CHINI saa 24 tangu Nape Nnauye atoe ahadi ya “kumshughulikia” Paul Makonda amekomolewa yeye, anaandika Hamisi Mguta. Nape katika nafasi ya uwaziri wa...
By Hamisi MgutaMarch 23, 2017KAMATI ya Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ya kuchunguza uvamizi uliofanywa kwa studio za Clouds Media na Mkuu wa...
By Pendo OmaryMarch 23, 2017WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema Rais John Magufuli amesahau kama amechaguliwa na wananchi jambo linalomfanya kufanya maamuzi yake bila kujali hisia zao,...
By Hamisi MgutaMarch 21, 2017RAIS John Magufuli amemwambia Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, “endelea kuchapa kazi” na anamtaka aamini kuwa ni yeye rais...
By Pendo OmaryMarch 20, 2017FREDERICK Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu wa serikali ya awamu ya tatu na Saed Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo wameibuka nafasi tofauti za...
By Charles WilliamMarch 20, 2017JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, ametengua agizo la Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe la hakuna kufunga ndoa bila ya cheti...
By Hamisi MgutaMarch 17, 2017JESHI la polisi limemkamata mwanasiasa machachari nchini na mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, anaandika Saed Kubenea. Lissu ambaye amepitishwa na Chama...
By Saed KubeneaMarch 16, 2017JOSEPH Kasheku “Msukuma” Mbunge waa Jimbo Geita Vijijini na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Geita ametoa siku tano za kuombwa...
By Charles WilliamMarch 13, 2017CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimefanya maamuzi magumu kwa kuwafuta uanachama viongozi wake waliopatikana na makosa ya maadili kinyume na katiba na kanuni za...
By Masalu ErastoMarch 11, 2017CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema Bajeti inayopendekezwa na serikali katika mwaka wa fedha 2017/2018 ina mapungufu makubwa yanayotishia hata utekelezaji wake,...
By Pendo OmaryMarch 10, 2017ALHAJI Abdallah Bulembo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ametangaza kung’atuka rasmi katika nafasi yake, kwa mdai kuwa anahitaji kuumzika, anaandika...
By Danson KaijageMarch 9, 2017TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), amehoji sababu za kutoshtakiwa Maalim Seif Hamad, Katibu Mkuu wa CUF, Rais Ali Mohamed Shein na...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2017SAMSON Odunga Mkuu wa Wilaya ya Chemba na Mbunge wa Viti Maalum Kunti Yusufu Majala (Chadema), wamewataka wananchi wa wilaya hiyo kuukataa mradi...
By Danson KaijageMarch 9, 2017SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo amesema maagizo yanayodaiwa kutolewa na Rais John Magufuli kuhusu wafanyabiashara ndogo ndogo (machinga) yanasababisha migogoro kwani...
By Hamisi MgutaMarch 9, 2017NASSOR Ahmed Mazrui, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Zanzibar amesema Katiba ya chama hicho haimpi mamlaka yoyote Profesa Ibrahim Lipumba...
By Pendo OmaryMarch 8, 2017MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Kusini imemuachia huru kwa dhamana, Seleman Mathew, aliyekuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2017OTHMAN Masoud Othman, aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kabla ya kutimuliwa kwa kuunga mkono mapendekezo ya serikali tatu, amesema Katiba inayopendekezwa itajenga mfumo...
By Pendo OmaryMarch 7, 2017KUNTI Yusuph Majala, Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) mkoa wa Dodoma, amewataka wananchi kujenga tabia ya kuhoji ubora na uendeshwaji wa miradi ya...
By Danson KaijageMarch 7, 2017HATIMAYE Tundu Lissu, Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, ameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam baada...
By Charles WilliamMarch 6, 2017TUNDU Lissu, Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amekamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya...
By Charles WilliamMarch 6, 2017KILA pembe ya kijiji cha Koromije, Wilaya ya Misungwi, pamoja na viunga vya jiji la Mwanza Paul Makonda, Mkuu wa mkoa wa Dar...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2017GODBLESS Lema, Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini amerejea tena uraiani, ikiwa ni takribani miezi minne tangu alipokamatwa na Jeshi la Polisi na...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2017PETER Kibatala Wakili Mwandamizi wa Chama Cha Demokrasia (Chadema), ameweka wazi kuwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Freeman...
By Faki SosiMarch 3, 2017MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, ataendelea na ziara yake ya kikazi – kiserikali – ndani ya jimbo lake, kuanzia Jumatatu ya tarehe...
By Masalu ErastoMarch 3, 2017WAKATI Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiendesha kampeni yake ya dawa za kulevya jijini Dar es Salaam, Bunge la...
By Faki SosiFebruary 9, 2017TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amegoma kula chakula kutwa nzima ya leo, akishinikiza kupeleka mahakamani, anaandika Faki Sosi....
By Faki SosiFebruary 8, 2017TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kutoa maneno ya uchochezi kuhusu kuwepo kwa njaa nchini,...
By Faki SosiFebruary 7, 2017TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria wa Chadema, amekatwa na polisi nje ya Bunge na kupelekwa jijini Dar es Salaam, anaandika...
By Faki SosiFebruary 6, 2017SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa taarifa juu ya utekelezaji wa utolewaji wa mikopo kwa vijana, anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa kamili...
By Mwandishi WetuFebruary 6, 2017MIZENGO Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu katika Serikali ya Awamu ya Nne ameeleza kuwa, ni ndoto serikali kufikia malengo yake ya ‘serikali ya viwanda’...
By Danson KaijageFebruary 6, 2017CHAMA cha ACT- Wazalendo kimesema chimbuko la kiwango cha kutisha cha rushwa na ufisadi uliotamalaki nchini kwa sasa, ni uamuzi wa uongozi kufuta...
By Pendo OmaryFebruary 5, 2017MATOKEO ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Dimani, Unguja na kwenye kata 20 Tanzania Bara, yametushutua wengi. Miongoni mwa yayosababisha mshutuko,...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2017JUMUIYA Vijana ya Chama cha Wananchi CUF (JUVI-CUF), imemuonya Shaka Hamidu Shaka, Kaimu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2017NEEMA Mfugale, Katibu wa Shirikisho la Vyuo Vikuu la Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma amesema, rushwa ya ngono ni changamoto kubwa inayokwamisha...
By Danson KaijageFebruary 2, 2017KWA mara nyingine Dk. Tulia Ackson, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameingia katika mvutano na wabunge wa vyama...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2017KIFO cha Etienne Tshisekedi kiongozi wa chama cha upinzani cha (UDPS) katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kimeacha simanzi na pigo kwa wapenda...
By Masalu ErastoFebruary 2, 2017CHARLES Kuyeko, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala amefanya ziara ya kikazi katika kata ya Tabata mtaa wa tabata Kisiwani na matumbi, anaandika...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2017MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wameitaka kuwekwa wazi kwa asilimia 5 ya mapato ya halmashauri hiyo ambayo yanapaswa kutolewa kama mikopo kwa...
By Christina HauleFebruary 1, 2017ANGELINA Mabula, Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Mwanza amemtishwa na wapiga kura wake kwa madai ya kushindwa kutatua kero ya mgogoro wa ardhi,...
By Moses MsetiFebruary 1, 2017NINAPOKUMBUKA tukio la mauaji ya wananchi walioandamana katika kudai haki ya kuongozwa na kiongozi wanayemtaka, haraka inanijia sura ya mmoja wa watekelezaji wa...
By Jabir IdrissaFebruary 1, 2017SERIKALI ya awamu ya tano imetoa taarifa kuhusu mipango ya utekelezaji wa mambo mbalimbali yanayohusu utendaji wa serikali pamoja na utekelezaji wa Bajeti...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2017MAALIM Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) amempa nafasi tena Dk. Ali Mohamed Shein ili kumaliza mgogoro wa kisiasa...
By Faki SosiJanuary 30, 2017CHAMA cha Wananchi (CUF) kinaelekea kugota. Hofu na mashaka vimeanza kummeza Prof. Ibrahim Lipumba ambapo sasa anahitaji suluhu na Maalim Seif Shariff Hamad,...
By Faki SosiJanuary 28, 2017MIEZI 15 tangu alipofuta uchaguzi mkuu wa Zanzibar na kushutumiwa kuwa amekibeba Chama Cha Mapinduzi (CCM), mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC),...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2017TUNA hofu kubwa ya kutotendewa haki ndani ya nchi. Ni kauli ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2017ATHARI ya mtifuano ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) zinaendelea ambapo sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinawinda kura za CUF, anaandika...
By Christina HauleJanuary 21, 2017FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa kufungwa kwa baadhi ya viongozi wao akiwemo Diwani na Mbunge ni sehemu...
By Moses MsetiJanuary 19, 2017CHAMA Cha ACT-Wazalendo sasa kinataka serikali imwelekeze Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum kwenye utoaji wa vibali...
By Pendo OmaryJanuary 18, 2017ONGEZEKO la kodi limetajwa kuchochea hali ngumu ya maisha inayolalamikiwa na wananchi wengi hapa nchini, anaandika Pendo Omary. Casimir Mabina, Mratibu wa Chama...
By Pendo OmaryJanuary 18, 2017ARCADO Ntagazwa, aliyekuwa Waziri katika Serikali ya Awamu ya Kwanza, Pili na Tatu amesema kuwa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais...
By Moses MsetiJanuary 17, 2017