Saturday , 27 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Rais Dk. Mwinyi kuanzisha Wizara mpya, kumweka mwanamke
Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Rais Dk. Mwinyi kuanzisha Wizara mpya, kumweka mwanamke

Spread the love

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema anakwenda kufanya mabadiliko ya Wizara ya Afya kwa kuitenganisha na Maendeleo ya Jamii. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)

Rais Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 8 Machi 2022 wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo kitaifa yamefanyika Unguja visiwani Zanzibar.

Rais Mwinyi alibainisha hayo kufuatia ombi la Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi Maalum, Dk. Doroth Gwajima la kutaka “pacha” mwenye jinsia yake.

“Nataka nimwambie kwamba hilo tayari limeshakaa vizuri. Mh. Mazrui (Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Nassor Ahmed Mazrui) amesema hakuwezi kwa sababu unazungumza sana, lakini na yeye kazungumza sana vilevile, kwa maneno tu mnawezana lakini leo nataka nimwambie yeye atabaki tu Wizara ya Afya lakini Maendeleo ya Jamii amwachie mtu mwingine,” alisema Dk. Mwinyi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

ACT: Waongoza watalii wapate maslahi yao inavyostahili

Spread the loveCHAMA cha ACT-Wazalendo kimeitaka serikali kuhakikisha inasimamia maslahi stahiki ya...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba ajitosa kuviunganisha vyama vya siasa Burundi

Spread the love  MWENYEKITI wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Prof. Ibrahim...

Habari Mchanganyiko

Wakili: Ukimpa zawadi mwenza marufuku kumpora hata mkiachana

Spread the love  WANANDOA na watu waliko kwenye mahusiano ya kimapenzi, wamekumbushwa...

Habari za Siasa

Prof. Muhongo akomalia matumizi nishati jadidifu kuondoa uhaba wa umeme

Spread the love  MBUNGE wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo, ameendelea...

error: Content is protected !!