WATU kadhaa ikiwemo wanafunzi wanahofiwa kufunikwa na kifusi baada ya jengo moja lililoko katika maeneo ya Ita Faji kwenye mji kibiashara wa Nigeria,...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2019HALMASHAURI ya Jiji la Mwanza, imeanza ujenzi wa soko kubwa la kisasa ambalo lilikuwa kwenye mikakati ya muda mrefu ya ujenzi na sasa ...
By Moses MsetiMarch 13, 2019MKUU wa Wilaya ya Kibiti (DC), Gulamhussein Shabani Kifu amewataka wananchi wa Kijiji cha Ruaruke wilayani Kibiti pia wananci wote kwa ujumla kuitumia...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2019MOHAMED Hamis, mtuhumiwa aliyekutwa na bangi yenye uzito wa kilo 0.57 amekataliwa dhamana kutokana na kuwa ‘mzoefu’ kukamwata na makossa ya namna hiyo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2019UKATA wa fedha katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida umechochea fikra mpya kwamba, biashara ya ngono inaweza kusaidia kufukia pengo hilo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2019MBUNGE wa Hai, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko wote Chadema wamekuwa kuvutio katika ukumbi wa Pius Msekwa kwa kushangiliwa...
By Danson KaijageMarch 12, 2019MBUNGE wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amesema kuwa mpango uliowasilishwa leo na Waziri wa Fedha na Mipango kwa wabunge wote wa...
By Danson KaijageMarch 12, 2019WAZIRI Mkuu Kassm Majaliwa amewataka mawaziri wote kuhakikisha wanahudhuria katika vikao vya kamati za kudumu za bunge. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....
By Danson KaijageMarch 12, 2019SIMU iliyopigwa na Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, ‘iliwapoza’...
By Masalu ErastoMarch 12, 2019RADHIA Solomon (24), mzazi aliyejifungua watoto wanne kwa pamoja (mapacha) yupo kwenye wakati mgumu wa kukabili changamoto ya kumudu malezi ya watoto hao....
By Faki SosiMarch 12, 2019KATIKA mwaka wa fedha wa 2019/20 Serikali inakusudia kutumia bajeti ya shilingi tilioni 33,105.4 tofauti na bajeti mwaka wa fedha wa 2018/19 ambayo...
By Danson KaijageMarch 12, 2019WAKILI wa Kujitegemea Godfrey Wasonga ametangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Urais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) huku akitangaza kufanya ushawishi...
By Danson KaijageMarch 12, 2019JESHI la Polisi mkoani Kigoma limewauawa watu watatu wanaotuhumiwa kuwa majambazi huku wengine wawili wakitorokea kusikojulikana. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumzia kuhusu...
By Regina MkondeMarch 12, 2019KAMATI za Bunge la Jamhuri zitaanza kuketi leo tarehe 12 Machi 2019 kufanya kazi mbalimali ikiwa ni pamoja na kupitia matumizi ya Fedha...
By Danson KaijageMarch 12, 2019RAIS wa Rwanda, Paul Kagame (62), amemtuhumu “swahiba wake wa miaka mingi,” Rais wa Uganda, Yower Musseven, kwamba anapanga njama za kuangusha serikali...
By Yusuph KatimbaMarch 12, 2019BEKI wa klabu ya Yanga Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amefungiwa michezo mitatu baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga kiwiko mchezaji Andrew Simchimba kwenye...
By Kelvin MwaipunguMarch 11, 2019WAKATI wengine wakimtete Edward Lowassa, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 na kuamua kuhamia CCM tarehe 1 Machi 2019, Umoja...
By Danson KaijageMarch 11, 2019KAMATI ya uendeshaji Ligi Kuu Tanzania Bara (kamati ya saa 72) imezitoza faini klabu za Simba na Yanga kwa makosa ya kutumia milango...
By Kelvin MwaipunguMarch 11, 2019KUELEKEA mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi AS Vital kutoka nchini Congo, msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki wa...
By Faki SosiMarch 11, 2019KEJELI na maneno ya dhihaka yaliyovurumishwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa Edward Lowassa wakati akihamia Chadema, sasa yamebadilika. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2019CHAMA cha Wananchi (CUF) bado kinapita kwenye tanuri la moto ambapo, Maalim Seif Shariff Hamad, katibu mkuu wa chama hicho jana tarehe 11...
By Regina MkondeMarch 11, 2019KANGI Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ameliagiza Jeshi la Polisi, wakuu wa mikoa pamoja na wakuu wa wilaya kuwasweka ndani wanasiasa wataofanya...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2019KESI ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini imekwama baada ya kiongozi huyo mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo na wadhamini wake...
By Faki SosiMarch 11, 2019MIKAKATI inayofanywa na Kambi ya Profesa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF anayetambiliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini ina lengo...
By Faki SosiMarch 11, 2019NDEGE ya kampuni ya Ethiopia aina ya Boeing 737 iliyokuwa ikisafiri kutoka Adis Ababa kuelekea Nairobi imeanguka Jumapili asubuhi. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2019ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Light House Christian Center Dar es Salaam, Dk. Rejoice Ndalima amewakemea baadhi ya watu ambao wanajiita watumishi wa...
By Danson KaijageMarch 10, 2019MKUU wa mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge amewataka wafanyabiashara wa Dodoma kufanya biashara zao kwa malengo ya kujiongezea kipato kwa njia harari...
By Danson KaijageMarch 10, 2019WAKULIMA zaidi ya 70 wa kata ya Mtumba jijini Dodoma ambao maeneo ya yalipimwa na ofisi ya jiji bila kushirikishwa wanadai kitendo cha...
By Danson KaijageMarch 10, 2019HATIMAYE safari ya mwisho ya aliyekuwa Mtangazaji Mahiri wa Clouds Media Group, Ephraim Kibonde imemalizika katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2019MGOGORO ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) unachochewa na waliopo nje ya chama hicho hivyo kuwa na wakati mgumu kumalizwa. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Siku...
By Regina MkondeMarch 9, 2019VIJANA kwa wazee mkoani Arusha leo tarehe 9 Machi 2019 wamejitokeza kumpokea Edward Lowassa, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2019SAED Kubena, Mbunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam ameahidi kukarabati ofisi za walimu ili kutatua kero zao za kufanyia kazi...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2019KATIKATI ya mgogoro wa makundi mawili ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), Wakala wa Usajili, Udhamini na Ufilisi (Rita) imesajili majina manane kuunda...
By Masalu ErastoMarch 8, 2019HATUA ya Edward Lowassa, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema kurejea CCM imetajwa kwamba ni usaliti kwa waliomwamini na kumpigia kura kwenye Uchaguzi Mkuu...
By Regina MkondeMarch 8, 2019WAFANYABISHARA wa soko kuu la Majengo jijini hapa wameonywa kutowachagua viongozi wenye kuhamasisha migogoro ndani ya soko. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....
By Danson KaijageMarch 8, 2019NAWAKARIBISHA katika safu hii ya Jamvi la Babu Jongo. Babu yenu niko salama na pia namshukuru Muumba kwa kunijaalia afya na uwezo wa...
By Yusuf AboudMarch 8, 2019SERIKALI imekiagiza Chama Kikuu Cha Ushirika (Nyanza) mkoani Mwanza kuhakikisha kinaorodhesha na kuzitambua mali zote za chama hicho zilizokuwa zimetaifishwa kinyemera. Anaripoti Moses Mseti,...
By Moses MsetiMarch 8, 2019JESHI la Polisi limezuia vyama vya ACT-Wazalendo na Chadema kufanya maazimisho ya siku ya wanawake katika mikoa ya Katavi na Geita. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeMarch 8, 2019WAKATI maandalizi ya kuupumzisha mwili wa aliyekuwa mtagazaji wa Redio ya Clouds,Ephraim Kibonde baada ya kufariki dunia jana asubuhi tarehe 7 Machi 2019...
By Bupe MwakitelekoMarch 8, 2019IKIWA leo tarehe 8 Machi 2018 Tanzania na dunia nzima inaadhimisha siku ya wanawake duniani, serikali imeendelea kusisitizwa kuboresha sera na sheria zinazohusu...
By Regina MkondeMarch 8, 2019KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa ameingia kigugumizi kuzungumzia ukimya uliomshtua Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi wetu …...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2019MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam, imewarejesha uraiani wabunge wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (Hai) na Esther...
By Faki SosiMarch 7, 2019MAZISHI ya aliyekiwa mtangazaji wa Kituo cha Redio Clouds, Ephrahim Kibonde atazikwa Jumamosi wiki hii. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Mwili wa Kibonde...
By Bupe MwakitelekoMarch 7, 2019KUREJEA kwa Hamis Mgeja katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) akitokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana tarehe 6 Machi 2019, hakukuwashtua wengi. Anaripoti...
By Regina MkondeMarch 7, 2019KANISA Katoliki Tanzania limetoa waraka uliobeba ujumbe wa Kwaresima, huku likiangazia changamoto zinazokabili familia na visababishi vya changamoto hizo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Waraka huo...
By Bupe MwakitelekoMarch 7, 2019SAFARI ya mwisho ya Ephrahim Kibonde, mtangazaji na Mahiri wa Clouds FM aliyekuwa akitangaza kipindi cha Jahazi, ilishika kasi siku ya mazishi ya...
By Bupe MwakitelekoMarch 7, 2019SIKU tatu baada ya kufariki Ruge Mutahana, aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group (CMG), Ruge Mutahaba, leo tarehe 7...
By Bupe MwakitelekoMarch 7, 2019PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, ameanza kumtumia Edward Lowassa...
By Regina MkondeMarch 6, 2019MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, inatarajia kutoa hukumu ya uamuzi wa rufaa ya mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Demokrasia na...
By Faki SosiMarch 6, 2019ALIYEKUWA kada wa miaka mingi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamis Mgeja, ambaye miaka miwili iliyopita, alikihama chama hicho na kutimkia Chama cha...
By Kelvin MwaipunguMarch 6, 2019