Friday , 19 April 2024
Home Android Bwege anena mazito baada ya kushindwa ubunge
AndroidHabari za Siasa

Bwege anena mazito baada ya kushindwa ubunge

Suleiman Bungara 'Bwege'
Spread the love

ALIYEKUWA Mbunge wa Kilwa Kusini kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Selemani Bungara maarufu ‘Bwege’ ametoa msimamo wake wa kisiasa mara baada ya kushindwa ubunge katika uchaguzi uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Hamis Mguta, Kilwa … (endelea).

Bwege ameongoza Jimbo hilo kwa miaka kumi mfululizo akiwa CUF, lakini katika uchaguzi mkuu uliopita, alikuwa akitetea nafasi hiyo kupitia ACT-Wazalendo.

MwanaHALISI Online, limemtembelea Bwege, nyumbani kwake Kilwa Kivinje Mkoa wa Lindi na kuzungumza naye masuala mbalimbali.

Bwege ambaye anakumbukwa akiwa bungeni kuibua misemo mbalimbali ukiwemo ‘We ulisikia wapi?” au “Tunaanza upya” amegusua hatima yake ya kisiasa.

Haya na mengine mengi endelea kutazama mahojiano hayo hapo chini.

1 Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Tanzania, Uturuki zanuia kukuza biashara, uwekezaji

Spread the loveSERIKALI za Tanzania na Uturuki zimekubaliana kuendeleza dhamira ya kuimarisha...

Habari za Siasa

Tume huru ya uchaguzi yatangaza ajira watendaji daftari wapiga kura

Spread the love  TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza nafasi...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yatangaza ruti awamu ya pili maandamano

Spread the love  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema awamu ya...

Habari za Siasa

CCM yamkana mwenyekiti UVCCM aliyetaka wapinzani wapotezwe

Spread the love  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimejitenga na kauli ya mwenyekiti...

error: Content is protected !!