Spread the love

 

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo cha Chadema, Freeman Mbowe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Wawili hao wamekutana Ikulu jijini Dar es Salaam usiku wa Ijumaa tarehe 4 Mei 2022 ikiwa ni muda mchache tangu Mbowe achiwe huru kutoka gereza la Ukonga.

Soma taarifa ya Zuhura Yunus, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu kuhusu kile walichozungumza viongozi hao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *