Sunday , 19 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

Dk. Kigwangalla aomba radhi ‘mimi ni binadamu dhaifu’

MBUNGE wa Nzega Vijijini (CCM), Dk. Hamis Kigwangalla amewaomba radhi watumishi na wananchi aliowakosea enzi akiwa waziri wa Serikali ya Tanzania. Anaripoti Brightness...

Habari za Siasa

Magufuli aonya wanaovujisha siri za Serikali, kujipiga ‘selfie’

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amewaagiza wateule wake kutotumia mitandao ya kijamii katika utekelezaji wa majukumu yao, ili kudhibiti uvujaji wa siri...

Habari za Siasa

Magufuli akataa kunyonga 256, wafungwe maisha

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amewapunguzia adhabu wafungwa 256  waliohukumiwa kunyongwa na kuagiza wapewe kifungo cha maisha gerezani. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za Siasa

Magufuli kumng’oa naibu waziri aliyeshindwa kuapa

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amesema atafanya uteuzi mpya wa Naibu Waziri wa Madini baada ya aliyemteua, Francis Ndulane kushindwa kuapa. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli aapisha timu yake ya mawaziri 

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewaapisha mawaziri na manaibu waziri aliowateua tarehe 5 Desemba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Uapisho...

AndroidHabari za Siasa

Bwege anena mazito baada ya kushindwa ubunge

ALIYEKUWA Mbunge wa Kilwa Kusini kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Selemani Bungara maarufu ‘Bwege’ ametoa msimamo wake wa kisiasa mara baada ya kushindwa...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai awapiga ‘stop’ Chadema ‘nendeni NEC au mahakamani’              

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwenda Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) au mahakamani,...

Habari za Siasa

Fuatana na Maalim kutoka Ikulu ya Zanzibar

MAALIM Seif Sharif Hamad, ameapishwa kuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Kuapishwa kwake, kumetokana na matakwa ya Katiba ya Zanzibar ya...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi aonyesha njia ya maridhiano Zanzibar

RAIS wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUKI), Visiwani Zanzibar, Dk. Hussein Alli Mwinyi, amewaomba wananchi visiwani humo, kuweka kando tofauti zao za...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif akubali yaishe, akumbusha machungu ya uchaguzi 

HATIMAYE Maalim Seif Hamad, mwenyekiti wa Chama cha ACT- Wazalendo, amekubali yaishe. Ameapishwa kuwa Makamo wa Rais wa Kwanza, katika serikali ya Umoja...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif kurejea tena Ikulu leo

RAIS wa Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi leo Jumanne tarehe 8 Desemba 2020, atamwapisha Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais...

Habari za Siasa

Majaliwa afuta likizo za watendaji Krismas, mwaka mpya kisa… 

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewaagiza Makatibu Tawala wa Mikoa (RAS) yote nchini humo wahakikishe watendaji wote wa Mikoa, Wilaya, Halmashauri wasiende...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi ateua tena vigogo ACT-Wazalendo

RAIS wa Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi, amefanya uteuzi wa wanachama wawili wa ACT-Wazalendo kuwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Mwinyi amteua Maalim Seif makamu wa kwanza wa Rais

RAIS wa Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi amemteua Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Anaripoti...

Habari za Siasa

Majaliwa: Hospitali ya Uhuru kutoa huduma Desemba 20

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekagua umaliziaji wa ujenzi wa Hospitali ya Uhuru unaoendelea katika wilaya ya Chamwino jijini Dodoma na kuagiza...

Habari za Siasa

ACT- Wazalendo yagawanyika

UAMUZI wa Kamati Kuu (CC) ya chama cha ACT- Wazalendo, kujiunga kwenye serikali ya Umoja wa Kitaifa Visiwani (SUKI), umeanza kupingwa kila kona....

Habari za Siasa

Bosi sekretarieti ya maadili afariki, JPM amlilia

ALIYEKUWA Kamishana wa Sekretarieti ya Maandili ya Viongozi wa Umma nchini Tanzania, Jaji mstaafu Harold Nsekela amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa za...

Habari za Siasa

Umakamu wa Rais: Je, ni Maalim Seif?

BARAZA la Uongozi la Chama cha ACT-Wazalendo, tayari limependekeza jina la Makamu wa Kwanza wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK), lakini...

Habari za Siasa

‘Z’bar imerejea ‘gizani’ ’

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeeleza, uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020, umerejesha visiwa hiyo ‘gizani’. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Akieleaza maazimio ya...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo wakubali kuingia Ikulu Z’bar

CHAMA cha ACT – Wazalendo, kimekubali kuungana na Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), visiwani Zanzibar. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mawaziri wapya 21, waliotemwa hawa hapa

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa mawaziri 21, Naibu Mawaziri 23 na wabunge wawili aliowateua kisha kuwapangia wizara za kuhudumu....

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo wajifungia kujadili ushirikiano na Rais Mwinyi

HATIMA ya Chama cha ACT-Wazalendo kushiriki katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK), baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020,...

Habari za Siasa

Majaliwa awapa neno wasio na ajira

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewashauri wananchi wasiokuwa na ajira kujikita katika masuala ya kilimo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Safari awasulubu Mdee, Spika Ndugai

PROFESA Abdallah Safari, Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, Halima Mdee, aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la...

Habari za Siasa

Z’bar na taswira ya kifo cha Mzee Bindu

MZEE Ameir Ameir bin Soud, Mzanzibari kindakindaki, mjuzi mkubwa wa historia ya Zanzibar inayohusisha nyanja ya siasa, utamaduni, kilimo na ustawi wa jamii...

Tangulizi

Utafiti rushwa ya ngono: Watumishi 68.6% wakiri

UTAFITI  wa rushwa ya ngono katika taasisi za elimu ya juu uliohusisha vyuo vikuu viwili vya  Dar es Salaam na Dodoma, umewasilishwa leo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Magazeti ya Mtanzania, Dimba, Rai yafungwa

KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD nchini Tanzania inayozalisha magazeti ya Dimba, Rai, Mtanzania na Bingwa imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kuanzia...

Habari za Siasa

Chadema yazungumzia rufaa ya Mdee na wenzake 18

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania kimesema, Halima Mdee na wenzake 18 bado hawajawasilisha rufaa zao za kupinga kufukuzwa uanachama wa...

Habari za Siasa

Mdee, Bulaya wapata pigo jingine 

HALIMA James Mdee, aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),” amepata pigo jingine. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam  … (endelea)....

Habari za Siasa

Maadhimisho Uhuru yaahirishwa, JPM atoa maagizo

RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameahirisha maadhimisho ya 59 ya sherehe za Uhuru wa Tanzania Bara zilizokuwa zifanyika tarehe 9 Desemba 2020. Anaripoti...

Habari za Siasa

Sabaya aagiza mabaraza ya ardhi kuvunjwa

MKUU wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ameagiza kuvunjwa kwa mabaraza ya ardhi kata za Kia na Mnadani wilayani...

Habari MchanganyikoTangulizi

Barua ya Lissu yatua Kisutu

TUNDU Lissu, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameiandikia barua Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam...

Makala & UchambuziTangulizi

Halima James Mdee: Kutoka U-kamanda hadi Yuda Iskarioti

HATIMAYE safari ya kisiasa ya aliyekuwa mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la taifa (BAWACHA), katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima James...

Habari za Siasa

DPP akoleza moto ‘Mbowe anataka nimfunge?’

BISWALO Mganga, Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) amehoji, ‘Mbowe (Freeman Mbowe) anataka nimfunge?’ Anaripoti Mwandishi Wetu, Moshi … (endelea). Ametoa kauli hiyo...

Habari za Siasa

Waziri Majaliwa: Vifo vinavyotokana na Ukimwi vimepungua

VIFO vitokanavyo na Virusi Vya Ukimwi (VVU), vimepungua kutokana na uimarishaji wa huduma za tiba ikiwemo matumizi ya dawa za kufubaza virusi vya...

Habari za Siasa

Mdee atoa sharti Chadema kutema ubunge

HALIMA Mdee, aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), amesema atatema ubunge wa viti maalum iwapo ‘watakubaliana.’ Anaripoti...

Habari za Siasa

Mdee asema Chadema imewainua wanawake, apata kwikwi kujibu maswali

HALIMA James Mdee na wenzake 18 wamepata kigugumizi kuweka wazi, mchakato uliofanyika kupatikana kwao hadi kwenda bungeni jijini Dodoma kuapishwa kuwa wabunge wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee: Hatuondoki Chadema ‘tunamheshimu Mbowe’

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima James Mdee amesema, yeye pamoja na wenzake 18 hawatoondoka ndani ya chama hicho...

Habari za Siasa

Majaliwa alivyomaliza mgogoro wa ardhi Kilosa

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemaliza mgogoro wa ardhi katika shamba la Chanzuru lenye ukubwa wa ekari 1,598 lililopo wilayani Kilosa, Mkoa...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai amvaa Mbowe, awabeba Mdee na wenzake

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema, Halima Mdee na wenzake 18 waliofukuzwa uanachama Chadema “wataendelea kuwa wabunge halali labda wao wenyewe...

Habari za Siasa

Spika Ndugai awaapisha Polepole, Riziki

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewaapisha Humphrey Polepole na Riziki Lulinda kuwa wabunge wa Bunge hilo. Anaripoti...

Habari za Siasa

Matiko, Bulaya waitwa CCM

MLANGO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), umefunguliwa kwa Ester Matiko, Ester Bulaya, Halima Mdee na wengine waliofukuzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee ‘amliza’ Lissu

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadeama), ameeleza kuumizwa na uamuzi wa Halima Mdee, aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la...

Habari za Siasa

Magufuli ateua wabunge 2

RAIS Tanzania, John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Novemba, 2020 amefanya uteuzi wa wabunge wawili wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....

Habari za Siasa

Bawacha wawananga Mdee na wenzake

BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) limesema, kuondoka kwa mwenyekiti wake, Halima Mdee na wenzake 18, hawatarudisha nyuma jitihada...

Habari za Siasa

Mdee, wenzake 18 kufunguka

SIKU moja baada ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kuwafukuza uanachama, Halima Mdee na wenzake 18 kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee na wenzake wafukuzwa Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimetangaza kuwafukuzwa uanachama wanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa tuhuma za usaliti. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

NEC yazungumzia uteuzi wa Mdee na wenzake

TUME ya taifa ya uchaguzi (NEC) imesema, majina ya wabunge wa viti maalum, kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), iliwasilishwa NEC na...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee na wenzake waingia mitini, Mbowe aongoza kikao

KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza kikao chake cha dharura, jijini Dar es Salaam, kujadili tuhuma za usaliti zinazowakabili...

Habari za SiasaTangulizi

Hatma Mdee na wenzake leo, wanachama wajitokea makao makuu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Ijumaa tarehe 27 Novemba 2020, kinafanya kikao maalum cha kamati kuu kuwajadili wanachama wake 19 wanaodaiwa...

error: Content is protected !!