WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza ujenzi wa kituo cha Afya Usinge, wilayani Kaliua, Mkoa wa Tabora, ukamilike ifikapo Oktoba 2021. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021MBUNGE wa Kawe, mkoani Dar es Salaam (CCM), Askofu Josephat Gwajima, amefanya maombi maalum ya kuwaombea Askari Polisi, katika Kanisa lake la...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amesema mwili wa Hamza Mohamed ambaye aliwaua watu wanne wakiwemo askari polisi watatu,...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2021JESHI la Marekani limesema, limemuua mtu anayedaiwa kupanga shambulizi kwenye uwanja wa ndege wa Kabul katika shambulizi la ndege isiyo na rubani....
By Mwandishi WetuAugust 28, 2021JESHI la Polisi Ilala, Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limezuia kikao cha kamati kuu ya chama cha siasa cha...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2021BAADA ya kuondoka ndani ya Manchester United ya Uingereza miaka 12 iliyopita, Cristiano Ronaldo (36) ametangazwa kurejea tena ndani ya timu akitokea...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021Wanafunzi wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Bugando ambayo ni shule ya sekondari ya pili ya serikali katika Halmashauri ya Wilaya...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021MBUNGE wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa ametaja sababu tatu, ikiwemo kwenda kwenye mazishi jijini Arusha na kutokuwa sawa kiafya, zilizomfanya jana Alhamisi,...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Mohamed Jumaa (37), maarufu maarufu Lardh JM, Mkazi wa Kariakoo, kwa tuhuma...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wakazi wanaoishi katika makazi ya wakimbizi ya Mishamo Wilayani Tanganyika kuimarisha ulinzi na usalama katika...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021WATU takribani 60 wameuawa huku 140 wakijeruhiwa, katika milipuko ya mabomu iliyotokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hamid Karzai Mjini...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021KLABU ya Simba inatarajia kuweka kambi ya maandalizi ya Ligi Kuu mwaka 2021/2022 nchini Marekani kwa ushirikiano wa klabu ya DC United...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2021KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imeomba kibali kutoka kwa Spika Job Ndugai, cha kumkamata Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2021KIONGOZI mkuu wa Cha cha upinzani nchini Kenya (ODM), Raila Odinga, jana tarehe 25 Agosti, 2021 amefanya ziara ya siku moja nchini...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2021MBUNGE wa Kawe, mkoani Dar es Salaam (CCM), Josephat Gwajima, ameendeleza mgomo wake wa kutotumia viti alivyopangiwa kutumia, wakati akihojiwa na Kamati...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro amesema, askari wawili wamefariki dunia wakati wakimdhibiti mtu mmoja aliyekuwa alifyatua risasi hovyo karibu na...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021HALI ya takaruki imeibuka eneo la daraja la Salender jijini Dar es Salama nchini Tanzania baada ya milio ya risasi kati ya...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021WAKILI nchini Tanzania, Peter Mdeleka, amewasilisha ombi la kufungua kesi ya kupinga utaratibu wa kukiri kosa na kulipa fidia ili kuondolewa mashtaka...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameliagiza Jeshi la Polisi, lishirikiane na raia katika kuwabaini watu wanaojihusisha na vitendo vya ugaidi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021MUUNDO wa sasa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uko mbioni kufanyiwa marekebisho makubwa ya kisheria, baada ya kuibuka malalamiko kutoka...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo, ameziomba mamlaka nchini Tanzania zitende haki katika kesi ya uhujumu...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amesema, amepata wadau waliokubali kuwajengea wafanyabiashara wa ufukwe wa Coco vibanda vya...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021KATIKA mwaka wa fedha 2021/2022 Wakala ya Barabara (TANROADS), Mkoa wa Pwani unatarajia kutumia Sh. milioni 700 kwa ajili ya karabati wa...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) nchini Tanzania, kimesaini mkataba wa ushirikiano na National Aviation Service (NAS) – Dar Airco Tanzania katika...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imepanga tarehe 1 Oktoba 2021, kutoa hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha, Na. 105/2021, inayomkabili...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Yuda Thadeus Ruwa’ichi, amewataka watu waishi duniani kama wapiti njia, huku...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021MBUNGE wa Kawe,kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima, amegoma kutumia kiti na kipaza sauti, vilivyopangwa kwa ajili ya kutumia akihojiwa...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021ASKOFU Josephat Gwajima ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kawe na Jerry Silaa wa Jimbo la Ukonga mkoani Dar es Salaam kupitia...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuondoka nchini kesho tarehe 24 Agosti, 2021 kuelekea nchini Zambia kuhudhuria...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2021JESHI la Polisi nchini Uganda limesema mtu yeyote atayenunua chapati tano au zaidi Kaskazini mwa nchi hiyo huenda akakamatwa na kufikishwa mbele...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2021WATU wanne wamejeruhiwa na wengine 40 kunusurika kifo baada ya kutokea ajali ya basi la kampuni ya Sauli eneo la Picha ya...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2021MKE wa msanii mkongwe Afrika Mashariki, Jose Chameleone, Daniella Atim amewajia juu watu waliosambaza picha za mumewe wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2021WATUMISHI watano Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kikosi kazi cha fast Track wamefariki dunia katika ajali ya gari eneo la Hanseketwa Oldvwawa...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania-Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepata pigo baada ya meya wake wa Manispaa ya Shinyanga, David Nkulila kufariki dunia. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametuma ujumbe wa buriani katika msiba wa mama yake mkwe, Johara Mtei,...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2021Mshambuliaji nyota wa Klabu ya Raja Club Athletic kutoka nchini Morocco, Soufiane Rahimi jana tarehe 21 Agosti, 2021 ameisaidia timu yake kutwaa...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2021KLABU ya Geita Gold imemtangza rasmi aliyekuwa kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Etienne Ndayilagije kuwa kocha mkuu...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2021Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewataka wafanya biashara nchini pamoja na sekta binafsi nchini, kuchangamkia fursa kwenye...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2021MBUNGE wa Kawe (CCM), Askofu Josephat Gwajima, ameishauri Serikali iitishe mdahalo wa wazi, ili kumaliza utata juu ya chanjo ya Ugonjwa wa...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2021Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dk. Josephat Gwajima amesema kesho tarehe 23 Agosti anakwenda kupasua ukweli mbele ya kamati ya haki,...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2021Mbunge wa kuteuliwa na kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewavuruga makada wenzie wa chama hicho baada ya kuandika waraka mfupi...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2021MZEE Mathias Gwajima, Baba mkwe wa Waziri wa Afya, Dk. Dorothy Gwajima, amemtaka mkamwana wake huyo aache kutumia jina lake la ukoo kwa...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2021Malkia wa Bongofleva, Zuhura Kopa maarufu kama Zuchu ameeleza kupagawishwa na simu ya Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiperfome jana tarehe 21...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameagiza wabunge Askofu Josephat Gwajima na Jerry Silaa kufika mbele ya Kamati ya Haki, Maadili...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2021ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza ametoji maswali nane juu...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2021MWENYEKITI wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan ameshauri marekebisho ya sheria ili mtu anayekosea herufi...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kusimamia uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2020 akisema “ulifanyika...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2021SHAUKU ya Watanzania kuwashuhudia mabondi wenye viwango vya juu kwa sasa nchini humo, Twaha Rubaha maarufu ‘Twaha Kiduku’ na Hassan Mwakinyo wakipanda...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2021ALIYEKUA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), David Mattaka amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela, au faini ya Sh....
By Mwandishi WetuAugust 20, 2021ASKOFU mstaafu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Jimbo la Kilimanjaro Mashariki, Dk Glorious Shoo amekemea baadhi ya polisi kukosa...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2021