Saturday , 27 April 2024

Month: October 2019

Habari za SiasaTangulizi

Makubaliano ya Barrick: Zitto, Serikali nani mkweli?

SERIKALI na kampuni ya madini ya Barrick Gold Corporation, wamefikia makubaliano ya kumaliza mgogoro wa kibiashara kwa kuunda kampuni ya pamoja ya madini. Anaripoti...

Habari za Siasa

Makonda amvimbia mteule wa JPM

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amefutilia mbali kauli ya Sofia Mjema, Mkuu wa Wilaya ya Ilala kwamba ibada zifanywe...

Habari za Siasa

Rafu uchaguzi CCM zatamalaki

RAFU katika uteuzi wa wajumbe watakaogombea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), zimetamalaki. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Akizungumza na...

Tangulizi

Hakimu amgomea wakili wa Mbowe

THOMAS Simba, Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam amegomea ombo la wakili wa Freeman Mbowe na...

Michezo

Azam FC yatambulisha kocha mpya

KLABU ya Azam FC leo imemtambulisha rasmi, Arastica Cioaba kuwa kocha mkuu wa timu hiyo aliyekuja kuchukua nafasi ya Ettien Ndailagije aliyeiongoza timu...

Habari Mchanganyiko

Umeme kukatika Dar es Salaam

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limetangaza katizo la umeme katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Ilala na Temeke, jijini Dar es Salaam....

Habari za Siasa

Kubenea aunga na familia kumsaka mwanafunzi aliyesombwa na maji

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika jimbo la Ubungo, leo Jumapili, tarehe 20 Oktoba, aliungana na mamia ya wananchi katika...

Habari Mchanganyiko

Wizi wamuibua JPM  

RAIS John Maguifuli amesema kuwa amebaini zaidi ya shilingi bilioni 1 walizodhulumiwa wananchi za mauzo ya korosho na vyama vya ushirika mkoani Mtwara....

Habari za Siasa

Kubenea aishiwa uvumilivu, kutinga kwa msajili wa vyama vya siasa

MBUNGE wa jimbo la Ubungo, Saed Kubenea amesema anatarajia kumwandika barua Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, kutokana na kuzuiliwa kufanya...

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Uongozi unahitaji uvumilivu

RAIS John Magufuli amesema, kazi ya uongozi inahitaji uvumilivu pamoja na kumtanguliza Mungu katika kila jambo. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Rais Magufuli ametoa kauli...

Habari za Siasa

Rais Magufuli afanya uteuzi, atengua

RAIS John Magufuli leo tarehe 19 Oktoba 2019 amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi mbalimbali. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea).  Kwa mujibu wa...

Habari za Siasa

Mama Samia kumwakilisha JPM uzinduzi wa mkutano wa AALCO

MAMA Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais, anatarajia kumwakilisha Rais John Magufuli kwenye uzinduzi wa mkutano wa 58 wa Shirika la Mashauriano ya...

Habari za Siasa

Jafo: Uandikishaji wapiga kura Serikali za Mitaa, wavunja rekodi

ZOEZI la uandikishaji wa daftari la wa wapiga kura wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mwaka 2019 umevunja rekodi tofauti na miaka...

Habari Mchanganyiko

Waimbaji wa muziki wa Injili wafundwa

WATUNZI wa Muziki wa Injili nchini wametakiwa kutunga nyimbo zenye ubunifu na maarifa kwa ajili ya utukufu wa Mungu badala ya kutunga nyimbo...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yatoa jipya wizi wa kompyuta za DPP

SERIKALI imekanusha madai ya Kompyuta za Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), zenye taarifa za watuhumiwa wa uhujumu uchumi, kuibiwa na watu...

Michezo

Kuiona Yanga vs Pyramids FC Sh. 10,000/=

KLABU ya Yanga leo imetangaza rasmi kiingilio kwenye mchezo wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Pyramids FC ya Misri utakaochezwa kwenye Uwanja wa...

Habari za Siasa

Kubenea awapa pole waliopatwa na maafa ya mvua

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, jana aliungana na mamia ya wananchi wa Kata za Kimara na Makuburi, kutoa pole kufuatia msiba wa mwanafunzi...

Habari Mchanganyiko

RC Mbeya sasa kuchapa viboko wasiofunga ndoa

ALBERT Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ametangaza kuwachapa bakora wanaume na wanawake wasiofunga ndoa. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Chalamila ametangaza kampeni hiyo kufuatia mijadala...

ElimuHabari za Siasa

Majina ya waliopata mikopo ya elimu ya juu 2019/20 haya hapa

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imetoa majina 30,675 ya wanafunzi watakaopata mikopo kwa mwaka 2019/20. Anaripoti Faki Sosi …...

Habari za SiasaTangulizi

‘Mbowe, Zitto, Lissu lazima watengeneze ‘kemistri’ kali 2020’

NI lazima Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Zitto Kabwe watengeneze ‘kemistri’ kali ili kumkabili Rais John Magufuli, iwapo atateuliwa na chama chake (CCM)...

Habari za Siasa

Mawakili Chadema, Jamhuri wavutana mbele ya hakimu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imepanga kesho tarehe 18 Oktoba 2019, kutoa uamuzi mdogo kwenye kesi ya uchochezi inayowahusu...

Habari za SiasaTangulizi

Usaliti Chadema watibua uchaguzi Meya

HOFU ya usaliti ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Iringa imekwaza kufanyika kwa uchaguzi wa Naibu Meya wa Halmashauri ya...

Michezo

Wambura ang’olewa Bodi ya Ligi, apewa ulaji TFF

ALIYEKUWA Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura amemaliza mkataba wake na amepewa kazi nyingine ndani ya Shirikisho la Mpira wa Miguu...

Habari za Siasa

Bunge kuanza, taarifa ya CAG kuchambuliwa

VIKAO vya Kamati 14 za Kudumu za Bunge, vinatarajia kuanza tarehe 21 Oktoba 2019 hadi Novemba Mosi mwaka huu. Anaripoti Hamisi Mguta…(endelea). Taarifa...

Habari za Siasa

Uma, puliza uandikishaji serikali za mitaa

UANDIKISHAJI wa daftari la wapiga kura kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa tarehe 24 Novemba 2019, umegubikwa na mitazamo mbalimba. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....

ElimuTangulizi

Matokeo ya darasa la Saba haya hapa

BARAZA la Mitihani nchini (NECTA), limetangaza matokeo ya darasa la saba ambapo Mikoa ya Kanda ya Ziwa imeongoza kwa kushika nafasi 10 za mwanzo. Anaripoti...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo: Tumekwama

SERIKALI imekwama kushawishi wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la wapiga kura, jambo ambalo linaleta taswira hasi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadaye...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Hatususi, haibiwi kura mtu

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameapa wagombea wake kutoibiwa kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika...

Habari za Siasa

Jaji Warioba: Muwapishe wengine madarakani

JAJI Joseph Warioba, Waziri Mkuu Mstaafu amewashauri viongozi wa umma kutokaa madarakani muda mrefu, akisema kwamba kitendo hicho hakina tija kwa masilahi ya...

Habari za Siasa

Uandikishaji: Serikali ya JPM yabebeshwa lawama

MWITIKIO hafifu wa watu kujitokeza katika uandikishaji kwa ajili ya kupiga kura, kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadaye mwaka huu, umehusishwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Wampuuza Makonda: Tujiandikishe ili iweje?

BAADHI ya wafanyabiashara wamepuuza agizo la Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam la kufungua maduka yao kuanzia saa tano asubuhi...

Habari Mchanganyiko

Tunaathirika wote –  Olengurumwa 

VIWANGO vikubwa vya kodi vimelalamikiwa katika mkutano wa Wakurugenzi wa Asasi za Kiraia (AZAKI). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Wakizungumza katika nyakati tofauti kwenye...

Habari za Siasa

‘Hii ni haki yake Lissu’

OMBI la aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chaadema), Tundu Lissu kwamba serikali imlinde, limetiliwa...

Habari za Siasa

Serikali yaongeza siku 3, uandikishaji wapiga kura

SERIKALI yaongeza siku tatu katika zoezi la uandikishaji wapiga kura kwenye Daftari la Orodha ya Wapiga Kura. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Zoezi hilo lililoanza...

Habari za Siasa

Makonda ‘ahaha’ kukwepa kitanzi cha JPM

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amewaagiza wafanyabiashara mkoani humo, kesho tarehe 14 Oktoba 2019 kuchelewa kufungua maduka, ili wakajiandikishe...

Habari Mchanganyiko

Serikali yasikia kilio cha wananchi Kimara

SERIKALI imeondoa zuio la wafanyabiashara kuendeleza maeneo yao yaliyopakana na barabara ya Kimara Mwisho hadi kwa Kichwa, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ahamia rasmi Dodoma

RAIS John Magufuli ametangaza kuhamia rasmi kwenye Ikulu ya Chamwino, jijini Dodoma. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa na Gerson Msigwa,...

Habari za Siasa

Askofu Kakobe aombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

ZACHARY Kakobe, Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) ameongoza sala ya kuombea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019...

Michezo

Eliud Kipchoge: Binadamu wa kwanza kukimbia km 42 kwa saa 2

MWANARIADHA wa Kenya, Eliud Kipchoge ameweka rekodi ya kuwa binadamu wa kwanza kumalizia mbio za Marathon (kilomita 420 ndani ya masaa mawili. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi Serikali za Mitaa: JPM aonya, Zitto amjibu

RAIS John Magufuli ameonya viongozi wa mikoa na wilaya, watakayofanya vibaya kwenye zoezi la uandikishaji wapiga kura, katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...

Habari Mchanganyiko

Tuzo EJAT zazinduliwa, makundi matatu yatemwa

BARAZA la Habari Tanzania (MCT), leo tarehe 11 Oktoba 2019 limezindua rasmi usaili wa kuwania tuzo za umahiri wa uandishi wa habari (EJAT)...

Habari za Siasa

Kabendera kukutana na DPP

ERICK Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi ndani na nje ya nchi, ameomba kukutana na Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka nchini (DPP). Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Mbele...

Habari Mchanganyiko

Upepo, mvua kubwa, mawimbi: TMA yatoa tahadhari

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imewataka wananchi kuchukua tahadhari kutokana na kuwepo kwa vipindi vifupi vya mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi...

Tangulizi

Mahakama yamsafisha Sugu, akikimbia kifungo

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mbeya, imetengua adhabu ya kifungo cha miezi sita alichohukumiwa mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...

Habari za Siasa

ZLSC yaipeleka ZEC kortini Z’bar

KITUO cha Huduma za Sheria Zanzibar (ZLSC), kimefungua kesi ya Kikatiba katika Mahakama Kuu ya Zanzibar, kupinga Sheria ya Uchaguzi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa...

Afya

Watu bilioni 1.3 wanatatizo la kuona Duniani

TAKRIBANI watu bilioni 1.3 duniani wanakadiriwa kuwa na tatizo la kuona wa namna tofauti. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Hayo yameelezwa na Daktari...

Habari za Siasa

Seth asalim amri kwa DPP

MFANYABIASHARA bilionea na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth amesalimu amri kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP). Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Seth...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aiweka serikali mtegoni

ALIYEKUWA mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu, ameapa kutorejea nchini mwake, hadi hapo serikali ya...

Habari za Siasa

Kada Chadema aagwa, paroko akemea ubaguzi

PADRI Paul Sabuni, Paroko Msaidizi wa Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Manzese, Jijini Dar es Salaam amewataka Wakristo na Watanzania kwa ujumla kutobaguana. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

JPM: Pinda ana moyo wa pekee

RAIS John Magufuli amemsifu Mizengo Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu kwamba ni miongoni mwa watu wema na wanamsaidia kuongoza nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kiongozi...

error: Content is protected !!