Friday , 26 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Kauli ya Chadema baada ya Mwenyekiti Bavicha kuhamia CCM

DK. Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema, amesema chama hakina mgogoro na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha, Patrobas Katambi ambaye ametangaza kujiunga na CCM...

Habari za SiasaTangulizi

CHADEMA yatikiswa, wengine mbioni kung’oka

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinaweza kukimbiwa na viongozi wake wengine watatu, wakiwamo wabunge wawili wa majimbo, anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa kutoka...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto awasusia polisi simu yake

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini amesema kuwa ana mashaka ni kwa nini Jeshi la Polisi linaendelea kushikilia simu yake mpaka sasa na...

Habari za SiasaTangulizi

Waliombeza Dk. Shika kuumbuka, adai mabilioni yake kutua Tanzania

BILIONEA wa nyumba za Lugumi aliyeteka vichwa vya habari siku za hivi karibuni, Dk. Louis Shika, amekamilisha malipo ya bima kwa ajili ya...

Habari za Siasa

Hukumu ya Sheikh Ponda kizungumkuti

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeshindwa kutoa hukumu ya rufaa ya Serikali dhidi ya Sheikh Issa Ponda kwa mara nyingine, anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi Z’bar wamponza mtoto wa Chacha Wangwe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhuku kwenda jela mwaka mmoja  na nusu au kulipa faini ya Sh. 5 milioni, mtoto wa Marehemu Chacha...

Habari za SiasaTangulizi

Baada ya kutenda mema, wakasema ASULUBIWE!

NIMEINGIA Wizara ya Maliasili na Utalii kwa uteuzi wa Rais Jakaya Kikwete, Mnamo Februari 10, 2014, na nimefanya kazi ya Uwaziri kwa takribani...

Habari za Siasa

Takukuru waingia kazini ‘issue’ ya Nyalandu

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imesema kuwa suala la aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu imelisikia na imeanza kulifanyia...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea ataka wanasiasa waliofilisi TTCL wakamatwe

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, ameitaka serikali kuwakamata na kuwafikisha mahakamani, watumishi wa umma na wanasiasa waliochangia kufilisika kwa shirika la simu la...

Habari za Siasa

NEC yavikumbusha vyama kanuni za kampeni

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewaomba wagombea watumie kanuni walizofundishwa katika kampeni za udiwani zinazoendelea katika kata mbalimbali nchini, anaandika Angel Willium....

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaanza kumsulubu Nyalandu

SIKU chache baada ya aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kujivua uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na nafasi yake ya...

Habari za SiasaTangulizi

Bodi ya Lipumba kimbembe leo

SIKU ya leo Jumatatu yaweza kuwa chungu mfano wa shubiri kwa wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Wananchi – Civic United...

Habari za SiasaTangulizi

Bodi Feki ya Lipumba yaitwa mahakamani, CUF Maalim kicheko

MAHAKAMA Kuu ya Dar es Salaam imetengua kufukwa uanchama wabunge nane na madiwani wawili, huku wameitaka Bodi ya Udhamini iliyokuwa chini ya aliyekuwa...

Habari za Siasa

Wafugaji kumsaidia Dk. Kigwangalla mgogoro wa Loliondo

JAMII ya Wafugaji wa Loliondo, Ngorongoro, mkoani Arusha, wamesema kuanzia sasa watakuwa wa kwanza kutoa taarifa kwa yeyote atakayebainika kuingiza mifugo kwenye eneo...

Habari za SiasaTangulizi

Upinzani kupata pigo

WABUNGE wawili kutoka vyama vya CUF na Chadema, wako mbioni kuvihama vyama vyao, imeelezwa, anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa kutoka kwa watu waliokaribu na...

Habari za Siasa

Mahakama yamweka kizani mtoto wa Chacha Wangwe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imehalisha kutoa hukumu ya kesi inayomkabili, mtoto wa Marehemu Chacha Wangwe, Bob (25), ya upotoshaji kwenye Facebook kuhusu...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli asema kulima mtoni ruksa

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Rais John Magufuli ameondoa amri ya kuwazuia wananchi kulima katika maeneo ya mito na kuwataka kuendelea kufanya hivyo...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi ‘wapora’ simu ya Zitto Kabwe

JESHI la Polisi limeishikilia simu ya mkononi ya Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na muda huu wanatarajia kwenda makao makuu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto azidi kusota na safari za Polisi Dar

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameendelea kusota na safari za kwenda kuripoti katika kituo cha polisi cha Chang’ombe jijini Dar es...

Habari za Siasa

Dk. Kigwangwala akinukisha, atimua bosi wanyama pori

HALI ya mambo ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii siyo shwari na sasa Waziri wa wizara hiyo, Dk. Hamisi Kigwangalla amelazimika kumsimamisha...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo yatoa neno wanaokihama chama

KATIBU wa Itikadi na mawasiliano ya umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu amesema wimbi la wanachama wa chama hicho kuhamia CCM linakikomaza, anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi yaing’ang’ania ACT-Wazalendo

BAADA ya Jeshi la Polisi kumuhoji Kiongozi wa Chama cha Act-Wazalendo Zitto Kabwe jeshi hilo linatarajia kuihoji Kamati nzima ya Uongozi wa Chama...

Habari za SiasaTangulizi

Lipumba maji ya shingo

GENGE linalojitambulisha kuwa linamwakilisha Profesa Ibrahim Lipumba katika kinachodhihirika kuwa na lengo la kukidhoofisha Chama cha Wananchi (CUF) likiwa limekwama kupata ruzuku, sasa...

Habari za SiasaTangulizi

CCM Mwanza wamgomea Rais Magufuli

PAMOJA na Rais John Magufuli kuwataka Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire, Mkuu wa Mkoa, John Mongela na Mkurugenzi wa jiji hilo,...

Habari za Siasa

Kesi ya uchochezi MAWIO danadana

KWA mara ya pili sasa, kesi inayohusu tuhuma za uchochezi ambayo inawakabili waandishi wa habari waandamizi nchini akiwemo Mhariri Mtendaji wa gazeti la MAWIO,...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto: Amri ya Rais Magufuli yanikamatisha

ZITTO Zuberi Kabwe, Kiongozi wa Chama cha Act – Wazalendo anasema alijua atakamatwa kutokana na tamko la Rais Dk. John Magufuli kutangulia kuelekeza kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto aachiwa kwa dhamana, akamatwa tena, sasa takwimu

KIONGOZI wa Chama Cha ACT-Wazalendo ameachiwa kwa dhamana alipokuwa anahojiwa katika kituo cha Polisi cha Chang’ombe kwa madai ya kutoa maneno ya uchochezi,...

Habari za SiasaTangulizi

Sababu za kukamatwa Zitto hizi hapa

JESHI la Polisi linaendelea kumshikiria Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kwa mahojiano kwa kosa ya kutoa...

Habari za Siasa

JPM atangaza vita na wakuu wa mikoa

RAIS John Magufuli ametangaza vita na wakuu wa mikoa watakaoshindwa kuweka mikakati na mipango ya kujenga viwanda katika maeneo yao ili kuendana na...

Habari za SiasaTangulizi

Nyalandu aitosa CCM, haridhishwi na serikali ya Magufuli

MBUNGE wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amejiuzulu nafasi hiyo na kujiondoa CCM kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa siasa nchini, anaandika Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Meya Mwanza akamatwa asimwage mboga mbele ya Rais Magufuli

MEYA wa Jiji la Mwanza, James Bwire amekamatwa na jeshi la Polisi muda mchache kabla ya kutoa salamu zake kwa Rais John Magufuli...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe aivuruga tena serikali

KIONGOZI wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, ameituhumu serikali kupika takwimu juu ya kupanda kwa pato la taifa, anaandika Faki Sosi. Akizungumza...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri wa Kikwete asema Tanzania hapafai kufanyia siasa

GOODLUCK ole Medeye, aliyepata kuwa naibu waziri katika serikali ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ameibuka na kusema mazingira ya sasa nchini hayafai kufanya...

Habari za SiasaTangulizi

Hukumu ya Sheikh Ponda yakwama

MAHAKAMA ya Rufaa imeshindwa kutoa hukumu ya rufaa ya Serikali dhidi ya Sheikh Issa Ponda baada ya jaji kutokamilisha kuiandika, anaandika Faki Sosi....

Habari za SiasaTangulizi

Ikulu yatuhumiwa

IKULU ya Tanzania, kupitia ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, imewaandikia wafanyakazi wa iliyokuwa kampuni ya uchapishaji ya Printpak (T) Limited kuwaeleza kwamba suala...

Habari za Siasa

Polisi wamng’ang’ania Kigaila, anyimwa dhamana

BENSON Kigaila, Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa Chadema ametupwa rumande baada ya kukosa dhamana alipojisalimisha kuhojiwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge wa CCM aikosoa serikali ya JPM

MBUNGE mstaafu wa Chama cha Mapinduzi, Omar Mjaka Ali, amesema serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli inahitaji kuokolewa kwa sasa imepotea na kupoteza...

Habari za SiasaTangulizi

Mwigamba amsikitisha Zitto Kabwe

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameeleza masikitiko juu uongo uliotumiwa na walikuwa wafuasi wa chama hicho, Samson Mwigamba na wenzake kuwa chama...

Habari za Siasa

Serikali kuvuna 50 kwa 50 kwenye dhahabu

HATIMAYE mazungumzo kati ya Tanzania na Kampuni ya Barrick Gold kuhusu sekta ya madini yaliyodumu kwa takribani miezi mitano yamehimitishwa jijini Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu kuanika wabaya wake

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, anatarajiwa kuhutubia kupitia mkanda wa video utakaorushwa na vituo mbalimbali vya kimataifa vya televisheni, ndani ya...

Habari za SiasaTangulizi

Picha za kwanza ya Tundu Lissu hizi hapa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kusambaza picha ya Tundu Lissu kama alivyoahidi Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe mbele ya waandishi...

Habari za Siasa

Takukuru yakunjua makucha kwa makada wa Chadema

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Arusha, Amani Golugwa, amehojiwa na Taasisi ya Kuzuiya na Kupambana na Rushwa (Takukuru)...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo: Serikali ya CCM haina aibu

CHAMA cha Act-Wazalendo kimefunguka na kusema kwamba Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), haioni aibu kukandamiza demokrasia pamoja na uhuru wa vyombo vya...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu kuanika kilichompata

AFYA ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu anayetibiwa majeraha ya risasi kwenye hospitali kuu ya Nairobi, inaendelea kuimarika na kwamba muda...

Habari za SiasaTangulizi

Takukururu yamgeuzia kibao Mbunge Nassari

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida  Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imemugeuzia kibao Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari  (Chadema)  ambaye...

Habari za SiasaTangulizi

Nassari awang’ang’ania ‘maswahiba’ wa rais

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, ametinga kwa mara ya pili kwenye ofisi za taasisi ya Kuzuia na Kupambana...

Habari za SiasaTangulizi

JPM amteua waziri wa Kikwete

RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania amemteua aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara katika Serikali ya Awamu ya Nne ya Jakaya...

Habari za SiasaTangulizi

Sheikh Ponda bado ang’ang’aniwa

MWANAWAZUONI, mwanaharakati na kiongozi mashuhuri wa madhehebu ya dini ya Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda, bado anaendelea kushikiriwa na jeshi la polisi...

Habari za SiasaTangulizi

Sheikh Ponda atii sheria bila shuruti, ajisalimisha Polisi

SHEIKH Issa Ponda, Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania amethibitisha kuwa anaheshimu mamlaka na sheria kutokana kutii wito wa Jeshi...

Habari za SiasaTangulizi

Sheikh Ponda kimenuka, apewa siku tatu kujisalimisha Polisi

JESHI la Polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtaka Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda kujisalimisha mikononi...

error: Content is protected !!