika rasmi....
By Kelvin MwaipunguJune 7, 2021MBUNGE wa Kawe mkoani Dar es Salaam, Askofu Josephat Gwajima, amehoji lini Serilkali itapeleka boti za doria jimboni humo, kwa ajili ya...
By Kelvin MwaipunguJune 7, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali ipo mbioni kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa uzalishaji wa gesi asilia ya kimiminika...
By Kelvin MwaipunguJune 6, 2021JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania-NCCR-Mageuzi, ameitaka Serikali kuweka hadharani, uchunguzi uliofanyika Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Anaripoti Hamis Mguta,...
By Kelvin MwaipunguJune 6, 2021RUBEN Dias mlinzi wa kati wa klabu ya Manchester City na timu ya Taifa ya Ureno ameshinda tuzo ya mchezaji bora ndani...
By Kelvin MwaipunguJune 5, 2021KOCHA wa klabu ya Manchester City ya England Pep Guardiola amefanikiwa kushinda tuzo ya kuwa kocha bora wa Ligi Kuu nchini England...
By Kelvin MwaipunguJune 5, 2021KIUNGO Raia wa Kenya Francis Kahata ameachana rasmi na klabu ya Simba mara baada ya mkataba wake kumalizika na kuwashukuru viongozi pamoja...
By Kelvin MwaipunguJune 5, 2021MARA baada ya kurejea nchini kwa mfanya biashara Yusuf Manji na kuibuka kwa hisia kali za mashabiki wa klabu ya Yanga kutaka...
By Kelvin MwaipunguJune 4, 2021KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kesho tarehe 5 Mei, 2021 kinatarajia kuingia kambini kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi...
By Kelvin MwaipunguJune 4, 2021KIUNGO wa klabu ya Simba J,onas Mkude kesho tarehe 5 Juni, 2021 atakwenda kujadiliwa mbele ya kamati ya nidhamu ya klabu hiyo,...
By Kelvin MwaipunguJune 4, 2021Mara baada ya Afisa habari wa klabu ya Yanga Hassan bumbuli kusema hautambui mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguJune 3, 2021Mshambuliaji wa klabu ya Simba John Bocco ameshinda tuzo ya kuwa mchezaji bora wa mashabiki mwezi Mei, mara baada ya kuwabwaga Thadeo Lwanga...
By Kelvin MwaipunguJune 3, 2021MAHAKAMA ya usuluhishi wa michezo kimataifa (CAS) imezitaka pande zote mbili kwenye kesi ya kimkataba kati ya Yanga na Morrison kutoa taarifa...
By Kelvin MwaipunguJune 2, 2021Mara baada ya kuwepo kwa fununu nyingi ya mshambuliaji wa klabu ya Simba Ibrahim Ajibu kutaka kusaini Yanga, Arafati Haji ambaye ni...
By Kelvin MwaipunguJune 2, 2021KLABU ya Simba kesho itashuka Uwanjani kumenyana na Ruvu Shooting kwenye mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa...
By Kelvin MwaipunguJune 2, 2021Klabu ya Azam Fc imemuongezea mkataba miaka miwili mshambuliaji wake raia wa Zimbabwe Prince Dube ambapo utamfanya kusalia hapo hadi 2024. Anaripoti Kelvin...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2021MAKOCHA Pep Guardiolla wa Manchester City na Ole Gunner Solskjaer wa Manchester United wamejuimishwa kwenye orodha ya makocha watano kuwania tuzo ya...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2021KLABU ya Manchester United imethibitisha kuondolewa kikosini kwa kinda wake Mason Greenwood mara baada ya kupata majeraha katika kuelekea fainali ya michuano...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2021WACHEZAJI nane kutoka klabu tofauti ndani ya Ligi Kuu nchini England wameingia kwenye kinyang’anyiro cha tuzo ya mchezaji bora wa Ligi hiyo...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema amepitia mikataba ya miradi ya ujenzi wa miundombinu, iliyoachwa na mtangulizi wake, Hayati John Magufuli,...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Waziri Ofisi ya Rais-Tamisemi, Ummy Mwalimu, kuwasimamisha kazi viongozi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo,...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2021Mlinzi wa kati wa klabu ya Crystal Palace ya nchini England Mamadou Sakho amefika Bungeni Jijini Dodoma na kuangalia shughuli za uwendeshaji...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2021