Categorizing posts based on type of post
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekataa kupokea kielelezo cha Tape iliyofikishwa mahakamani hapo na shahidi wa sita wa Jamhuri, Inspekta...
By Faki SosiMarch 9, 2022MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Iringa (RC), Queen...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2022MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umempa tuzo ya maisha ya mtetezi wa haki zabinadamu, Mkurugenzi Mstaafu wa Kituo cha...
By Gabriel MushiMarch 9, 2022MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe ametumia takribani dakika 76, kulihutubia Taifa ikiwa ni siku nne baada ya kutoka mahabusu ya Gereza la Ukonga,...
By Gabriel MushiMarch 8, 2022KAMANDA wa jeshi la ardhini nchini Uganda (UPDF), Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ametangaza kustaafu katika jeshi hilo baada ya kuhudumu kwa miaka 28....
By Gabriel MushiMarch 8, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amedai chanzo cha yeye kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi, ni hotuba yake ya uchambuzi...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2022RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema anakwenda kufanya mabadiliko ya Wizara ya Afya kwa kuitenganisha...
By Gabriel MushiMarch 8, 2022Rais Samia Suluhu Hassan amesema hakuna mtu atakayeulizwa dini yake wakati wa sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika Agosti mwaka huu. Anaripoti...
By Gabriel MushiMarch 8, 2022ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, KKKT, Dk. Benson Bagonza, amesema juhudi zinahitajika ili kuijenga Tanzania mpya...
By Gabriel MushiMarch 8, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametahadharisha uwepo wa mfumuko mkubwa wa bei nchini unaosababishwa na kupanda kwa bei...
By Gabriel MushiMarch 8, 2022ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, KKKT, Dk. Benson Bagonza, amesema miaka kumi iliyopita alipingwa na baadhi...
By Gabriel MushiMarch 8, 2022ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe, ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Benson Bagonza, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitakufa...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2022BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limesema litafanya ziara katika kanda za nchi, kwa ajili ya kuhamasisha ufufuaji...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2022BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limewataka wanawake kujenga familia zinazozingatia misingi ya usawa wa kijinsia. Anaripoti Regina...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2022LICHA ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kusota kwenye kuta za gereza la Ukonga kwa siku 226, ametoka...
By Gabriel MushiMarch 7, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mazungumzo na wapinzani haiwezi kumaliza changamoto zinazoikabili nchi kwenye demokrasia, kwani huenda...
By Gabriel MushiMarch 7, 2022KITI cha umeya wa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kinachokaliwa na Juma Raibu kinazidi kufukuta moto, baada ya kamati ya siasa ya...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake haitakubali mtoto wa Kitanzania akose fursa ya elimu kwa sababu ya kuwa na...
By Regina MkondeMarch 7, 2022NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu amemtaka Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, asiwe na hofu kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025,...
By Gabriel MushiMarch 7, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeshauri mifumo ya utawala na utoaji haki jinai nchini iboreshwe, ili kukomesha changamoto ya watu kubambikiwa kesi za kisiasa. Anaripoti...
By Gabriel MushiMarch 7, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia, Freeman Mbowe amesema licha ya kuwa ugaidi ni kosa linaloweza kumfungisha mtu maisha lakini alimuomba Mungu...
By Gabriel MushiMarch 6, 2022KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe amesema, kilichomfanya akafutiwa mashtaka ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili ni “nguvu ya...
By Gabriel MushiMarch 6, 2022SERIKALI ya Urusi imetengeneza njia salama ya kuwawezesha wanafunzi raia wa Tanzania wanaosoma katika Chuo Kikuu cha Sumy kilichopo nchini Ukraine kuvuka na...
By Gabriel MushiMarch 6, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imetenga Shilingi trilioni moja katika mpango mahususi wa kuwezesha mabenki kukopesha kwa riba ndogo isiyozidi asilimia 10....
By Mwandishi WetuMarch 5, 2022MKUU wa Majeshi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo amewasamehe vijana 853 wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliofukuzwa makambini April 12, 2021 kutokana...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo cha Chadema, Freeman Mbowe. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2022WANAWAKE wa ACT Tanzania waadhimisha siku ya wanawake Duniani kwa kuwatembelea wazazi katika Kituo cha Afya cha Palestina Sinza jijini Dar es...
By Masalu ErastoMarch 4, 2022ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Moravian Uamsho Tanzania na Afrika Mashariki, Emmaus Mwamakula, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aruhusu mchakato wa upatikanaji...
By Regina MkondeMarch 4, 2022MIAKA ya nyuma tukiwa watoto, shuleni tukijifunza Fizikia, walimu wetu walituelewesha nini maana ya chanya na hasi katika somo hilo na umuhimu...
By Mwandishi MaalumMarch 4, 2022SHANGWE zimeibuka katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, baada ya mahakama hiyo kufuta...
By Regina MkondeMarch 4, 2022KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Aikaeli Mbowe leo Ijumaa, tarehe 4 Machi 2022 amehitimisha siku 226...
By Masalu ErastoMarch 4, 2022MKURUGENZI wa Mashtaka (DPP) leo Ijumaa tarehe 4 Machi 2022, amewasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi inayomkabili Mwenyekiti...
By Regina MkondeMarch 4, 2022KAMPENI ya NMB MastaBata inayoelekea ukingoni imebakiwa na zawadi ya Sh.100 milioni baada ya Sh.140 milioni kati ya Sh.240 milioni kunyakuliwa na washindi...
By Gabriel MushiMarch 3, 2022KUMEKUWEPO na kurushiana maneno baina ya Urusi na nchi za Magharibi huku kukiwepo matamshi yanayoashiria kutokea vita vya tatu ya dunia sambamba na...
By Gabriel MushiMarch 3, 2022WATU kutoka vyama vya siasa vya upinzani, wameshauriwa wajiunge na Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, ili waongeze nguvu katika ulinzi...
By Regina MkondeMarch 3, 2022TAASISI ya Kumbukumu ya Mwalimu Julius Nyerere, imeiomba Serikali, wadau na wananchi, watoe mchango wao wa hali na mali, kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2022MWANAUME kutoka Jamhiri ya Kidemokrasia ya Congo ameingia kwenye rekodi ya mfalme Solomoni baada ya kufunga pingu za maisha na mapacha watatu wa...
By Gabriel MushiMarch 3, 2022VIONGOZI wa dini nchini Tanzania, wamemwomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan kutumia mamlaka aliyonayo kumaliza kesi ya ugaidi inayomkabili, kiongozi...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022ALIYEKUWA mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam impe muda...
By Regina MkondeMarch 2, 2022NI unyama ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya mtoto Ian Macha mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi nane kudaiwa kutendewa ukatili wa kingono,...
By Gabriel MushiMarch 2, 2022BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa waraka wa Kwaresima wa mwaka 2022 ambao kwa sehemu kubwa umejikita kuzungumzia umuhimu wa upatanisho....
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MAWAZIRI wa Serikali ya Tanzania wanaelezea ziara zilizofanywa na kiongozi mkuu wa Taifa hilo, Rais Samia Suluhu Hassan. Hivi karibuni, Rais Samia...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam nchini Tanzania leo Jumatano tarehe 2 Machi 2022, itasikiliza maombi ya kufungua kesi...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022“NINGEKUWA na uwezo ningehama Urusi sasa hivi. Ningefanya hivyo. Lakini siwezi kuacha kazi yangu,” anasema Andrey. Hataweza kumudu mpango wa kununua nyumba...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi anaamini watu wanaohoji na kupinga miradi inayoanza kutekelezwa hapa Zanzibar ni wapinzani wake. Anaripoti Jabir...
By Jabir IdrissaMarch 1, 2022MWANAHARAKATI wa kisiasa nchini Tanzania, Godlisten Malisa amezungumzia jinsi aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambavyo hakupaswa...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Maridhiano day yatakayofanyika...
By Danson KaijageMarch 1, 2022TAKRIBAN wanajeshi 70 wameuawa katika shambulio la mizinga lililofanywa na wanajeshi wa Urusi katik miji muhimu ya Ukraine. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022BABA mzazi wa mfanyabiashara maarufu na mfadhiri wa klabu ya Yanga, Ghalib Said Mohammed (GSM), mzee Said Mohamed amefariki Dunia leo Jumanne tarehe...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbrod Slaa amesema, anamwombea kwa Mwenyezi Mungu, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ili haki iweze...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2022