Categorizing posts based on type of post
MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania uliofanyika Jumatano iliyopita tarehe 28 Oktoba 2020 yanaonyesha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejikusanyia viti vingi vya udiwani...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewashauri wagombea wasioridhika na matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020 kufuata taratibu za kisheria....
By Regina MkondeOctober 30, 2020TUME ya Uchaguz Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dk. Hussein Ali Mwinyi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Rais mteule wa visiwa hivyo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2020GODBLESS Lema wa Chadema, ametangazwa kushindwa ubunge wa Arusha Mjini kwa kupata kura 46,489. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Lema ameshindwa na Mrisho Gambo wa...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kimeendelea kutangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge na Urais uliofanyika jana Jumatano tarehe...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2020ZITTO Zuberi Kabwe wa ACT-Wazalendo, ametangazwa kushindwa Ubunge Kigoma Mjini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kigoma … (endelea). Msimamizi wa uchaguzi, amemtangaza Kirumbe Ng’enda wa...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2020TUNDU Antiphas Mughwai Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema amesema, hakubaliani na chochote kinachoendelea kuhusu Uchaguzi Mkuu uliofanyika jana Jumatano tarehe 28...
By Regina MkondeOctober 29, 2020MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe anaongoza orodha ya wabunge wa chama hicho kushindwa kutetea ubunge wao katika majimbo...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2020ZITTO Kabwe, mgombea ubunge Kigoma Mjini kupitia ACT-Wazalendo amesema ‘tumedhibiti wizi.’ Anaripoti Yusuph Katimba, Kigoma … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari Jumatano...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2020KAMANDA wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amezungumzia baadhi ya watu kuonekana wakiwa na mabegi mgongoni katika...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC), imesema haijapokea taarifa rasmi ya kukamatwa kwa masanduku ya kura yenye kura za kughushi ‘feki’. Anaripoti...
By Regina MkondeOctober 28, 2020MGOMBEA Ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufuta uchaguzi katika jimbo hilo kwa madai ya...
By Kelvin MwaipunguOctober 28, 2020WAGOMBEA wa vyama vya upinzani katika Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania unaofanyika leo Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 wamelalamikia dosari zinazojitokeza kwenye uchaguzi huo....
By Mwandishi WetuOctober 28, 2020WAKUU wa Mikoa (RC) na Wilaya (DC) nchini Tanzania, ni miongoni mwa watendaji wa Serikali ambao hawatakiwi kuingia katika vituo vya kupiga, kuhesabu...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2020MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli akiambatana na Mke wake, Mama Janeth Magufuli wamepiga kura katika Kituo...
By Regina MkondeOctober 28, 2020JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni asubuhi ya leo Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 walimkata Mgombea Ubunge wa Kawe, Halima Mdee wa...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2020WATANZANIA milioni 29.8 waliojiandikisha katika daftari la kudumumla wapiga kura wanaendelea na shughuli ya upigaji kura kuwachagua madiwani, wabunge na Rais kwenye Uchaguzi...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2020JESHI la Polisi Zanzibar, limemwachia kwa dhamana, mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2020MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewaomba wanachama wa chama hicho, kuwalinda mawalaka wao ili kutimiza...
By Regina MkondeOctober 27, 2020MGOMBEA mwenza wa urais kupitia Chadema, Salum Mwalimu amewaomba Watanzania kufanya uamuzi juu ya maisha yao katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika kesho tarehe 28...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimewaomba wanachama wake kuwasindikiza mawakala wa chama hicho katika vituo vya kupigia kura. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2020KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda amesema, Watanzania wanapaswa kuamua kati ya Tundu Lissu wa Chadema na...
By Regina MkondeOctober 27, 2020LEO Jumanne tarehe 27 Oktoba 2020 kura za mapema kwa watumishi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na watumishi wanaosimamia uchaguzi huo, zinaendelea...
By Regina MkondeOctober 27, 2020INSPEKTA Jenarali wa Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro amewaomba wadau wa uchaguzi nchini humo kutimiza wajibu wao kikamilifu ili Uchaguzi Mkuu utakaofanyika kesho...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2020MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad inadaiwa amekamatwa na Jeshi la Polisi katika Kituo cha kupigia kura cha Garagara...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2020MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, atapiga kura siku ya kwanza kesho Jumanne tarehe 27 Oktoba badala ya...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2020MGOMBEA Ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema anatarajia kushinda uchaguzi wa jimbo hilo kwa wastani wa asilimia 52.8 hadi 58.2. Anaripoti...
By Regina MkondeOctober 26, 2020MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli amewahoji wananchi wanaotaka akae madarakani muhula mmoja tofauti na walivyokaa marais waliopita....
By Mwandishi WetuOctober 26, 2020MGOMBEA Ubunge Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea ameiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), akiiomba imwondoe Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kinondoni,...
By Regina MkondeOctober 26, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC), amewataka wananchi kubaki maeneo waliyojiandikisha kupiga kura, ili wapate nafasi ya kushiriki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2020SAED Kubenea, Mgombea Ubunge wa Kinondoni amesema, Serikali ya Chama Cha Mapimduzi (CCM), imefanya mzaha kwenye maisha ya watu kwa kuacha kujenga miondombinu...
By Faki SosiOctober 26, 2020KAMATI ya Maadili ya Kitaifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetengua uamuzi wa kamati ya maadili Jimbo la Kinondoni...
By Kelvin MwaipunguOctober 24, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema amesema, wamefanya utafiti wa kuangalia mwitikio wa wananchi kwenye mikutano yao, upigaji kura na kubaini...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imebaini kuwepo kwa kundi la watu wakiwemo baadhi ya viongozi wa juu wa vyama vya...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2020MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali ya CCM imepanga kujenga barabara ya kutoka Ruangwa...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2020JESHI la Polisi Mkoa wa Lindi nchini Tanzania, limeutawanya kwa mabomu ya machozi, mkutano wa Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2020MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chadema, Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wa dini zote kufanya maombi ya kitaifa Jumatatu ya tarehe 26...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2020RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema, anaondoka madarakani huku akifanikiwa kuacha visiwa hivyo (Unguja na Pemba) vikiwa na...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2020TAREHE 22 Oktoba 1943, ndio siku aliyozaliwa Maalim Seif Sharif Hamad, mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pemba...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema palipo na mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo, wafuasi wa Chadema wamchague....
By Mwandishi WetuOctober 22, 2020MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, ameeleza namna Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe alivyomtesa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro …...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2020MGOMBEA urais Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, ili akubali kushindwa katika uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 27 na 28...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2020WAGOMBEA ubunge wawili wa Mkoa wa Mtwara waliotoka vyama vya upinzani na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameeleza machungu waliyokuwa wakikumbana nayo wakati...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2020KIWANDA cha kutengeneza bidhaa za ngozi, kilichoanzishwa na Mwalimu Julius Kambarahe Nyerere mwaka 1978 na kisha kuzorota, kimefufuliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro …...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2020INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amesema, magaidi zaidi ya 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya Mkoa wa Mtwara...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2020SERIKALI ya Tanzania, amewaonya viongozi wote wa dini na jumuiya za kijamii kuepuka kutoa matamko ya kisiasa yenye lengo la kuhamisha na kuelekeza...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imeongeza siku mbili zaidi za kuapisha mawakala wa vyama vya siasa watakaosimamia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2020ZITTO Zuberi Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameendelea kuwaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi tarehe 28 Oktoba 2020 kumpigia kura Tundu Lissu, mgombea...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2020KAMATI ya Maadili Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam imemfungia mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea, kufanya kampeni kwa...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2020MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema, Serikali inataka kuanza ujenzi wa reli...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2020