October 18, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Mrema apata pigo

Spread the love

 

MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema amepatwa na msiba wa mkewe Rose Mrema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Taarifa iliyotolewa kwa umma na Mrema imesema mkewe amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu ya maradhi ya shinikizo la damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

error: Content is protected !!