Thursday , 25 April 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wamtaka IGP Sirro kufunga ‘domo’

CHAMA  cha Demokrasia na Maendeleo  (Chadema), kimemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini ( IGP),  Simon  Sirro kuacha kutoa vitisho kwa wananchi na...

Habari za Siasa

Waziri Kairuki akumbuka vyeti feki

ALIYEKUWA  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki leo ameaga  ofisi yake ya zamani huku akikumbuka alivyohangaika na watumishi...

Habari za Siasa

Waziri Jafo aanza kazi na tambo

WAZIRI wa Nchi ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amewataka watumishi wa Wizara hiyo kujipima na...

Habari za Siasa

Kiongozi wa Bavicha anusurika kifo katika ajali

EDWARD Simbeye, Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), amepata ajali ya gari, anaandika Hamisi Mguta. Ajali...

Habari za SiasaMakala & UchambuziTangulizi

Spika Ndugai amedanganya

Na Mwandishi Wetu SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, aweza kuwa hajasema ukweli kuhusu madai kuwa hamfahamu na wala hajawahi kumuona zaidi...

Habari za Siasa

Sheikh Ponda: Nimemwona Lissu, nimeumia

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda ameueleza mtandao huu kwamba, amefanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Wanasheria...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Kitila Mkumbo aonyesha rangi yake halisi

HATIMAYE Prof. Kitila Mkumbo, aliyekuwa mmoja wa waasisi wa Chama Cha ACT Wazalendo, ameonyesha rangi yake halisi baada ya kutangaza rasmi kujiondoa katika...

Habari za SiasaTangulizi

Wakili Kibatala afunguka sakata la Tundu Lissu

BAADA ya tukio la kijinga, la kitoto, lisilo na mantiki wala lisilojenga heshima yoyote kwa washambuliaji; la kushambuliwa kwa risasi Rais wa Chama...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli aongeza ukubwa wa Baraza la Mawaziri

RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, John Magufuli ametangaza baraza jipya la mawaziri lililoongezeka kutoka mawaziri 19 hadi 21 na manaibu 16...

Habari za SiasaTangulizi

Masha: Serikali iruhusu wapelelezi wa nje

UCHUNGUZI utakaofanywa na wachunguzi wa nje ya Tanzania kuhusu matukio ya kihalifu yanayoendelea nchini, utatoa nafasi nzuri kwa serikali ya Dk. John Magufuli...

Habari za Siasa

‘Watu wasiojulikana’ wanyemelea roho ya Lema

MBUNGE wa Arusha mjini, Godbless Lema (Chadema), amefunguka na kueleza anavyowindwa na watu wasiojulikana kama ilivyotokea kwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu...

Habari za SiasaTangulizi

Ushahidi wa Dk. wa Muhimbili wamweka huru Manji

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Mfanyabiashara Yusuf Manji aliyekuwa anatuhumiwa kwa kosa la utumiaji wa dawa za kulevya, anaandika Faki Sosi....

Habari za Siasa

CUF kushirikiana na Ukawa uchaguzi madiwani

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetangaza kushiriki uchaguzi mdogo wa Madiwani katika kata 43 hapa nchini unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu, anaandika Faki...

Habari za Siasa

Ahadi ya Rais Magufuli, nyumba za Magomeni yaota mbawa

AGIZO  la Rais John Magufuli alilotoa mwaka jana la kujenga nyumba eneo la Magomeni Kota limegeuka kuwa ahadi hewa baada ya kazi hiyo...

Habari za Siasa

Mahakama yaipiga ‘stop’ Bodi ya Prof. Lipumba

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali pingamizi lilowekwa na mawakili wa Professa Ibrahim Lipumba la kuhusu kuzuwazuia wajumbe wake wa...

Habari za SiasaTangulizi

Familia ya Lissu yaibuka na kuing’ang’ania serikali

FAMILIA ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu imeibuka na kuing’ang’ania serikali ikitaka uchunguzi wa kina ufanyike ukihusisha wachunguzi wa nje ili...

Habari za Siasa

Kubenea amtaka Kamanda Sirro kujipima

MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, “kujipima” kutokana na kile alichoita, “kushidwa kutimiza...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo wamchongea Rais Magufuli kwa wafanyakazi

CHAMA cha ACT Wazalendo kimeshitaki Rais John Magufuli kwa wafanyakazi kutokana na kauli zake alizozitoa jana alipokuwa akihutubia katika Mkutano wa 33 wa...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge, Serikali wasaka siri za Tundu Lissu

USIRI uliotanda kuhusu matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu, anayetibiwa nchini Kenya, unaitesa serikali na uongozi wa Bunge la Tanzania,...

Habari za Siasa

Mbwembwe za Bombardier zayeyuka

AHADI ya Rais John Magufuli ya kununua na kuleta ndege moja aina ya Bombardier ifikapo Julai mwaka huu, imeyeyuka. Ndege haijafika Tanzania. Na...

Habari za SiasaTangulizi

Kada wa Chadema aliyesota rumande apata dhamana

KADA wa Chadema wiyani Chato, Obadiah Kiko (41), amepanidhishwa kizimbani jijini Dar es Salaam akituhumiwa kuchapisha “taarifa za uongo juu ya serikali,” anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

Lema: Rais Magufuli amedanganywa na wasaidizi wake

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamesema kuwa Rais John Magufuli amedanganywa na wasaidizi wake kuhusu suala la kujiuzulu kwa madiwani...

Habari za SiasaTangulizi

Nassari aanika ushahidi wa CCM kununua madiwani

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, ameanika ushahidi mwanana kuhusiana na mradi wa ununuzi wa madiwani, anaandika Saed Kubenea....

Habari za SiasaTangulizi

Kanuni alizovunja Magufuli kufanyia mkutano wa CCM Ikulu hizi hapa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemjibu utetezi wa Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole wa kutumia Ikulu kufanya mikutano...

Habari za SiasaTangulizi

Mzimu wa Chadema waitafuna CCM uchaguzi wilaya

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimezidi kuogopa kivuli cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kutimua wagombea wa uenyekiti wa wilaya ambazo...

Habari za Siasa

Rais Shein afanya uteuzi wa Majaji, watendaji

RAIS wa Zanzibar, Ali Mohamed Shein amewateua Khamis Ramadhan Abdalla na Aziza Iddi Suweid kuwa majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, anaandika Hamis...

Habari za Siasa

Chadema watakiwa kuacha ‘ujanja ujanja’ wajenge ofisi

KATIBU wa Kanda ya Kati wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Alphonce Mbassa ameuagiza uongozi wa jimbo la kilombero kuhakikisha wanajenga ofisi...

Habari za SiasaTangulizi

Mzimu wa Bashite wazidi kupapasa

MEYA wa Manspaa ya Ubungo, Bonface Jacob amesema anakabiliwa vitisho na vishawishi mbalimbali ili kuhakikisha anafuta kesi aliyoifungua dhidi ya Mkuu wa mkoa...

Habari za Siasa

Mshindi UVCCM adaiwa kutoa rushwa ya nyama

UCHAGUZI unaoendelea ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) umezidi kugubikwa na vitendo vya rushwa, vitisho, matusi ya nguoni na kupigana ngumi hatua inayosababisha...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai apora gari la Mbowe

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Bunge la Tanzania limeamuru kurudishwa nchini gari linalosaidia kumhudumia Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) aliyelazwa nchini...

Habari za SiasaTangulizi

Jukwaa la Katiba ‘wajivisha mabomu’ kwa Rais Magufuli

JUKWAA la Katiba Tanzania wamempa Rais Dk. John Magufuli kwa kumtaka ajiandae kupokea maandamano ya amani kwa ajili ya kumpongeza pamoja na kumtaka...

Habari za Siasa

Uchaguzi  wavuruga UVCCM Mwanza 

UCHAGUZI wa marudio wa kumtafuta mwenyekiti mpya wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM (UVCCM), katika wilaya ya Nyamagana jijini Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea: Serikali imeidharau Mahakama

KAMPUNI ya Hali Halisi Publishers Ltd (HHPL) inayomiliki na kuchapisha magazeti likiwemo la MwanaHALISI inaamini kuwa serikali imekiuka amri ya Mahakama Kuu ya...

Habari za Siasa

Wagombea CCM ‘matumbo joto’ Dodoma

KATIKA kuelekea uchaguzi wa ndani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), baadhi ya wanachama waliochukua fomu kugombea nafasi mbalimbali matumbo yamezidi kupata joto, anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu aibuka, awahutubia mawakili kwa simu

RAIS wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu ameibuka na kusema, “vijembe vinavyorushwa na Ummy Mwalimu,” waziri wa afya na ustawi wa...

Habari za Siasa

Tanzania haina amani ya kweli-Askofu

ASKOFU mkuu wa Kanisa la Endtime Harvest (EHC) lenye Makao Makuu Mkoani Dodoma, Dk. Elia Mauza amesema Tanzania haina amani ya kweli badala...

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai agomea milioni 43 matibabu ya Lissu.

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametua nchini akitokea nchini Kenya anapomuuguza Mbunge wa Singida Mashariki ( Chadema), Tundu...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi, Bunge walivyomtesa Kubenea

SAED Kubenea Mbunge wa Ubungo, amerejeshwa Jijini Dar es Salaam kutoka Mjini Dodoma ilhali afya yake ikiwa sio shwari, anaandika Faki Sosi. Kubenea...

Habari za SiasaTangulizi

Kamati ya Bunge yashindwa kumhoji Kubenea, alazwa kliniki ya Bunge

KAMATI ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge, imeshindwa kumhoji mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, baada ya kuona hali yake ya...

Habari za SiasaTangulizi

Sinema ya Kubenea kama ya Mbowe, Bulaya

SINEMA ya kukamatwa wabunge wa upinzani na kuwasafirisha kwa ndege wakiwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi imejirudia leo  baada ya  Mbunge wa...

Habari za Siasa

Polisi wamdaka Mbunge Kubenea akiwa hospitali Dar 

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, polisi wenye silaha wamezingira hospitali  ya Agha Khan aliyokuwa ameenda kupata huduma ya matibabu, Mbunge wa Ubungo Saed...

Habari za SiasaTangulizi

Bombidier za Magufuli wazidi kupata hitilafu

ABIRIA zaidi ya 50 waliokuwa wakitarajia kusafiria na ndege ya Bombidier  jijini Mwanza, wameshindwa kusafiri kutokana na ubovu wa ndege hiyo kitendo kilichosababisha...

Habari za Siasa

CCM yambomoa Zitto Kabwe Morogoro

WANACHAMA watatu wa Chama cha ACT -Wazalendo akiwemo aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Morogoro kusini Mashariki mwaka 2015 na Mwenyekiti wa jimbo...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Kibamba waishika pabaya Serikali

KUPITIA bajeti  ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa miaka miwili mfululizo (2016/2017 na 2017/2018) serikali ilitazamiwa kutenga fedha kwa ajili ya ukamilishaji...

Habari za Siasa

Polisi watanda makao makuu Chadema, wakamata wafuasi

JESHI  la polisi limewakamata watu kadhaa ambao walikuwa wakipita katika ofisi za makao makuu ya chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) zilizopo eneo...

Habari za Siasa

CUF Tanga ‘yamla’ Mbaruku

MBUNGE wa jimbo la Tanga mjini na kiongozi mwandamizi katika Chama cha Wananchi (CUF), Mussa Bakari Mbaruku huenda akaingia matatizoni baada ya msimamo...

Habari za Siasa

Bunge lafanya vioja, ripoti ya Lissu yayeyuka

TAARIFA iliyotarajiwa kuwasilishwa bungeni leo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi, Usalama na Mambo ya Nje, Adadi Rajabu kuhusu...

Habari za Siasa

BAVICHA kumuombea Tundu Lissu

IKIWA ni wiki moja tangu kupigwa risasi za moto mbunge wa  Singida Mashariki Tundu Lissu Chadema), Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia...

Habari za SiasaTangulizi

Spika  Ndugai asema usalama Tanzania ni sifuri

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amewataka wabunge kuwa makini pindi wawapo majimboni kwao au nje ya jimbo kutokana na hali ya usalama kutokuwa...

Habari za Siasa

Mbunge ahoji hospitali za serikali kukaukiwa dawa

MBUNGE wa Siha Dk. Godwin Mollel (Chadema) ameihoji serikali na kutaka ieleze ni kwa nini hospitali zake nyingi   zinakosa dawa muhimu za binadamu...

error: Content is protected !!