Thursday , 25 April 2024
Home mwandishi
8720 Articles1243 Comments
Habari Mchanganyiko

Mwanafa asimulia alivyonusurika kifo… tulitoka kwa Rais mstaafu

  MBUNGE wa Muheza, Hamis Mwijuma (CCM) maarufu kama Mwana FA amesimulia namna alivyonusurika kifo katika ajali iliyotokea katika eneo la Mkambarani mkoani...

Habari MchanganyikoTangulizi

Robert Manumba afariki

  MKURUGENZI Mstaafu wa Upelelezi na Makosa ya Jinai (DCI) Robert Manumba, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Mwanaye...

Habari za SiasaTangulizi

Hatima tozo miamala ya simu kujulikana leo

  HATIMA ya gharama za tozo ya miamala ya simu kupungua au kubaki kama zilivyo itafahamika leo Jumanne tarehe 31 Agosti 2021. Anaripoti...

Kimataifa

Huyu ndiye kiongozi mkuu wa Taliban aliye-mafichoni

  TANGU wachukue madaraka nchini Afghanistan tarehe 15, Agosti mwaka huu, viongozi kadhaa wa kundi la wanamgambo wa Taliban wameonekana hadharani mjini Kabul....

Kimataifa

Roketi zarindima Kabul, 10 wafa

  ROKETI kadhaa zimerushwa kuelekea katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kabul nchini Afghanistan, wakati ni siku ya mwisho kwa wanajeshi wa...

Kimataifa

MAJANGA… Kondakta adanja gesti, mchepuko atoka nduki

  MWANAMUME mmoja aliyefahamika kwa jina la Benard Mwendwa Musyoka (30), maarufu ‘Boy’ au ‘Swaleh’ amekutwa amefariki duniani katika chumba kulala wageni kwenye...

Kimataifa

Padri, wenzake watatu mbaroni kwa ubakaji, mauaji

  PADRE mmoja wa Kihindu (53) kutoka nchini India amejumuishwa katika kundi la watuhumiwa wanne wanaodaiwa kumbaka binti mmoja mwenye umri wa miaka...

Habari Mchanganyiko

Upanuzi wa huduma kidijitali waendelea kunufaisha I& M Group PLC

  KAMPUNI inayoongoza kwa utoaji wa huduma za fedha katika ukanda wa Afrika Mashariki, I&M Group PLC imetangaza kuongeza faida kwa asilimia 33...

Habari za SiasaTangulizi

Wafuasi Chadema waangua kilio Mbowe akirudishwa rumande

  WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameangua kilio wakati mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, akirudishwa rumande katika gereza la Ukonga, anakoshikiliwa...

Habari Mchanganyiko

Kampuni ya Coastal yaandika historia Afrika kwa kubeba cheti cha usalama kutoka IATA

  USALAMA ni moja ya nguzo muhimu katika masuala ya usafiri wa anga. Hiki ndio kigezo ambacho kimezishinda kampuni nyingi za usafiri wa...

Habari Mchanganyiko

Dawasa kumaliza tatizo la majitaka Ilala

  MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) nchini Tanzania, inatekeleza mradi wa majitaka Uhuru katika Wilaya ya Ilala...

Habari za SiasaTangulizi

Vyama vya upinzani vyavutana ushiriki chaguzi ndogo

  VYAMA vya siasa vya upinzani nchini Tanzania, vimevutana katika kushiriki chaguzi ndogo za ubunge zinazotarajiwa kufanyika tarehe 9 Oktoba 2021, katika majimbo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Siri ya uwezo wa Hamza kutumia AK47 yafichuka

  SIRI ya Hamza Hassan Mohamed kumudu kutumia silaha na kuwaua askari watatu wa jeshi la polisi na mlinzi mmoja wa kampuni ya...

Habari za Siasa

Wapinzani wataka IGP Sirro ajiuzulu

  VYAMA vya Upinzani nchini Tanzania, vimelaani kauli ya Inspekta Jenerali wa Polisi nchini humo, IGP Simon Sirro, dhidi ya familia ya Hamza...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa atoa maagizo kwa DC, Madiwani Kaliua

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza ujenzi wa kituo cha Afya Usinge, wilayani Kaliua, Mkoa wa Tabora, ukamilike ifikapo Oktoba 2021. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Mauaji Polisi Dar yamuibua Askofu Gwajima

  MBUNGE wa Kawe, mkoani Dar es Salaam (CCM), Askofu Josephat Gwajima, amefanya maombi maalum ya kuwaombea Askari Polisi, katika Kanisa lake la...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro aita ndugu kuchukua mwili wa Hamza, atoa ujumbe

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amesema mwili wa Hamza Mohamed ambaye aliwaua watu wanne wakiwemo askari polisi watatu,...

Kimataifa

Marekani yadai kumuua aliyepanga kushambulia Kabul

  JESHI la Marekani limesema, limemuua mtu anayedaiwa kupanga shambulizi kwenye uwanja wa ndege wa Kabul katika shambulizi la ndege isiyo na rubani....

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wadaiwa kuzuia kikao cha kamati kuu NCCR-Mageuzi

  JESHI la Polisi Ilala, Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limezuia kikao cha kamati kuu ya chama cha siasa cha...

Michezo

Cristiano Ronaldo arejea Man U

  BAADA ya kuondoka ndani ya Manchester United ya Uingereza miaka 12 iliyopita, Cristiano Ronaldo (36) ametangazwa kurejea tena ndani ya timu akitokea...

Elimu

Udahili waanza shule mbili zilizojengwa na GGML, Halmashauri Geita 

Wanafunzi wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Bugando ambayo ni shule ya sekondari ya pili ya serikali katika Halmashauri ya Wilaya...

Habari za SiasaTangulizi

Jerry Silaa ataja sababu 3 kuikacha kamati ya Bunge

  MBUNGE wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa ametaja sababu tatu, ikiwemo kwenda kwenye mazishi jijini Arusha na kutokuwa sawa kiafya, zilizomfanya jana Alhamisi,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wawili wauawa Kigamboni, Polisi “aliwagonga kwa makusudi”

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Mohamed Jumaa (37), maarufu maarufu Lardh JM, Mkazi wa Kariakoo, kwa tuhuma...

Habari za Siasa

Majaliwa maagizo kambi ya wakimbizi Tanganyika

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wakazi wanaoishi katika makazi ya wakimbizi ya Mishamo Wilayani Tanganyika kuimarisha ulinzi na usalama katika...

Kimataifa

Mlipuko mabomu Afghanistan waua 60, majeruhi 140

  WATU takribani 60 wameuawa huku 140 wakijeruhiwa, katika milipuko ya mabomu iliyotokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hamid Karzai Mjini...

Michezo

Simba kupaa Marekani

  KLABU ya Simba inatarajia kuweka kambi ya maandalizi ya Ligi Kuu mwaka 2021/2022 nchini Marekani kwa ushirikiano wa klabu ya DC United...

Habari za Siasa

Jerry Silaa aingia mitini, kamati yataka Polisi wamkamate

  KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imeomba kibali kutoka kwa Spika Job Ndugai, cha kumkamata Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry...

Habari Mchanganyiko

Raila amtembelea Rais Samia, wajane mama Janeth Magufuli, Anna Mkapa

  KIONGOZI mkuu wa Cha cha upinzani nchini Kenya (ODM), Raila Odinga, jana tarehe 25 Agosti, 2021 amefanya ziara ya siku moja nchini...

Habari za SiasaTangulizi

Askou Gwajima agoma kukaa, ahojiwa akiwa amesimama wima

  MBUNGE wa Kawe, mkoani Dar es Salaam (CCM), Josephat Gwajima, ameendeleza mgomo wake wa kutotumia viti alivyopangiwa kutumia, wakati akihojiwa na Kamati...

Habari Mchanganyiko

Tukio la risasi Dar; IGP Sirro asema askari wawili wafariki dunia

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro amesema, askari wawili wamefariki dunia wakati wakimdhibiti mtu mmoja aliyekuwa alifyatua risasi hovyo karibu na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Taharuki; majibizano ya risasi Dar

  HALI ya takaruki imeibuka eneo la daraja la Salender jijini Dar es Salama nchini Tanzania baada ya milio ya risasi kati ya...

Habari Mchanganyiko

Plea Bargaining yapingwa mahakamani, DPP akidaiwa kukiuka sheria

  WAKILI nchini Tanzania, Peter Mdeleka, amewasilisha ombi la kufungua kesi ya kupinga utaratibu wa kukiri kosa na kulipa fidia ili kuondolewa mashtaka...

Habari za Siasa

Polisi shirikianeni na wananchi kubaini magaidi – Rais Samia

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameliagiza Jeshi la Polisi, lishirikiane na raia katika kuwabaini watu wanaojihusisha na vitendo vya ugaidi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi mkuu 2025: Tume ya taifa ya uchaguzi Tanzania kufumuliwa

  MUUNDO wa sasa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uko mbioni kufanyiwa marekebisho makubwa ya kisheria, baada ya kuibuka malalamiko kutoka...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe yamshangaza Askofu Shoo, akumbushia maandamano Ukuta

  MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo, ameziomba mamlaka nchini Tanzania zitende haki katika kesi ya uhujumu...

Habari Mchanganyiko

Coco beach kuboreshwa, Bakhresa kupeleka boti za utalii

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amesema, amepata wadau waliokubali kuwajengea wafanyabiashara wa ufukwe wa Coco vibanda vya...

Habari Mchanganyiko

Milioni 700 kukarabati barabara Bagamoyo-Msata

  KATIKA mwaka wa fedha 2021/2022 Wakala ya Barabara (TANROADS), Mkoa wa Pwani unatarajia kutumia Sh. milioni 700 kwa ajili ya karabati wa...

Habari Mchanganyiko

NIT kushirikiana na NAS Tanzania

  CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) nchini Tanzania, kimesaini mkataba wa ushirikiano na National Aviation Service (NAS) – Dar Airco Tanzania katika...

Habari za SiasaTangulizi

Hukumu ya Sabaya, wenzake Oktoba mosi

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imepanga tarehe 1 Oktoba 2021, kutoa hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha, Na. 105/2021, inayomkabili...

Habari Mchanganyiko

Askofu Ruwa’ichi: Tuishi kama wapita njia

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Yuda Thadeus Ruwa’ichi, amewataka watu waishi duniani kama wapiti njia, huku...

Habari za Siasa

Askofu Gwajima atoa mpya bungeni

  MBUNGE wa Kawe,kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima, amegoma kutumia kiti na kipaza sauti, vilivyopangwa kwa ajili ya kutumia akihojiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Gwajima, Jerry Silaa waondolewa kwenye kamati

  ASKOFU Josephat Gwajima ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kawe na Jerry Silaa wa Jimbo la Ukonga mkoani Dar es Salaam kupitia...

Habari za SiasaKimataifa

Rais Samia, Kikwete kumshuhudia Rais mteule Zambia akiapishwa

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuondoka nchini kesho tarehe 24 Agosti, 2021 kuelekea nchini Zambia kuhudhuria...

Kimataifa

Ukinunua chapati zaidi ya nne, unakamatwa

  JESHI la Polisi nchini Uganda limesema mtu yeyote atayenunua chapati tano au zaidi Kaskazini mwa nchi hiyo huenda akakamatwa na kufikishwa mbele...

Habari Mchanganyiko

Wanne wajeruhiwa ajali ya basi Kibaha

  WATU wanne wamejeruhiwa na wengine 40 kunusurika kifo baada ya kutokea ajali ya basi la kampuni ya Sauli eneo la Picha ya...

Kimataifa

Mkewe Jose Chameleone atema nyongo

MKE wa msanii mkongwe Afrika Mashariki, Jose Chameleone, Daniella Atim amewajia juu watu waliosambaza picha za mumewe wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watumishi 5 TRA wafariki ajalini Songwe

  WATUMISHI watano Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kikosi kazi cha fast Track wamefariki dunia katika ajali ya gari eneo la Hanseketwa Oldvwawa...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yapata pigo, Meya Shinyanga afariki

  CHAMA tawala nchini Tanzania-Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepata pigo baada ya meya wake wa Manispaa ya Shinyanga, David Nkulila kufariki dunia. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Mbowe atuma ujumbe msiba wa mkwe wake akiwa gerezani

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametuma ujumbe wa buriani katika msiba wa mama yake mkwe, Johara Mtei,...

Michezo

Soufiane Rahimin abeba ndoo, aaga rasmi

  Mshambuliaji nyota wa Klabu ya Raja Club Athletic kutoka nchini Morocco, Soufiane Rahimi jana tarehe 21 Agosti, 2021 ameisaidia timu yake kutwaa...

error: Content is protected !!