Friday , 26 April 2024
Home mwandishi
8722 Articles1244 Comments
Habari Mchanganyiko

Askari polisi 7 wa Tanzania walioingia Malawi watimuliwa

  ASKARI saba wa Jeshi la Polisi Tanzania wamefukuzwa kazi baada ya kuvuka mpaka na kuingia nchini Malawi kinyume cha utaratibu wa jeshi....

Kimataifa

Wafungwa waliobaka wenzao DRC kukiona

  SHIRIKA la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch linasema, mamlaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), zilipuuza tahadhari za...

Kimataifa

Mahakama ya Ulaya yaihusisha Urusi mauaji aliyekuwa jasusi wake

  ALEXANDER Litvinenko, jasusi wa zamani wa Urusi, aliuawa kwa sumu na majasusi yaliyotumwa na taifa hilo, Mahamaka ya Haki za Binadamu ya...

Habari Mchanganyiko

Huawei Yawapiga msasa watalaam 19 wa Tehama kuendana na mabadiliko ya Tehama.

  KAMPUNI ya Huawei Tanzania  kwa kushirikiana na Tume ya Tehama imetoa mafunzo kwa wataalamu 19 wa Tehama kutoka katika sekta ya umma...

Habari za Siasa

Jenerali Ulimwengu, Askofu Bagonza watoa somo madai ya katiba mpya

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Benson Bagonza na mwandishi wa habari mkongwe...

Habari za Siasa

Mtambo: Tukianza mapema, tutaiondoa CCM

  MHANDISI Mohamed Mtambo, aliyekuwa mgombea ubunge wa Mkuranga, Mkoa wa Pwani (ACT-Wazalendo), ameviomba vyama vya upinzania nchini Tanzania kuanza maandalizi mapema kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ashiriki mkutano UN, ateta na vigogo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) uliojadili athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi yanayoikumba dunia...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi Benki ya Exim wafanya usafi ufukwe Ocean Road

Wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha mikopo wa benki hiyo, Zainab Nungu (katikati) wakishiriki zoezi la usafi...

Habari za Siasa

Ziara ya Majaliwa Kagera yamng’oa afisa manunuzi

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Afisa Manunuzi wa Wilaya ya Karagwe, Mkoa wa Kagera, Yesse Kaganda baada ya kutoridhishwa...

Kimataifa

Mhudumu mochwari mbaroni tuhuma za kuchuna mkono wa maiti…adai ni panya

  POLISI wilayani Mazabuka mkoa wa Kusini nchini Zambia wamemtia mbaroni mhudumu wa chumba cha kuhifadhia maiti (mochwari) katika Hospitali Kuu ya Mazabuka...

Habari za Siasa

Mbunge CCM apata ajali Tunduru

  MBUNGE wa Jimbo la Namtumbo, Vita Kawawa (CCM) amepata ajali katika eneo la Nalasi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wakati akiwa kwenye ziara...

Habari Mchanganyiko

NBC yazindua kampeni ya NBC Shambani  kwa wakulima wa korosho Mtwara na Lindi

  SEPTEMBA 18, 2021:  Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni maalum kwa wakulima wa zao la korosho katika mikoa ya Mtwara...

Kimataifa

Rais mstaafu Algeria kuzikwa leo makaburi ya mashujaa

  RAIS wa zamani wa Algeria, Abdelaziz Bouteflika aliyefariki dunia siku ya juzi, anatarajiwa kuzikwa leo tarehe 19 Septemba 2021 katika makamburi ya...

AfyaKimataifa

Licha ya kupingwa na Ethiopia, Tedros mgombea pekee WHO

  MKUU wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus anaweza kuwa mgombea pekee katika nafasi anayoshikilia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ziarani Marekani

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho Jumamosi tarehe 18 Septemba, 2021 anaondoka kwenda New York nchini Marekani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari Mchanganyiko

Bodi ya Wakurugenzi Dawasa yazinduliwa, yapewa kazi

  WAZIRI wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso ameiagiza Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam...

Habari Mchanganyiko

Makala atoa mwezi mmoja kwa machinga kupangwa upya

  MKUU wa mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla ametoa muda wa mwezi mmoja kwa madawati ya uwezesha wananchi kiuchumi yaliyopo katika...

Habari za Siasa

Waziri Aweso aipa maagizo 3 Ewura

  WAZIRI wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso ameipa maagizo matatu Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) ikiwemo kudhibiti upagwaji wa...

Habari Mchanganyiko

Mrema apata pigo

  MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema amepatwa na msiba wa mkewe Rose Mrema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari Mchanganyiko

Benki ya NBC, Manispaa Ilala watoa elimu ya biashara kwa wajasiriamali

  BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, jijini Dar es Salaam leo tarehe 16 Septemba...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rugemalira aachiwa huru

  MFANYABIASHARA James Rugemalira leo tarehe 16 Septemba, 2021 ameachiwa huru Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP)...

Habari za SiasaTangulizi

Utaratibu mpya wakwamisha kesi ya Mbowe, Lissu atoa ujumbe

  TUNDU Lissu, Makamu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania amepinga uamuzi wa kesi ya kiongozi wa chama hicho, Freeman Mbowe...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi Exim wachangia matibabu mtoto mwenye matatizo ya moyo

  Kaimu Mkurugenzi Idara ya Fedha Benki ya Exim Bw Issa Rajabu (kushoto) akikabidhi msaada wa fedha taslimu kwa Muhasibu wa Taasisi ya...

Habari za Siasa

Majaliwa awapa siku 30 Ma-RC kuwapanga machinga

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewapa muda wa mwezi mmoja (siku 30) viongozi wa mikoa na halmashauri wawe wamekutana na wafanyabiashara...

Habari za Siasa

Rais Samia apokea ujumbe wa Salva Kiir Dar

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Sudan ya Kusini Salva Kiir Mayardit,...

Kimataifa

Mwendesha mashtaka mauaji ya Rais wa Haiti aachishwa kazi

  ARIEL Henry, waziri mkuu wa Haiti, amemfuta kazi mwendesha mashItaka mkuu wa taifa hilo, Bed-Ford Claude, kufuatia uamuzi wake wa kutaka kumfungulia...

Kimataifa

Baada ya kukataa chanjo kwa miezi 6… Rais DRC achanja

  RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Félix Tshisekedi mapema wiki hiii amepokea dozi yake ya kwanza ya chanjo dhidi ya Covid-19....

Kimataifa

Serikali ya mpito kuundwa Guinea

  UTAWALA wa kijeshi ulioipindua serikali ya Guinea zaidi ya wiki moja iliyopita umeanza mikutano ya siku nne, kwa lengo la kuunda serikali...

Habari za Siasa

January amshukuru Rais Samia, aahidi kupiga kazi kivitedo

  JANUARY Makamba, Waziri wa Nishati nchini Tanzania, ametoa shukrani kwa wote waliompongeza kwa kuteuliwa kuwa waziri na kuwaahidi kuwatumikia kwa vitendo. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Dk. Kijaji awapa ujumbe watumishi wizara ya habari

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari nchini Tanzania, Dk. Ashatu Kijaji ameitaka menejimenti na watumishi wa wizara hiyo kufanya kazi...

Habari za Siasa

Ujumbe wa Dk. Ndugulile kwa Rais Samia

  DAKTARI Faustine Ndugulile, Mbunge wa Kigamboni (CCM) amemahukuru Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kumpa nafasi ya kuhudumu kwenye serikali yake....

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ateua mawaziri na AG, watatu ‘out’

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya baraza lake la mawaziri kwa kuteua mawaziri wanne na kuwaweka kando watatu. Anaripoti...

Habari

Wafungwa 4 kati ya sita waliotoroka gerezani wakamatwa tena

  WAFUNGWA wanne kati ya sita raia wa Kipalestina waliotoroka kutoka jela yenye ulinzi mkali mapema wiki hii huko nchini Israel wamekamatwa. Anaripoti...

Habari

Ujenzi maeneo ya kupumzika waanza Dodoma, Geita

  SERIKALI ya Tanzania, imeanza ujenzi wa maeneo ya burudani kwa ajili ya watu kufanyia michezo na kupumzika katika mikoa ya Dodoma na...

Habari

Serikali ya Tanzania yailipa MSD bilioni 39 kati ya 269

  WIKI chache baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuitaka Serikali ya Tanzania ilipe deni la Bohari ya Dawa...

Kimataifa

Taliban wawajeruhi vibaya waandishi wa habari, DW waondoa Afghanistan

  WAANDISHI wawili wa habari wawili nchini Afghanistan, wameumizwa vibaya kufuatia kushambuliwa na kundi la Taliban, baada ya kukamatwa wakipiga picha maandamano mjini...

Michezo

Mwili wa Hans Pope kuagwa Dar, kuzikwa Iringa J’tano

  MWILI wa Zacharia Hans Pope, mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa timu ya Simba nchini Tanzania utaagwa kesho Jumatatu, tarehe 13 Septemba...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro atuma salamu kwa magaidi wa Msumbiji waliojificha Dar 

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi Tanzania , IGP Sirro, amesema wanazifanyia kazi taarifa za uwepo wa watuhumiwa wa vitendo vya  ugaidi waliokimbilia nchini, ...

Michezo

Alichoandika Mo Dewji kifo cha Hanspope

  MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba ya Dar es Salaam nchini Tanzania, Mohamed Dewji “Mo Dewji” amesema ni vigumu...

Michezo

Yanga kucheza bila mashabiki

  TIMU ya Yanga ya Dar es Salaam Tanzania, itaanza kutupa karaka yake ya kwanza kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika bila uwepo...

MichezoTangulizi

Zakaria Hanspope afariki dunia

  ZAKARIA Hanspope, Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara 2020/21, Simba ya Dar es Salaam, amefariki dunia....

Habari za Siasa

DED anayetuhumiwa kuiba mabati 1,000 asimamishwa, Waziri Ummy asema…

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri...

Habari za Siasa

Rais Samia amteua bosi wa zamani SADC kuwa mbunge

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Dk. Stergomena Tax, kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Mapacha waoa mwanamke mmoja… wanatarajia kupata mtoto

  STORI za mapacha kushare au kuvaliana nguo, kusomea taaluma moja, kufanya kazi ya aina moja, kufunga harusi siku moja na wakati mwingine...

Habari

Ajali mwendokasi Dar zamuibua Majaliwa, akemea

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kutimiza wajibu kwa kufuata sheria za usalama barabarani kukabiliana na ajali za...

Habari Mchanganyiko

Tanzania kupunguza gharama za hereni kwa mifugo

  SERIKALI ya Tanzania, imepanga kupunguza gharama za hereni maalum ya utambuzi wa mifugo nchini ili kumpunguzia gharama mfugaji. Kauli hiyo imetolewa leo...

Tangulizi

Majaliwa: Mikoa, wilaya mpya hadi sensa ifanyike

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imesitisha utaratibu wa kugawa mikoa, wilaya, kata, vijiji vipya hadi hapo sensa itakapofanyika mwaka 2022....

Habari

Majaliwa aagiza wizara kuacha ubaguzi ajira za wahitimu JKT

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameagiza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kuendelea kutangaza ajira katika vyombo mbalimbali vya dola...

HabariTangulizi

RC Dar ashusha rungu kwa machinga

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amepiga marufuku ufanyaji wa biashara maeneo watembea kwa miguu hifadhi ya barabara...

Tangulizi

Waandishi wa habari watano wakamatwa na Taliban

  Zaidi ya waandishi wa habari watano kutoka gazeti maarufu la uchunguzi la Etilaatroz ambalo hutoka kila siku huko Kabul nchini Afghanistan wamekamatwa...

error: Content is protected !!