Saturday , 27 April 2024
Home kelvin
1174 Articles83 Comments
Michezo

Wachezaji 13 kuwania tuzo Ligi Kuu 2020/21

  JUMLA ya wachezaji 13 wamechaguliwa kuwania tuzo mbalimbali za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mimu wa 2020/21, katika vipengele tofauti tofauti. Anaripoti...

MichezoTangulizi

Manara kuifikisha Simba Mahakamani

  ALIYEKUWA Afisa Habari wa Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, klabu ya Simba, Haji Manara amepanga kuifikisha klabu hiyo mahakamani kwa kuwadai...

Michezo

Ushindi mabao 5 Ureno, Ronaldo aweka rekodi mpya

  NAHODHA wa Timu ya Taifa ya Ureno na Staa wa Manchester United Cristiano Ronaldo, ameweka rekodi mpya mara baada ya kupachika mabao...

Michezo

Yanga yapigwa faini ya milioni 11 na CAF

  KLABU ya Soka ya Yanga, imepigwa faini ya Dola za kimarekani 5,000 sawa na Sh. 11 milioni za kitanzania, na Shirikisho la...

HabariMichezo

Stars yakaa kileleni kundi J

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imerejea tena kwenye usukani wa kundi J, katika harakati za kutafuta tiketi za kufuvu fainali za...

Michezo

Mauya achukua nafasi ya Mzamiru Stars, apaa kwenda Benin

KIUNGO mkabaji wa klabu ya Yanga, Zawadi Mauya amejmuishwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kilichosafiri kuelekea Benin mara...

MichezoTangulizi

Kipigo Stars. Kocha alia na Refa

MARA baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Benin kwa bao 1-0, kocha wa kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Kim...

Michezo

Mashabiki 10,000 kuiona Stars

   Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limeruhusu mashabiki 10,000 kuingia uwanjani kwenye mchezo wa kufuzu fainali kombe la Dunia kesho...

MichezoTangulizi

NBC yatumia bilioni 2.5 kudhamini ligi kuu

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) imeingia mkataba na Benki ya NBC wenye thamani ya Sh.2.5 bilioni bila Kodi ya Ongezeko la Thamani...

MichezoTangulizi

Utovu wa nidhamu wamuondoa Mkude kambini Stars

  KIUNGO wa klabu ya Simba Jonas Mkude ameondolewa kwenye kambi ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kutokana na matatizo ya...

Michezo

Kibwana Shomari aongezwa Stars achukua nafasi ya Kapombe

  BEKI wa kulia wa klabu ya Yanga, Kibwana Shomari ameongezwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kuchukua nafasi...

Michezo

Mwamnyeto, Kapombe hati hati kuivaa Benin

  KUELEKEA mchezo wa kufuzu kwa michuano ya Kombe la Dunia dhidi ya Benin mlinzi wa kati wa timu ya Taifa ya Tanzania...

Michezo

Mvua ya magoli dabi ya Mbeya, sare zatawala

KIPUTE cha Ligi Kuu Bara kimeendelea tena leo tarehe 3 Oktoba 2021 kwa mechi tatu kupigwa katika viwanja vitatu tofauti na kushuhudia timu...

Habari

Maelfu waandamana kupigania utoaji mimba

  Maelfu ya wanawake nchini Marekani wameandamana katika zaidi ya miji 600 nchi hiyo kupinga kampeni ya kuzuia uavyaji (utoaji) mimba. Anaripoti Mwandishi...

Michezo

Luis Suarez apeleka kilio Barcelona

  Nyota wa Atletico Madrid, Luis Suarez amezidi kumfungulia mlango wa kutokea Kocha Mkuu wa Barcelona, Ronald Koeman baada ya kuiongoza timu yake...

Burudika

R. Kelly majanga, akutwa na hatia

  MWANAMUZIKI nguli wa miondoko ya ‘RnB’ kutoka nchini Marekani, Robert Sylvester Kelly maarufu kama R. Kelly amekutwa na hatia katika tuhuma zilizokuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe, wenzake yaibua mapya

  KESI ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, imechukua sura mpya baada ya taarifa za washtakuwa wawili kukinzana...

Michezo

Kocha Simba: Tutacheza kwa heshima kubwa

  KUELELEKEA kwenye tamasha la Simba maarufu kama ‘Simba Day’ kocha mkuu wa klabu hiyo, Didier Gomes amesema atacheza kwa heshima kubwa dhidi...

Habari

Jaji mstaafu Othuman Chande apewa shavu ICC

ALIYEKUWA Jaji Mkuu wa Tanzania, Othuman Chande, ameteuliwa na Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, inayojihusisha na uhalifu dhidi ya...

MichezoTangulizi

Yanga yaanza kimataifa kwa kipigo

  MABINGWA wa kihistoria wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam wameanza vibaya safari ya michuano ya klabu bingwa Afrika...

Habari Mchanganyiko

Kamati ya kitaifa kuratibu matumizi mabaya mitandaoni yaundwa

  SERIKALI ya Tanzania imeunda kamati ya Taifa ya kusimamia utatuzi wa matumizi mabaya ya huduma na bidhaa za mawasiliano. Anaripoti Noela Shila,...

Habari Mchanganyiko

Mbunge alilia maslahi askari polisi wanaojeruhiwa, kuuawa

  MBUNGE wa Viti Maalum (CCM) nchini Tanzania, Fakharia Shomr Khamis ameitaka Serikali kueleza ni maslahi yapi askari polisi anayapata pindi anapopata madhira...

Siasa

Kesi ya Mbowe, wenzake kuanza tena

  JAJI Mustapha Siyani, kesho Ijumaa tarehe 10 Septemba 2021 ataanza kusikiliza kesi inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha...

MichezoTangulizi

Aucho, Djuma Shabani hatihati kuikosa Ligi ya Mabingwa

  KUELEKEA mchezo wa awali wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Afrika, uongozi wa klabu ya Yanga umefunguka kuwa huwenda ukawakosa...

MichezoTangulizi

Msuva atoa siri ushindi Stars

KIUNGO mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Simon Msuva ametoa siri yabushindi kwenye mchezo wa kimataifa wa kufuzu fainali za...

MichezoTangulizi

Mashabiki Yanga njia Panda kushuhudia mchezo Ligi ya Mabingwa.

IKIWA zimebakiwa siku tano kuelekea mchezo wa hatua ya awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika, kati ya Yanga dhidi ya Rivers United, hatma...

Michezo

Stars kucheza bila mashabiki, Nyoni atoa neno

  TIMU ya Taifa ya Tannzania Taifa Stars italazimika kucheza bila mashabiki kwenye mchezo wao wa pili wa kufuzu fainali kombe la Dunia,...

MichezoTangulizi

Mechi ya kombe la dunia yaahirishwa Guinea

  MPAMBANO wa soka wa kufuzu kwa kombe la dunia, kati ya timu ya taifa ya Guinea na Morocco, uliokuwa umepangwa kufanyika jana...

MichezoNgumi

Ujumbe wa Mwanyiko kwa mashabiki

  HASSAN Mwakinyo, Bondia wa wa Tanzania, ametoa shukuran kwa watu mbalimbali kwa ushirikiano ambao wamemuonesha katika maandalizi ya pambano lake na Julius...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atoa milioni 500 ujenzi wa kituo cha afya Narungombe

  Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameshirikiana na wananchi kusafisha eneo ambalo litajengwa kituo cha Afya Katika kata ya Narungombe, Ruangwa mkoani...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ripoti ya Polisi sakata la Hamza, yaibua maswali magumu

  RIPOTI ya awali ya uchunguzi wa tukio la mauaji ya maofisa watatu wa jeshi la Polisi nchini Tanzania, mlinzi mmoja wa kampuni...

Michezo

Mtifuano kufuzu fainali kombe la Dunia

  Kuelekea hufuzu kwa fainali la kombe la dunia litakalofanyika nchini Qatar 2022, michezo mbalimbali jana ilipigwa ulimwenguni kote kwa mataifa mbali mbali...

Michezo

Neno la Senzo baada ya kupewa cheo kipya Yanga

  KAMATI ya utendaji ya klabu ya Yanga, imemteuwa aliyekuwa mshauli Mkuu wa klabu hiyo kwenye masuala ya mabadiliko Senzo Mbatha kuwa mtendaji...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia aanza kurekodi kipindi cha Royal tour

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameanza rasmi kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour chenye lengo la kuitangaza Tanzania kimataifa. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Aliyeshindwa ubunge Mkuranga, arudi kushukuru

ALIYEKUWA mgombea Ubunge wa Mkuranga (ACT-Wazalendo), Mkoa wa Pwani, Mhandisi Mohamed Mtambo, amerejea jimboni kuwashukuru wananchi kwa ushirikiano waliompa wakati wa kampeni za...

MichezoTangulizi

Haji Manara aibukia Yanga, atambulishwa rasmi

  ALIYEKUWA msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara ametambulishwa rasmi ndani ya klabu ya Yanga, mara baada ya kuachana na wajiri wake...

Michezo

Stars kuingia kambi leo, wachezaji Simba, Yanga warejea

  TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inaingia kambini hii leo Agosti 24, 2021 kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu fainali za...

Habari Mchanganyiko

Maelfu wapata chanjo ya corona Dar, siku zaongezwa

ZAIDI ya wananchi 2,882 mkoani Dar es Salaam, leo Jumapili tarehe 22 Agosti 2021, wamepata chanjo ya ugonjwa wa corona (UVIKO-19), katika Uwanja...

Michezo

Manny Pacquiao adundwa, ahamishia nguvu urais

Bondia mkongwe Manny Pacquiao (42) mapema alfajiri ya leo, amekutana na wakati mgumu baada ya kupoteza pambano lake la kuwania ubingwa wa dunia...

Burudika

Bilionea Grand P, Eudoxie Yao warudiana

Baada ya kutangaza kutengana wiki chache zilizopita, bilionea Moussa Sandiana Kaba almaarufu kama Grand P kutoka Guinea amerudiana tena na mpenzi wake msanii...

MichezoTangulizi

Majaliwa awaonya waamuzi mpira wa Miguu

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka waamuzi watakaochezesha mashindano ya mpira wa miguu ya jimbo la Ruangwa wawe...

Michezo

Yanga kushusha chuma kingine

  Klabu ya Yanga ipo mbioni hivi karibuni kumtambulisha mchezaji mwengine mpya atakayejiunga na timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano....

Michezo

Yanga kuanzia Zanzibar, Tamasha wiki ya Mwananchi

  Klabu ya soka ya Yanga itazindua rasmi wiki ya Mwananchi visiwani Zanzibar Agost 22, mwaka huu, kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii,...

Michezo

Kiongozi Yanga, aibukia Azam FC

  KLABU ya Soka ya Azam Fc imemtambulisha katibu Mkuu wa zamani wa klabu ya Yanga, Dk. Jonas Tiboroha kuwa mkurugenzi Mkuu wa...

Michezo

Simba yashusha kifaa kingine kutoka Senegal

  KLABU ya Soka ya Simba imefanikiwa kunasa saini ya mchezaji wa kimataifa wa Senegal Pape Ousmane Sakho (24), kuuelekea msimu mpya wa...

Michezo

Simba yamshusha mrithi wa Miquissone

  KLABU ya Simba, imefanikiwa kunyakuwa winga wa kimataifa wa Malawi, Duncan Nyoni ambaye amejiunga rasmi na kikosi hiko, kwa ajili ya msimu...

Michezo

Majaliwa ateta na Rais wa CAF

  WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu...

Michezo

Winga mpya Yanga: Mimi ni hatari kuliko Kisinda

  WINGA  mpya wa klabu ya Yanga raia wa Jamhuri ya Congo, Jesus Moloko amesema kuwa atawafurahisha mashabiki wa Yanga,  zaidi ya Tusila...

Habari za Siasa

Mnyika: Rais Samia amepotoshwa

  KATIBU Mkuu wa Chama Kikuu cha Upinzania Tanzania, John Mnyika, amedai kwamba, Rais Samia Suluhu Hassan, amepotoshwa kuhusu sheria inayoruhusu vyama vya...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: NCCR-Mageuzi wamshangaa Rais Samia

  CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi kimeshangazwa na kauli ya Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan kuhusu mashtaka...

error: Content is protected !!