Thursday , 2 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Polepole, Kindamba waapishwa Ikulu
Habari za SiasaTangulizi

Polepole, Kindamba waapishwa Ikulu

Humphrey Polepole, Balozi wa Tanzania nchini Malawi
Spread the love

 

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi na Waziri Kindamba kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Wawili hao wameapishwa leo Jumanne, tarehe 15 Machi 2022, Ikulu ya jijini Dodoma.

Polepole aliyekuwa Mbunge wa Kuteuliwa na Rais na Kindamba akiwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wameteuliwa jana Jumatatu.

Waziri Kindamba, Mkuu wa Mkoa wa Njombe

Kindaba anakwenda kuchukua nafasi ya Mhandisi Marwa Rubirya aliyestaafu.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde ataja malengo “Vision 2030”

Spread the loveWAZIRI wa Madini amesema dhana ya “Vision 2030” inakusudia kuiendeleza...

Habari za Siasa

Mavunde aomba bilioni 231.9 bajeti wizara ya madini

Spread the loveWAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde leo Jumanne amewasilisha hotuba ya...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amjibu Fatma Karume kuhusu Rais Samia

Spread the love  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa: Watanzania iungeni mkono Chadema uchaguzi 2025

Spread the loveMWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, amewataka watanzania wakiunge...

error: Content is protected !!