Categorizing posts based on type of post
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakuna mtu anayeweza kuiendesha taasisi ya urais “kwa rimoti” na kwamba watu wanaofikiria hivyo “ni kuwa na...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2022CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimesema hakitashiriki kongamano la amani lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kikidai hakioni...
By Regina MkondeMarch 18, 2022KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe amesema, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro hapaswi kuwa...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2022KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanania cha Chadema, Freeman Mbowe anatoa maazimio ya kikoa cha kamati kuu ya chama hicho...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2022KATIBU Mkuu wa Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo anazungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa, tarehe 18...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2022CHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) nchini Tanzania kimesema, Rais Samia Suluhu Hassan katika mambo aliyofanikiwa kuyafanya ndani ya kipindi cha...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2022MAELFU ya Watu Wamenyanyaswa , kutishwa na kufunguliwa mashitaka kwa kuwa na maoni muhimu kuhusu Serikali ya Rwanda , Humani Raght Watch [HRW]...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2022Rais Samia Suluhu Hassan amesema ataizindua mwenyewe miradi yote inayotekelezwa Wilayani Chato mkoani Geita kama ambavyo angefanya mtangulizi wake Hayati Dk. John Magufuli....
By Kelvin MwaipunguMarch 17, 2022NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu ameishukuru Benki ya NMB kwa kuwakumbuka wamachinga na kuwasaidia kukua. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Zungu...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2022WAKATI mtandao maarufu duniani wa Forbes ukimuorodhesha Mhandisi na Mjasiriamali Elon Reeve Musk kuwa na tajiri namba moja duniani kwa kuwa na...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2022WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anadaiwa kuwakimbia viongozi wa kimila wa Kimasai wanaoishi wilayani Ngorongoro na badala yake kufanya kazi na wenzao wa...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2022KATIKA kuelekea kutimiza mwaka mmoja wa uongozi wake, toka alipoingia madarakani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameonekana...
By Kelvin MwaipunguMarch 16, 2022ALIYEKUWA mtia nia katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya urais mwaka 2020 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Mayrose Majinge ameanzisha...
By Gabriel MushiMarch 16, 2022MAUAJI ya raia mmoja yaliyofanywa na askari wa jeshi la polisi nchini, pamoja na kujeruhiwa kwa raia wawili, katika uwanja wa michezo...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2022WAKATI Rais Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kutimiza mwaka mmoja madarakani tangu alipoapishwa rasmi tarehe 19 Machi, 2021, sekta ya sanaa na burudani...
By Gabriel MushiMarch 16, 2022KLABU ya soka ya Yanga, imemualika Rais wa Jamhuri ya Muungano Samia Suluhu Hassan, kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...
By Kelvin MwaipunguMarch 16, 2022MJADALA wa nini kianze kupatikana kati ya Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi, umeendelea kutikisa vyama vya Chadema na ACT-Wazalendo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2022KITUO cha Demokrasia Tanzania (TCD), kimemuita Mwenyekiti wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2022WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, pamoja na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, zimeeleza mafanikio...
By Masalu ErastoMarch 16, 2022MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amewataka watu wanaodai kuna majina ya kughushi katika orodha ya wananchi waliokubali kuhama kwenye Hifadhi...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2022KATIKA uteuzi wa vigogo mbalimbali wa Serikali ambao umefanywa na Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 14 Machi, 2022, jina la Humprey Polepole...
By Gabriel MushiMarch 15, 2022AWAMU ya Pili ya ‘shusha Tanga pandisha tanga’ ya Chama cha ACT-Wazalendo imetajwa kuwa na kishindo baada ya viongozi waandamizi kutoka chama...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2022WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema katika kipindi cha mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan madarakani amefanya mambo...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemkabidhi majukumu matatu, Mkuu mpya wa Mkoa wa Njombe, Waziri Kindamba. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2022BALOZI mpya wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole kabla ya kwenda kuanza majukumu yake mapya atakutana na mambo mawili muhimu ikiwemo kuteta...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi na Waziri Kindamba kuwa Mkuu wa Mkoa...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2022KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu nchini Tanzania, imeonesha wasiwasi wa kukamilika kwa wakati na kwa viwango vya ujenzi wa Reli...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2022HAKUNA shaka kuwa Rais wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan, anaweza kulifanyika mabadiliko mengine baraza lake la mawaziri, muda wowote kutoka sasa. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2022RAIS Samia leo tarehe 14 Machi 2022 ameteua viongozi mbalimbali wa Serikali huku akimwondoa Humphrey Polepole bungeni na kumpeleka kuwa balozi wa Tanzania...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2022SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amewataka wanawake wafanye maandalizi ya kugombea nafasi za uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika...
By Gabriel MushiMarch 14, 2022WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema maandalizi ya muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, yako...
By Regina MkondeMarch 14, 2022BASI la Kampuni ya Kilimanjaro linalofanya safari kutoka Tunduma kwenda Dar es Salaam asubuhi ya leo Jumatatu tarehe 14 Machi 2022, limepata...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2022BAO la dakika 42, lililowekwa kamabi na Pape Ousamne Sakho dhidi ya RS Berkane, lilitosha kuifanya klabu ya Simba kuwa kileleni kwenye...
By Kelvin MwaipunguMarch 13, 2022WANASIASA wawili vijana na maarufu nchini, Godbless Lema na Zitto Kabwe wameingia kwenye vita nnzito ya maneno baada ya kila mmoja kuanza ‘kufukua...
By Gabriel MushiMarch 13, 2022KIONGOZI wa Orange Democratic Movement (ODM), Raila Odinga amepata ridhaa kuipeperusha bendera ya muungano wa Azimio la Umoja katika uchaguzi mkuu wa Kenya...
By Gabriel MushiMarch 13, 2022GABRIEL Boric mwenye umri wa miaka 36 ameapishwa jana tarehe 12 Machi, 2022 kuwa Rais mpya wa Chile na kuweka rekodi ya kuwa...
By Gabriel MushiMarch 13, 2022KAMISHNA Msaidizi wa Zimamoto- Kinondoni (ACF) Christina Sunga amesema hakuna majeruhi wala madhara kwa binadamu katika ajali ya moto iliyotokea kwenye kiwanda cha...
By Gabriel MushiMarch 13, 2022Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Katiba na Sheria, kuandaa kanuni zitakazoelekeza jinsi vyama vya siasa vitakavyofanya mikutano ya hadhara. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiMarch 12, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalumu, kwa ajili ya kufanya marekebisho katiba yake ya 1977, iliyorejewa mwaka 2020, kwa lengo...
By Gabriel MushiMarch 12, 2022NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, Mkoa wa Dar es Salaam, kesho Jumapili, tarehe 13 Machi 2022, kinatarajia kufanya uchaguzi wa kujaza...
By Gabriel MushiMarch 12, 2022WAKATI mwaka mmoja wa kukamilisha bajeti yake, ukifikia ukingoni, Serikali ya awamu ya sita imelenga kuongeza zaidi ukuaji uchumi kwa mwaka wa...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2022SERIKALI ya Tanzania, imeokoa kiasi cha Sh. 236.6 bilioni katika kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wa Serikali ya Rais Samia Suluhu...
By Regina MkondeMarch 11, 2022UCHUMI wa Tanzania umeongezeka kwa asilimia 0.1 kwa kipindi cha mwaka mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu Dodoma … (endelea). Uchumi wa Tanzania umeongezeka kwa...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2022CHAMA cha NCCR-Mageuzi, kimetengua azimio lake la kutoshiriki mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) na Rais Samia Suluhu Hassan, baada ya...
By Regina MkondeMarch 11, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amepokea orodha ya majina ya awali ya kaya 86 zenye watu 453 ambao wamekubali kuondoka kwenye hifadhi...
By Gabriel MushiMarch 10, 2022ALIYEKUWA mtia ya kugombea Urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Maryrose Majinge amewataka Watanzania...
By Gabriel MushiMarch 10, 2022NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, imetoa mapendekezo sita yatakayowezesha upatikanaji wa tume huru ya uchaguzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Bara, Tundu Lissu, amesema chama hicho hakiko tayari kujiunga na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK),...
By Regina MkondeMarch 10, 2022CHAMA cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitapeleka barua nyingine kwenda kwenye uongozi wa Bunge, kulitaarifu msimamo wake wa kufukuza uanachama wabunge...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Bara, Tundu Lissu, amesema mchakato wa upatikanaji katiba mpya ni mgumu, kwani unachukua muda mrefu na...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2022